umeme

  1. Kadodo1

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Kati ya Vijiji 12,318 bado Vijiji 151 tu kufikiwa na umeme

    RAIS SAMIA AMEFANYA UMEME KUWA SI ANASA- KAPINGA 📌 *Tanzania kufuta historia ya Vijiji kutokuwa na umeme 📌 Kati ya Vijiji 12,318 bado Vijiji 151 tu kufikiwa na umeme 📌 Wananchi watakiwa kutunza miundombinu ya umeme Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Rais wa Jamhuri ya...
  2. Kadodo1

    JamiiForums Tanzania Waziri Biteko: Tanzania imejipanga vema kuhakikisha inatumia fursa ya uwepo wa soko la pamoja la EAPP la mauziano ya umeme

    TANZANIA IPO TAYARI KUTUMIA FURSA YA SOKO LA PAMOJA KUUZIANA UMEME - DKT. BITEKO 📌Ni kufuatia uwepo wa fursa hiyo kwa nchi 13 wanachama wa EAPP 📌Mawaziri waridhia uwepo wa kitengo huru cha masoko cha kuuziana umeme 📌Wanachama EAPP watachangia Megawati Elfu 90 kwenye soko la pamoja la...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Niliyoyaona kwenye nyumba kongwe wakati wa repair, mimi ni fundi umeme natamani kuacha kazi

    Wakuu Nimefanya kazi za domestic wiring repair kwa zaidi ya miaka kumi, nimeona mengi lakini ya leo ni kubwa kuliko. Leo nimekuta kaburi na msalaba kabisa kwenye cealing board. Natamani kuacha lakini life ngumu.
  4. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kumbe mgao wa umeme ulikuwa wa mchongo?

    Angeyasema kiongozi wa dini, angeweza kutuhumiwa kuwa anachanganya dini na Siasa! Wangeongea CHADEMA, wangeambiwa ni tabia yao kupinga! Lakini sasa aliyeongea ni kada Luhanga Mpina? Nani atakayemjibu? Kwa mujibu wa huyo mzalendo, kilichokuwa kikichangia tatizo la umeme kukatika mara kwa mara...
  5. Kadodo1

    JamiiForums Tanzania Waziri Biteko: Kituo cha kupozea umeme GGM ni kielelezo cha Historia kwenye Sekta ya Umeme Nchini

  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mgodi wa GGM waanza kutumia umeme wa Gridi badala ya mafuta

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amezindua kituo cha kupokea na kupoza umeme katika Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) chenye uwezo wa megawati 34 ambacho sasa kinawezesha GGML kuanza kutumia umeme wa gridi kwa matumizi yake badala ya mafuta na hivyo kupunguza gharama...
  7. Kadodo1

    JamiiForums Tanzania Mgodi wa GGML waaanza kutumia umeme wa gridi ya Taifa. Sasa watatumia Umeme wa TANESCO badala ya Mafuta

    MGODI WA GGM WAANZA KUTUMIA UMEME WA GRIDI BADALA YA MAFUTA 📌 Dkt.Biteko azindua kituo cha kupoza umeme cha GGM (MW 34) 📌 Asema kitaongeza mapato ya mgodi kwa Serikali 📌 Aipongeza GGM kuzipa kipaumbele kampuni za kizawa 📌 TANESCO kuingiza mapato ya sh.Bilioni 2 hadi 3 kwa mwezi Naibu Waziri...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nauza mashine ya kukamua juisi ya miwa. Imetengenezwa sido. Inatumia umeme na imetumika kwa takribani mwezi mmoja. Ipo Kimara DSM

    Nauza mashine ya kukamua juisi ya miwa. Imetengenezwa sido. Inatumia umeme na imetumika kwa takribani mwezi mmoja. Ipo Kimara DSM Inauzwa Tsh 700,000/ Phone: 0675336219 Mashine bado ipo wadau
  9. Kadodo1

    JamiiForums Tanzania TANESCO kuzindua kituo cha kupokea na kupozea umeme cha Mgodi wa Geita mine

    Hatimaye Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) inaenda kuanza kutumia umeme wa gridi ya Taifa kutokana na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kukamilisha ujenzi wa kituo cha kupokea na kupoza umeme unaofikishwa mgodini hapo Kituo hicho kilichojengwa kwa gharama ya Sh60.6 bilioni...
  10. D

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri Biteko, kwanini nguzo moja ya umeme ilipiwe Tsh 515,000/ wakati ni mali ya shirika? Huu unyanyasaji mpaka lini?

