umeme

  1. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kero za nyumba za kupanga: Nawasha taa moja ila naambiwa nilipe bill ya umeme sawa na wanaotumia TV na Fridge

    Hii ilinitokea kipindi napanga , nilikuwa nawasha taa moja usiku wa Saa nne Ila nilikuwa nalazimishwa kulipa bill sawa na wanaotumia TV, feni, radio pasi ya umeme na fridge na wengine walikuwa wanatumia heater Hii ndo akili ya MTU mweusi huwa aangalii usawa Ila anaangalia mbele ya pua yake.
  2. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Ninavyodhibiti gharama za umeme

    Umeme ni moja ya gharama inayokula fedha sana,kwa sasa kwakuwa nimestaafu nipo home,natumia mbinu zifuatazo kupunguza matumizi ya umeme: 1.Kwenye nyumba nayoishi na mrs na familia kuna ststem mbili za umeme,wa tanesco na sola.Taa za kwenye geti na fensi natumia sola ambazo hujiwasha kuanzia saa...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Taarifa Muhimu kwa baadhi ya wateja kwenye Mikoa ya Dar es salaam na Pwani

    UPANUZI WA KITUO CHA KUPOZA UMEME CHA KINYEREZI NA NJIA YA KUSAFIRISHA UMEME YA MSONGO WA KILOVOTI 132 KINYEREZI-GONGOLAMBOTO Ijumaa 15 Novemba, 2024. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa mikoa ya Dar es Salaam na Pwani kuhusu maboresho ya miundombinu yanayoendelea...
  4. Mi mi

    JamiiForums Tanzania CHINA yawa nchi ya kwanza kufanya uzalishaji wa magari ya umeme 10mln kwa mwaka

    Nchi ya China imekuwa nchi ya kwanza duniani kufanya uzalishaji wa magari ya umeme 10mln kwa mwaka.
  5. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO Arumeru manyunyu kidogo tu ya usiku umeme umezimika mpaka sahizi?

    Hapa wilayani Arumeru usiku wa kuamkia leo yalipita manyunyu kidogo sana ya mvua, ajabu umeme umekatika kuanzia usiku mpaka sahizi hautarudi. Huu mfumo wa umeme una nini. Je ingetokea dhoruba kubwa tungejificha wapi, tunaishi maisha ya kubahatisha sana, mfumo wa umeme wa TANESCO umeoza, na...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wananchi Kiteto Wamuomba Mbunge Ole Lekaita Shule ya Sekondari, Umeme na Barabara

    Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mhe. Edward Ole Lekaita amemkabidhi Mwanafunzi mwenye ulemavu wa miguu Kitimwendo alipotembelea Shule mpya ya Msingi Nguzosita iliyojengwa kwa gharama ya zaidi ya Shilingi Milioni 500. Aidha, Mhe. Edward Ole Lekaita amechangia mifuko ya Saruji 100 kwaajili ya Ujenzi...
  7. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Iran waanza kuona kero za umeme wa Mgao - Israel haihusiki

    Iran imetangaza ratiba ya mgao wa umeme wa nchi nzima kuanzia Jumapili, ya juzi kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya gesi asilia huku kukiwa na baridi kali, ambayo imesababisha uhaba wa mafuta katika vituo vya umeme...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kukamilika kwa Mradi wa Umeme Rusumo Kunazidi Kuimarisha Gridi ya Taifa - Kamati ya Bunge

    📌 Ni mradi wa megawati 80 unaotekelezwa na Tanzania, Burundi, Rwanda 📌 Kila nchi yafaidika na megawati 26.6 📌 Kamati yasema mradi utazidi kuimarisha uhusiano mzuri wa Tanzania, Burundi, Rwanda Imeelezwa kuwa, mradi wa kufua umeme unaotokana na maji wa Rusumo, umeanza kuzalisha megawati 80...
  9. much know

    JamiiForums Tanzania Bwawa la umeme effect, Baada ya Symbion power sasa ni zamu ya SONGAS kufungashwa virago, Nimeelewa kwanini walikuwa hawalitaki bwawa lijengwe

