ulinzi

  1. JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Rais Samia alipotua Dar leo

    Mengi yalizungumzwa kuhusu ulinzi wa Rais Magufuli. Wengi wakakosoa kwamba analindwa na maaskari wanaovaa magwanda ya kijeshi jeshi huku wameshikilia mabunduki makubwa. Ni viongozi wengi tu duniani hulindwa hivyo. Hata Rais wa Marekani hulindwa na wanausalama wenye mabunduki makubwa na wanaovaa...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini wake na waume wa Marais wapewe ulinzi?

    Mimi sina uzoefu wa uongozi wa kiserikali lakini nikiwa mume mwenye wake wanne nina uzoefu sana na mambo yanavyokwenda majumbani mwetu. Raisi au mfalme ni mtu mkubwa katika taifa lolote lakini anapoingia chumbani kwake kulala na kujipumzisha na mwenzake anakuwa binadamu wa kawaida sana. Ana...
  3. JamiiForums Tanzania Mambosasa: Watu wengi wamejeruhiwa kutokana na kukanyagwa na kukosa hewa wakati wa kuaga Mwili wa Rais Magufuli

    Dar es Salaam. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema baadhi ya wananchi walioshiriki shughuli ya kumuaga Rais John Magufuli wamejeruhiwa baada ya kukanyagwa na wenzao. Mambosasa ameeleza hayo leo Jumapili Machi 21, 2021 alipoulizwa na Mwananchi Digital kuhusu...
  4. JamiiForums Tanzania Tulizeni Mioyo Watanzania: Taifa liko Salama Mikononi mwa Mama Samia Suluhu Hassan

    Naomba kuwapa pole Watanzania wenzangu kufuatia msiba huu mkubwa wa Taifa letu. Kifo cha Rais John J. P. Magufuli kumeacha ombwe na pia mafunzo kwa maisha yetu sote. Nimepokea kwa masikitiko makubwa msiba huu. Vyovyote vile ilivyo, kama nilivyowahi kusema huko nyuma hakuna ombwe la uongozi...
  5. JamiiForums Tanzania Tovuti ya Shule ya Sekondari Kawawa yadukuliwa

    Habari zenu wanajukwaa na ma great thinker wa JF. Matumaini yangu ni kwamba tunaendelea salama, kwa waliopatwa na matatizo nawaombea kwa m/Mungu awasaidie. Moja kwa moja niende kwenye mada tajwa hapo juu, imekuwa jambo la kawakda kwa tovuti nyingi za kibongo kutokuwa na structure, organization...
  6. JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Kim Jong "Kiduku"

    ULINZI WA KIM JONG "KIDUKU". Kama inavyofahamika dhahiri kuwa ni vigumu kwa mwanga wa mshumaa kudumu katikati ya upepo wa kimbunga unaoangusha maghorofa; vivyo hivyo ni vigumu hata kwa ‘inzi’ mwenye nia ovu kumsogelea Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un. Huyu ni kiongozi ambaye vyombo vya...
  7. N

    JamiiForums Tanzania HATARI: Viongozi wa Simba ongezeni ulinzi kwa Wachezaji

    Haswa team inapoenda mikoani wanaposhuka kwenye basi au kama ile walivyopokelewa Airport wakitoka Kinshasa Manula akanusurika kuibiwa simu. Kumbukeni kuna kipindi Rwanda watu walikuwa wanogopa kusalimiana mtu anaweka kipini kidogo anabana na super glue kina sumu anakusalimia anakuchoma nacho...
  8. JamiiForums Tanzania Sisi Mtibwa Sugar tunataka polisi kuimarisha ulinzi Uwanja wa Taifa kukabiliana na wahuni wa Yanga

    Video ikionyesha wahuni wa Yanga wakiahidi kufanyia fujo marefa kama timu yao itafugwa. Mtibwa Sugar tunatoa rai kwa TFF ishirikiane na Jeshi la Polisi kuweka ulinzi na kutoa kipigo cha mbwa koko kwa wahuni wa Yanga. Tunalitaka jeshi litoe onyo kabisa kabla ya mechi,wahuni wanaokuja na matoeo...
  9. JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zazindua mpango wa uundaji wa mfumo mpya wa ulinzi wa anga wa Arrow-4

    Habari! Israel imetangaza Alhamisi kuwa inashirikiana na Marekani katika mpango wa uundaji wa mfumo mpya wa ulinzi wa anga dhidi ya makombora ya balistiki unaojulikana kama Arrow-4 ambao unajumuisha kizazi kijacho cha vizuizi (interceptors) ambao utachukua nafasi ya mfumo uliopo wa Arrow-2 kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kifo cha Balozi John Kijazi?

