umeme

  1. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuzalisha umeme wa upepo na umeme wa jua kwa kutumia Treni ikiwa kwenye mwendo wa kasi

    Jinsi ya Kuzalisha Umeme wa Upepo na Umeme wa Jua kwa Kutumia Treni Ikiwa Kwenye Mwendo wa Kasi Kutumia treni za mwendo wa kasi kuzalisha umeme wa upepo na umeme wa jua ni wazo la kiubunifu linalolenga kukuza matumizi ya nishati safi na endelevu. Treni hizi, kama vile zile za SGR, zinaweza...
  2. B

    JamiiForums Tanzania BWAWA LA UMEME JNHPP 1,075

    20 December 2024 BWAWA LA UMEME JNHPP Sasa linazalisha Megawatts 1,075 kati ya Megawatts 2115 https://m.youtube.com/watch?v=uurfxrQkAi8 Vinu namba 9, 8, 7, 6 na 5 sasa vimekamilika hadi leo 18 December 2024 na huku vinu namba 4, 3, 2 na 1 kazi ya usimikaji inaendelea. Kazi zote za...
  3. Wamweru

    JamiiForums Tanzania Natafuta mashine ya kubangulia korosho iwe to natumia umeme

    Za mapambano wadau Natafuta mashine za kubangua korosho iwe ya umeme
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Nyamo-Hanga: Mashine tano Mradi wa JNHPP zimekamilika kwa 100% na zimeanza uzalishaji wa umeme

    Uongozi wa Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO) Desemba 19, 2024 umetembelea Mradi wa Kufua umeme wa Bwawa la Julius Nyerere kujionea kasi ya maendeleo ya ujenzi unavyoendelea na kuweka mkazo kwa wasimamizi kuhakikisha usimikaji wa mashine nne zilizobakia unafanyika ipasavyo ili umeme...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hitilafu kubwa ya umeme yaikumba Kenya, umeme wakatika maeneo mengi ya Nchi

    Kampuni ya Kusambaza Umeme nchini Kenya imetangaza kutokea kwa hitilafu kubwa ya umeme usiku wa kuamkia leo Disemba 18, 2024 iliyosababisha kupotea kwa nguvu ya umeme nchini kote, isipokuwa maeneo ya Magharibi na eneo la Bonde la ufa kuanzia majira ya saa sita na robo usiku. Kupitia taarifa...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Siku ya tatu leo, kariakoo katikati na sina umeme, tanesco wanasema wanakuja na hawafiki

    Ninazo claim report number inne tofauti, kila nikiulizia napewa number ila kuja hawaji kushughulikia tatizo na ni dharura Sasa sijui emergency kwa tanesco ni siku inne? Kama kariakoo tu ni hivi huko vijijini ikoje? Hawajawahi kuwa serious
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO - Chanika, mtaa Wa Mazinda, mjitafakari mnakata umeme kila siku saa 1 usiku mnarudisha saa 5 usiku

    Yaani huwezi kuamini Wananchi baadhi huku wamekuwa wanateseka saaana na kero ya umeme! Umeme unakata saa moja usiku na kurudi saa 5 usiku! Mchana unakatika na kurudi.. "This is too much" Hii ni kwa zaidi ya miezi kibao huku nyuma yaani Chanika kwa MAZINDA nikama bado wapo miaka ya zamani sana...
  8. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Unatumia usd billion 7+ kujenga mradi wa train ya umeme halafu unampa mtu amabye hana uzoefu wowote wa kusimamia hiki ni kichekesho

    Ukituatilia mambo mengi ya serikali yaavyoendeshwa utakubaliana na mimi hii nchi mambo mengi yanaendeshwa kimchongo Watu walioko serikalini hawana uwezo wa kufikiria miaka 3 mbele itakuaje maamuzi yao mengi ni watapata nini wakati huu ni mwendo wa shortcut Mfano TRC wanataka kununua engine za...
  9. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Eti Train ya Umeme kununuliwa engine za Diesel ⛽

    Tunaposema Tanzania inahitaji viongozi wenye maono,malengo na uzalendo wa kweli tunamaanisha. Ni juzi tu train ya umeme imeanza kazi huku Stigler gorge ikiwa imeanza kuchangia kiasi cha megawatt kwenye gridi ya taifa ila cha kushangaza na kitia huzuni ni kwamba badala ya kuwa na mkakati mahususi...
  10. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Toyota wazindua IST ya umeme: Urban Cruise EV

    Wengi tukiongelea Toyota IST tunaongelea first gen na 2nd generation, ambazo nchi nyingine ikiwemo America na UK wanaziita Urban Cruise. Sasa leo, jamaa kutoka JP wamezindua generation nyingine ya Urban Cruise ambayo ni full EV. Inakuja na power options mbili, kubwa ni AWD, 182 hp dual motor...
  11. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Mradi wa kuzalisha umeme kupitia gesi asilia wa Kinyerezi One

    Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020- 2025, Ibara ya 63(i)(c) imeelekeza Kukamilisha ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia gesi asilia wa Kinyerezi I – Extension (MW 185). Mradi huu sasa umekamilika ambapo mitambo yote minne (4) imewashwa na inachangia Megawati 185 katika Gridi ya Taifa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania KERO Tatizo sugu la umeme Kigamboni

    Kumekuwa na Tatizo sugu la kukatika umeme Kigamboni. Nafikiri sekta binafsi inaweza kuliendesha vizuri na kwa uweledi Mzuri hili shirika kuliko hizi adha tunazozipata hivi sasa chini ya Serikali.
  13. C

    JamiiForums Tanzania KERO Tanesco Shinyanga kuna nini umeme kukatika katika kila baada ya nusu saa?

    Tangu jana kuna maeneo umeme umekuwa ukikatika katika na vipindi virefu bila kuwa na umeme. Hali hii inatuletea usumbufu sana na kuturudisha nyuma kiuchumi hususan tunaoishi kwa kutegemea umeme. Vyakula vilivyohifadhiwa kwenye majokofu vinaharibika,vifaa vya umeme pia vinaharibika.Hakuna tamko...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mwanafunzi Ufundi wa umeme wa magari. Changamoto nilizoziona mpaka sasa

    Habari wanajamii forums wote. Mimi ni kijana umri miaka21 nilianza kujifunza ufundi umeme wa magari mwezi wa tano mwishoni mwaka huu. Kiukweli nilikuwa napenda sana magari tangu awali, na aliyenivutia jamaa jirani yetu nilipokuwa nikiishi awali. Ni fundi mzuri sana ni mtu wa arusha. Siku moja...
  15. Tman900

    JamiiForums Tanzania SGR: Vifaa Vya Kazi( Mafundi Umeme+ Mgari)

    Katika usafiri wa Sgr, umelenga watu wanafanya kazi maofisini tu. Kwa mfano mtu kama fundi Umeme au Fundi makenika Hawa watu wanavifaa vya chuma au Mafundi Bomba. Ukifika katika ukaguzi wanazuia Vifaa. swali Je wanaopanda Sgr ni watu wa Ofisini peke, pia katika mabehewa Kuna Abiria na...
  16. Jerry Farms

    JamiiForums Tanzania KERO Giza katika makazi ndani ya manispaa za Shinyanga na Kahama licha ya nyumba hizo kuwa na umeme nyakati za usiku

    Hali hii imezoeleka katika manispaa tajwa hapo juu! Na kugeuka maficho ya vibaka na machimbo ya watenda vitendo haramu! Ni rai yetu kwenu uongozi wa manispaa. Kuja na mpango mkakati wa kutokomeza hali ya ugiza kwa kuzindua angalau kampeni ya nyumba kwa nyumba kuwataka wamiliki kuweka taa za...
  17. Kaplizer

    JamiiForums Tanzania KERO Mgao mkali Wa umeme Urambo, Kaliua, Biteko tusaidie mitaji inakufa..

    Kiukweli wafanyabiashara na wakazi wa Kaliua na Urambo tunateseka sana.. umeme kwa siku unakatwa zaidi ya mara nne na kiukweli haukai zaidi ya saà sita. Kibaya zaidi TANESCO huku hawana lugha nzuri na huduma mbovu. Saluni na biashara nyingi za umeme zimekufa. Msaada wenu Mods Uzi huu uwafikie...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri: Poleni Wakazi wa Kitunda kwa changamoto ya umeme, kuna hitilafu zinazojitokeza katika Miundombinu

    Muda mfupi baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamika kuwa Mtaa wa Kitunda - Machimbo kuna kero ya Umeme kuwa unakatika zaidi ya mara tatu kwa siku, Serikali imetoa ufafanuzi na kuwapa pole Wananchi wanaopitia kadhia hiyo. Mwanachama huyo alidai Wananchi wanapata wakati mgumu ikiwemo...
  19. Nkuruvi

    JamiiForums Tanzania Je kubadili Power Stearing ya Umeme kuwa ya Hydraulic kwenye gari ni salama?

    Wadau, Subaru Forester Non Turbo ina Electric Power Stearing imekuwa ikitoa mlio kama inagonga tairi la kushoto mbele. Fundi ameicheki, ananiambia tatizo ni Power Stearing, nan kwakuwa ni ya umeme huwa zinasumbua kwa namna hiyo. Amenishauri niibadioishe kutoka kuwa Power Stearing ya Umemeiweya...
  20. Jangili La Kimataifa

    JamiiForums Tanzania Umeme na mvua

    Kuna mikoa mvua ikianza kunyesha tu haichukui dakika 5 umeme unakatika sijui tanesco wameshindwa kusolve hili imekua ni tamaduni na desturi 🤔
Back
Top Bottom