    Upinzani watasema tutashitikiwa miga
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Tsh. Bilioni 8 wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kutumika kupeleka umeme katika Visiwa 118

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza rasmi safari ya kupeleka umeme katika visiwa vyote Tanzania Bara huku ikiwahakikishia wananchi hao kuwa wote watafikiwa. Akizungumza wakati wa ziara ya Wabia wa Maendeleo walipotembelea miradi...
  11. J

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Maji na Umeme Kahama

    Mimi ni mkazi wa Kahama Mjini, na ningependa kuwasilisha malalamiko kuhusu sekta mbili: Kahama Urban Water Supply (KUWASA) na Tanesco Kahama. Huduma ya umeme imekuwa kero, kwani umekuwa ukikatika mara kwa mara bila taarifa maalum, hadi mara 5-9 kwa siku. Hali kadhalika, huduma ya maji pia...
  12. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Umeme unakatika karibu kila siku jamani! Au ndio changamoto za kuondolewa kwa Songas zimeanza?

    Kuna uwezekano wa kwamba kuondolewa kwa Songas kumechangia hali hiyo, hasa kama kulikuwa na utegemezi mkubwa kwenye mitambo yake ya kuzalisha umeme. Songas ilikuwa na jukumu kubwa katika uzalishaji wa umeme nchini, na kuondoka kwake kunaweza kuleta changamoto za upatikanaji wa nishati kwa...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded TANESCO Tabora: Kulikuwa na hitilafu ya transfoma, imetatuliwa, kuhusu Uyui umeme utakatika tena kwa ajili ya matengenezo

    Siku chache baada ya baadhi ya Wanachama wa JamiiForums.com kuandika maandiko ya kulalamikia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kutokana na changamoto ya kukatika kwa umeme mara kwa mara katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Tabora ikiwemo Kata ya Tura Wilayani Uyui na maeneo mengine ya Manispaa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kweli nchi yetu bado ni ya ulimwengu wa 3, kwa sababu umeme tu bado ni tatizo

    Ni ndani ya jiji muhimu la kibiashara la Dar es Salaam, lakini umeme unakata bila taarifa je kwa mikoani yawezekana karibia kila siku umeme unakata. Soma pia: Tatizo la umeme mkoani Tabora
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Judith Kapinga: Serikali inaunganisha Mtwara na Lindi kwa umeme wa gridi kutokea Songea kupitia Tunduru, Masasi -Mahumbika

    Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali inatekeleza mradi wa kuiunganisha Mikoa ya Mtwara na Lindi na umeme wa gridi kutokea Songea kwa kupitia njia ya Tunduru, Masasi -Mahumbika. Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo Novemba 04, 2024 bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la...
  16. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Kasulu, tumelala giza tumeshinda bila umeme na usiku umeingia bila umeme

    Serikali ya wilaya ya Kasulu imekaa kimya tu wananchi walipakodi tunashinda na kulala gizani. Haya ndiyo mambo yanayosababisha watu tujifunze kukwepa kulipa kodi maana hatuoni umuhimu wake Inakera sana TANESCO makao makuu tuna uhakiaka hamna taarifa na hizi hujuma tunazofanyiwa na uongozi wa...
  17. Trainee

    JamiiForums Tanzania Napendekeza mfumo wa umeme ushughulikiwe na TANESCO pekee

    Sijui heading ipo sawa au laa ila ninachokusudia ni zile process za kuvutia umeme majumbani. Huwa sipendi kubahatisha nikauliza mtu wa TANESCO kuhusu umeme nikaambiwa cha kwanza piga wiring ndipo ujaze fomu. Nimejaza fomu online napiga simu TANESCO huduma kwa wateja nijue hatua inayofuata...
  18. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Treni ya kwanza ya Umeme nchini Tanzania

    Kwa mara ya kwanza toka tanganyika na Zanzibar kuungana na kupatikana Tanzania Jana safari ya Kwanza ya treni ya umeme ya kisasa yenye kazi ya kusafirisha abiria ambayo inaitwa Electric multiple Unit kwa jina maarufu ni Treni ya mchongoko. Ilianza safari toka Dar Es salaam, Morogoro mpaka...
Back
Top Bottom