umeme

  1. U

    JamiiForums Tanzania Vijiji Vyote sasa Vina Umeme na Smart Phone, Tundu Lissu Samia wanajulikana Kila Mahali

    CCM Hapo zamani walikuwa wanatumia udhaifu wa elimu ndogo na mawasiliano dhaifu kudanganya na kuhujumu mambo ya uchaguzi, sasa mambo yamebadilika , serikali hiyo hiyo ya ccm imefikisha umeme kila kijiji na kuboresha mawasilino karibia vijiji vyote 13,000. CCM wapiga kura wao wengi walikuwa ni...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO wakazi wa Boko magengeni na viunga vyake mnatutesa kwa kutukatia umeme hadi usiku wa manane

    Tangu kuanza wiki hii TANESCO wamekuwa wakikata umeme bila taarifa kabisa kwa wananchi wa maeneo husika Boko magengeni, Bulemawe, Chama,Calfonia, Ndogondogo center na Mtambani. Mfano jumatatu, jumanne, jumatano wanakata umeme kuanzia asubhi unarudi usiku! Na ukirudi tena saa sita au saa 7 usiku...
  3. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Wananchi wachangishwa nguzo ‘hewa’ umeme wa REA Muleba

    Na Mwandishi Wetu WANANCHI wa Kijiji cha Bulembo, Tarafa ya Kamachumu, wilaya ya Muleba mkoani Kagera wamechangishwa fedha za nguzo ‘hewa’ katika mradi unaotekelezwa na Wakala wa umeme vijijini (REA) kijijini hapo. Mradi huo unaotekelezwa na REA kupitia kampuni ya Naproi umegubikwa na...
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Hyundai na TVS waungana kutengeneza "Bajaji" za umeme. Zimekaa Unyama sana!

    Kampuni ya magari kutoka Korea Hyundai, wameungana na Muhindi TVS kuleta "bajaji" za umeme ambazo unaweza ukazitumia kwa business au usafiri private. Hyundai yeye atatoa engineering na technology wakati TVS atafanya assembly na marketing. Bei na specifications zaidi bado hazijawekwa wazi.
  5. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania NIi kweli umeme Zanzibar ni rahisi kuliko Tanganyika?

    Nimeona Habari ya kushuka kwa bei za umeme Zanzibar, ndio nikashtuka kua kumbe tokea siku nyingi umeme Zanzibar NI Rahisi kuliko Tz bara. Je umeme si unatoka huku kwetu? Nini shida mpaka Sisi tunyonywe Unit inauzwa ghali ?
  6. R

    JamiiForums Tanzania Jamani watangazaji wetu kipimo cha umeme kwenye grid ya taifa ni megawatt siyo megabyte!

    Tangu jana nawasikia mkisoma habari fulani kuhusu umeme na kusoma kama megabyte badala ya megawatt. Megabyte ni kipimo cha data za Internet kama hilo bando unalonunua na kifupi chake ndio Mb.
  7. milele amina

    JamiiForums Tanzania KERO Mikoa mingi Tanzania, leo hakuna umeme siku nzima! Tatizo ni nini?

    Mikoa mingi nchini Tanzania leo imekumbwa na tatizo la kukosekana kwa umeme kwa muda wote wa siku, jambo lililosababisha usumbufu kwa wananchi na shughuli za kimaisha. Wengi wanajiuliza ni nini chanzo cha hali hili? Kuna mgao wa Umeme😳😳🥺🥺?
  8. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Trump: Kwenye serikali yangu hatuhitaji umeme wa upepo, ni umeme ghali sana. Hatutashiriki hata mara moja kujenga mitambo ya umeme wa upepo.

    Rais mteule wa Marekani ameonya kwamba kwenye serikali hakutakua na muendelezo wa ujenzi wa umeme wa upepo. Trump anasema umeme wa upepo ni umeme ghali sana. Ni umeme unaotegemea ruzuku, bila ruzuku hakuna mtu anaweza kumudu kununua umeme wa upepo. Trump anauliza ni nishati ya namna gani hiyo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini TANESCO hamtoi taarifa juu ya kukatika kwa umeme mpaka pale watumiaji wa huduma zenu wanapolalamika katika mitandao?

    Yaani hili shirika la umeme nchini Tanzania huwa linajiamulia tu kukata umeme pasi na kutanguliza taarifa kwa watumiaji wa huduma zake. Hutaona afisa habari wa shirika hili akitoa taarifa mpaka pale watumiaji wanapolalamika katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mwalimu wa English language., Shule IPO wilaya ya chemba mkoa wa dodoma (Kijijini sana) ila umeme na maji vipo. ..Pia shule ni ya serikali

    Anahitajika mwalimu wa English language, shule ni ya serikali IPO mkoa wa dodoma wilaya ya chemba (Kijijini sana ila umeme na maji vipo) Ambaye yupo siriazii anicheki...posho IPO sio sawa na kukaa buree 0695252896
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Hivi Umeme wa JNHEPP hautoshi kuendesha SGR? Mbona kama ni maajabu?