    Wakati unataka kuunganishiwa huduma ya umeme kama nyumba iko mbali kila nguzo moja ni sh. 515,000/, nguzo ni mali ya shirika, mwananchi ni mteja wa huduma ya umeme kwanini alipie nguzo? Huu ni uonevu mkubwa sana. Kwanini mwananchi anunue kitu ambacho si mali yake? Mlitegemea bila nguzo...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko huu mgao wa umeme Arusha ni wa nini?

    Sahivi kila siku kuanzia saa 12 jioni umeme unakatwa huku Arusha wilayani Arumeru, kurudi saa 5 usiku, huu ni mgao? Kwanini msitangaze? Huu mgao upo na maeneo mengine ya nchi? Shida Biteko baada ya kuwa naibu waziri mkuu naona muda mwingi yuko kwenye uzinduzi wa shughuli mbalimbali...
  12. D

    JamiiForums Tanzania TANESCO, Usa-River Arusha kuna mgawo wa umeme?

    TANESCO Wilaya ya TANESCO Usa-River Arusha tangia juzi ikifika saa 12 jioni mnakata umeme, vipi kuna mgawo? Au ni kwamba hamsikii raha bila kutukatia umeme. Meneja wa hapa km siyo mchawi basi ana roho ya kichawi maana mojawapo ya malengo ya uchawi ni kutesa wenzako.
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kapinga: Rais Samia ameridhia ujenzi wa Vituo 75 vya kupokea, kupoza na kusambaza umeme

    Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia Wiizara ya Nishati kupitia TANESCO kujenga vituo 75 vya kupokea, kupoza na kusambaza umeme ikiwa ni jitihada zake za kuhakikisha wananchi katika maeneo yote wanapata umeme...
  14. Edson Eagle

    JamiiForums Tanzania Ajali ya nguzo ya umeme Mugumu Mjini

    Pichani ni tukio lililotokea Mugumu mjini baada ya nguzo ya umeme kudondoka nakuangukia pikipiki na pia imenoa kudondokea watu waliokuwa karibu yake.
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TRC yaomba radhi kutokana na hitilafu ya umeme katika Treni ya SGR

    TAARIFA KWA UMMA HITILAFU YA TRENI YA KAWAIDA YA ABIRIA KUTOKA DODOMA KUELEKEA DAR ES SALAAM Dar es Salaam, Tarehe 2 Agosti 2024 Shirika la Reli Tanzania (TRC) linaomba radhi kwa abiria waliosafiri kutoka Dodoma saa 2.15 usiku kuelekea Dar es Salaam Agosti 1, 2024 kwa treni ya mwendo kasi...
  16. K

    JamiiForums Tanzania KERO Sinza A Umeme tunakatiwa kila siku

    Wadau, huku kwetu sinza A ni changamoto, siku haibadiliki bila umeme kukatika sio chini ya mara mbili, sasa hatuelewi ni mgao au ni uamuzi wa wenye nchi kutufanyia hivi.
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nauliza tu kipi kilitakiwa Kitangulie kuwa Imara Kwanza kati ya Umeme wa uhakika katika Mfumo au Jongoo aanze 'Matembezi Kasi' tupate Sifa za haraka?

    Mkuu Mtani wangu Mwerevu Arovera nitafurahi sana kama ukija na kuanza kutoa Muongozo wako wa Kimaoni hapa.
  18. D

    JamiiForums Tanzania KERO Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati hii katika katika ya umeme wilaya ya Arumeru mkoani Arusha ni ya nini?

    Huku wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha kuna tatizo kubwa sana la umeme, kwa siku umeme unaweza kukatika hata mara 10 au zaidi. Tatizo ni nini? Nchi sasa hivi haina shida ya umeme, kuna nini huku Arumeru. Mhe. Naibu Waziri Mkuu tunaomba wasaidie wananchi wako. Hii ni hujuma dhidi ya serikali ya...
  19. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Maboss wa JamiiForums kuna gari lenu hapa la umeme: Rolls Royce Spectre

    Katika press conference mwaka 2010, wakati iPhone 4 imetoka, Steve Jobs alivyoulizwa kama Apple wana mpango wa kutoa simu kubwa alijibu "no one is going to buy a big phone", akiamini kwamba size ya 3.5 inch ni perfect kwa simu. Muda huo ilikua kijembe kwa Samsung S1 iliyokua na 4 inch. Kwa muda...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANESCO kukata umeme baadhi ya maeneo Mkoani Dar tarehe 28 Julai 2024

    TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME KUZIMWA KWA BUS BAR YA MSONGO WA KILOVOLTI 220 KATIKA KITUO CHA KUPOZA UMEME CHA UBUNGO 27 JULAI, 2024 Shirika la Umeme Tanzania, linawatangazia wateja wake wa Mkoa wa Dar es salaam kuwa kutakua na katizo la umeme katika maeneo yao. Sababu: Kuwezesha...
Back
Top Bottom