Aisee mnazingua Sana yaani daily laza mkate,. umeme
.acheni Mambo hizo.mmekata asubuhi mmerudisha saa kumi na mbili.umekaa dakika tano mmekata Tena.
Kaeni nap basi msirudishw Tena,milele na milele.
Sijui niwatukaneeeeee,,😠😠😠
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza kusambaza Umeme kwenye Vitongoji 166 vilivyopo Mkoa wa Morogoro baada ya kukamilisha nishati hiyo kwenye Vijiji 652 kati ya 669 sawa na Asilimia 97.5.
Mradi huo wenye gharama ya shilingi bilioni 17.9 unatarajiwa kutekelezwa katika...
Kwa mujibu wa mtandao wa X hapo juzi Israel ilishambulio Syria kwenye base ya Russia na kusababisha madhara makubwa, Balozi wa russia nchini Israel amewataka raia wa Urusi wanaoishi Israel kuondoka, inatajwa kuwa 20% ya population ya Israel ni raia wa Urusi ambao wapo hapo kwa shughuli mbali...
Serikali ya Tanzania inafanya mazungumzo na Adani Group ya India na Gridworks Development Partners ya Uingereza kwa ajili ya kuingia ubia wa uwekezaji katika Mradi wa Umeme kwa Dola Milioni 900 (Tsh. Trilioni 2.4) na Dola Milioni 300 (Tsh. Bilioni 817).
Mtandao wa India Times umeandika Kamishna...
Ndio, haujakosea kusoma.
Officially kampuni maarufu duniani la kutengeneza magari ya umeme kutoka China, BYD wameingia Kenya. Sio kwa used car, bali officially kama sisi Tanzania wanavyoingia San LG.
Wameanza na magari matatu ambayo ni top-selling Duniani.
Kwanza ni BYD Seal ambayo ni sedan...
Katika muendelezo wa Makala zangu za Nishati safi ya kupikia; kumekuwa na sintofahamu kuhusu gharama za umeme kwamba ni kubwa sana hivyo kwa kumuwezesha mwananchi ni bora kumpa gesi. Nimeona bora tuangalie ukweli huo kwa kutumia mahesabu yasiyo rasmi....
1kg ya Gesi = 13.6kwh (units)
Kwenye...
Baada ya kukamilisha usambazaji wa umeme katika vijiji vyote 785 Mkoani Mtwara, Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatekeleza mradi wa shilingi bilioni 16.7 wa kusambaza umeme kwenye vitongoji 150 utakaonufaisha kaya 4,950 mkoani humo.
Mhandisi Msimamizi wa Miradi ya Umeme REA...
Elon Musk ameachia Moja kati ya Project yake mpya inaitwa Tesla solar roofs.
Ni aina ya MABATI ambayo yametengenezwa Kwa Solar, badala ya kuhangaika na Umeme wa Solar, unanunua tu MABATI haya Maalumu, utaezeka Nyumba Yako, na yatakupatia Umeme wa kuweza ku run hata Kiwanda kidogo.
The game...
Wakuu habarini.
Kuna jokofu nimeona mahali limeandikwa 123Kwh/year kama energy consumption.
Sasa naomba kuelewa inamaanisha nini hasa.?
Nimejaribu kufuatilia mtandaoni ila bado elewa vizuri.
Maswali yangu ni
Je hizo ndizo units za umeme jokofu hili litatumia kwa mwaka mzima likiwashwa muda...
SHIRIKA la umeme nchini(Tanesco),limetoa shilingi Bilioni 18.5 kwa ajili ya utekelezaji wa kusambaza umeme kwenye vitongoji 135 vya mkoa wa Kilimanjaro .
Utekelezaji huo utafanywa na mkandarasi CEYLEX ENGINEERING CO. LTD kwa muda wa miezi 24 kuanzia sasa.
Mkurugenzi wa fedha wa Tanesco,Daniel...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha linatekeleza kwa kasi miradi ya umeme itakayounganisha Mkoa wa Kigoma katika gridi ya Taifa ifikapo mwishoni mwaka huu ili Mkoa huo usitumie umeme unaozalishwa kwa kutumia mafuta...
Tanzania ni nchi yenye potential kubwa ya deposit ya makaa ya mawe kwenye mikoa ua Mbeya, Ruvuma, njombe na Mtwara na maeneo ya kanda ya ziwa.
Makaa ya mawe ni chanzo cha kuaminika cha uzalishaji umeme, umeme usioyumba yumba kama wa maji ama upepo ama jua.
Tanzania inaweza kuzalisha umeme...
Habari wakuu,Kwa mtu anayehitaji huduma ya mashamba ya kununua,viwanja kwa ajili ya makazi,ufugaji,kilimo, unapata maeneo,umeme upo.hekari moja inaanzia milioni 15 na viwanja kuanzia laki 8 mpaka milioni 3.maeneo yapo YOMBO MPERA WILAYA YA MKURANGA.KARIBUNI SANA.
Habari,
Hali ya mgawo wa umeme imerejea kwa kasi sana ni wiki tangu kuanza kwa changamoto hii. Ndani ya jiji la Dar es Salaam wilaya ya kinondoni hali sio nzuri.
Watanganyika tulijua baada ya Bwawa kukamilika ingekua ni mwarobaini tosha ya kukatika katika huku. TANESCO wilaya wametenga masaa...
Bila shaka, kuna baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam ambapo watu wamekosa umeme. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO ) linawataarifu wateja wake kuhusu maboresho yatakayofanyika katika kituo cha kupoza umeme cha Kunduchi. Maboresho haya yana lengo la kuboresha huduma ya umeme kwa wateja wote.
Kwa...
Viongozi wetu wanatuambia sasa mashine 3 kati ya 9 za bwawa la umeme la Nyerere zinazalisha umeme na inavyoonekana mashine 1 hadi 2 zinazalisha umeme wa ziada ambapo ni 235MW kila moja.
Taarifa za TMA zinaonesha kutakuwa na ukame kuelekea mwisho wa mwaka hadi mwanzo wa 2025. TANESCO ili...
Kuna mpango kabambe wa kuwezesha kukua kwa kiwango cha upatikanaji/wingi wa umeme...Ambapo nchi yetu ipo katika majadiliano ya kununua takribani Megawatts 100 kutoka nchi ya Ethiopia
Chini ya mkakati wa EAPP (Mradi wa kuwezesha nchi za Afrika mashariki kushirikiana na mauziano na usambazaji...
Wakala wa Vipimo (WMA) imesema kuwa ipo katika mpango wa kuanza kufanya uhakiki wa Mita za Umeme na Maji ambazo tayari zimefungwa kwa matumizi sambamba na kuanza ufuatiliaji wa kuhakiki wa mabando ya simu ambayo yamekuwa yakitolewa.
Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa WMA, Alban Kihulla, akizungumza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.