    Chuma Hayati Magufuli, Alipigaga tu Marufuku Umeme kukatika katika, kweli banaaa Biashara ya Majenereta ikafa. Baada ya Mama kushika Hatamu, Licha ya kua ana JNHEPP Umeme bado unakatika tu. SGR yenyewe ndo mnajionea, Wamiliki wa Ma Bus hao 🤣. Sio kwamba Hana Taarifa, anazo sema anazipuuza ...
  12. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Natafuta Capacitor ya 9uf 450v

    Nimeshindwa kupata Capacitor ya 9uf 450 vac kwa ajili ya Washing Machine, madukani Kariakoo zinazopatikana ni 10uf 450vac au 8uf 450vac, wapi naweza pata hii ya 9uf 450 vac?
  13. Jipatie Siagi ya karanga

    JamiiForums Tanzania Natafuta Ajira /kazi nimesomea Fani ya umeme jinsia KE

    Habari wana-JF. Mimi ni binti Kwa sasa makazi yangu yapo Dar es Salaam Natafuta Kazi au ajira katika taasisi au Kampuni zinazojihusisha na maswala ya umeme. Nimesomea Fani ya umeme hadi Level three. (111). Ninauwezo mkubwa wa kufanya shughuli hii Kwa ufanisi mkubwa na ninafundishika pia ...
  14. S

    JamiiForums Tanzania KERO Shida hii ya Umeme Tunduru mpaka lini?

    Umeme umekuwa kero kubwa wilayani Tunduru, licha ya kukatika lila mara lakini hii imekuwa too much tangu umekatika jana tarehe 1 saa 2 usiku umeme haujarudi mpaka sasa ninapoandika tarehe 2 saa 1744 jioni. Mbaya zaidi hakuna taarifa yoyote kutoka Tanesco.
  15. D

    JamiiForums Tanzania KERO Hivi TANESCO mna shida gani yani siku hizi umeme unakatika na kuwaka kwa siku hata mara 10

    Yani siku hizi huku kwetu maeneo ya Bunju, kwa siku umeme unaweza kukatika na kuwaka zaidi ya mara 10 kwa siku. Toka saa 12, umeme ushakatika na kuwaka mara 3 sasa. Unakatika haipiti hata dakika wanawasha. Sijui wanalenga kutuunguzia vitu. Nina desktop hadi imeanza kuwa na wenge toka juzi.
  16. Mi mi

    JamiiForums Tanzania China inapanga kujenga bwawa la umeme kubwa zaidi

    Serikali ya China inapanga kujenga bwawa la umeme lengine kubwa zaidi duniani mara tatu la sasa Three gorges dam lenye uwezo wa kuzalisha Megawatts 22,500 MW lilipo Yangtze River, Hubei province. Three Gorges Dam Bwawa hilo jipya litakalo jengwa Yarlung Tsangpo river ndani ya Tibet litakuwa na...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Namna ya kufuta leseni yako ya ukandarasi wa umeme

    Wakuu naomba msaada namna ya kufuta leseni ya ukandarasi wa uneme isiwepo kabisa. Ni leseni ndogo ya fundi wa kawaida wa wiring.
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwanini umeme unaendelea kukatika hata baada ya bwawa kubwa na gesi nyingi Tanzania?

    Wengi Tanzania, East Africa, SADC, Africa na Dunia nzima tuliamini Tanzania imejiunga na mataifa yenye umeme mwingi wa uhakika baada ya kukamilika kwa ujenzi wa bwawa la Nyerere na kuwa kuwa na kiasi kikubwa cha gesi, lakini wapi bwana shida Iko palepale na vilevile. Umeme unaendelea kukatika...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania MBEYA: Je, TANESCO na REA mmeishiwa nguzo mpaka mnafunga nyaya za kusambazia umeme kama kamba za kuanikia nguo?

    Hapa ni kitongoji cha Hasengo, kijiji cha Shibolya wilaya ya Mbeya vijijini mkoani Mbeya, Ni jambo jema na tunashukuru huduma ya umeme imetufikia kupitia wakala wa kusambaza umeme vijijini REA, baada ya kutokuwepo kwa huduma hiyo muhimu tangu kupata uhuru wa nchi hii. Bila shaka usambazaji wa...
  20. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya Kutumia Submeter ya Umeme

    Hapo pichani ni Submeter ya Umeme niliyoikuta kwenye nyumba ya kupanga Ina namba ya mita yenye tarakimu sawa na ya TaNeSCo. Naomba kufahamu Inafanyaje kazi
Back
Top Bottom