    Kwanza poleni sana kwa misiba iliyoikumba nchi yetu. Pili, watu huelewa uchapakazi wako bila wewe kuwaambia. Wanaweza wakakupendekeza kama uchapakazi wako ni mzuri au wasikupendekeze kulingana na uchapakazi wako wa hovyo hovyo. Ile watu wakisema fulani anafaa basi hata usipopewa nafasi hiyo...
  11. JamiiForums Tanzania Simba wamepewa ulinzi

    Tunashukuru serikali kupokea Ombi letu la Wana wa Msimbazi kupewa ulinzi. Sasa mashabiki wote wa Simba jiandaeni kwa ulinzi
  12. JamiiForums Tanzania Hawa mbwa hawana urafiki na mtu wasiyemfahamu. Ulinzi Shirikishi niliwakatalia baada ya kuwa naibiwa home then wanataka niwachangie mwisho wa mwezi

    Hawa mbwa nawapenda ni very strong. Imagije dume anafika kilo 80 asili yao ni South Africa. Kwa Makaburu huko Wanaitwa Boerboel. Hawa jamaa hawana woga kabisa. Na miaka ya nyuma walikuwa wakitumika mpaka kupambana na leopards au mbwa mwitu. Home ninao watatu na nlipata kutoka kwa rafiki yangu...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya ondoeni Majeshi yenu huko Somalia kisha imarisheni ulinzi mkali na ndani

    Hili ni bandiko la WITO Serikali za Jamhuri ya Kenya na Jamhuri ya Somalia zote ni huru kuendesha mambo yake ya ndani. Nchi moja kuingia nchi nyingine kwa kisingizio cha tishio la UGAIDI katika nchi vamizi ni uvunjifu wa haki za binadamu. Nchi ya Somalia haijawahi kuomba seriikali ya Kenya na...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa ulinzi na usalama mkoa wa Mbeya unatia mashaka; Matukio makubwa yaliyotokea Mbeya yanaashilia askari hawasimamiwi vema

    Leo naomba tuimulike mbeya. Mkoa wa Chalamila na watu wake. Inakuwaje matukio makubwa yenye misingi ya haki yanatukia mbeya? Mtakumbuka Kuna skendo ya muwekezaji wa mifugo hivi majuzi kajinyonga kutokana na mifugo yake zaidi 50 kukamatwa! Ukitafakari kwa haraka haraka unaweza ona ni tukio la...
  15. JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma tamko la Wizara ya Afya kuhusu tukio la askari wa ulinzi SUMA – JKT kutuhumiwa kumpiga ndugu wa mgonjwa

    TAARIFA KWA UMMA TAMKO LA WIZARA YA AFYA KUHUSU TUKIO LA ASKARI WA ULINZI SUMA – JKT KUTUHUMIWA KUMPIGA NDUGU WA MGONJWA
  16. JamiiForums Tanzania Marekani yapata Waziri wa Ulinzi wa kwanza mweusi

    WASHINGTON – The Senate on Friday confirmed Lloyd Austin as the nation's first Black defense secretary, the second nominee of President Joe Biden to be confirmed by the chamber. Austin is a retired four-star Army general who will be the first Black secretary of defense. He was the first Black...
  17. JamiiForums Tanzania Naombeni kazi yoyote ile ya halali nifanye wakati huo nikisubiri majibu ya kampuni za ulinzi nilizo omba

    Mkuu kampuni gan umeomba Mbona garda ukiomba unaanza mafunzo hapo hapo haina kusubili subili hovyo hovyo
  18. N

    JamiiForums Tanzania Niliwaonya Simba kuhusu ulinzi wa CEO Barbara mkapuuza, ameshambuliwa Z'bar

    Baada ya kina Francis Mhando wa Efm kumfanyia dhihaka Barbra na kumuita pisi kali chombo ya fundi wakihusisha maneno ya mtandaoni kuhusu mkude kusimamishwa kwamba alimtongoza nilianzisha uzi hapa na kulaumu sana wako walionisapoti wako waliodhihaki kama kawaida maana kwa Ta nzania mwanamke ni...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada, nataka kufungua kampuni ya ulinzi

    Msaada, nataka kufungua kampuni ya ulinzi ?
  20. JamiiForums Tanzania Ndiyo uhuru wa Habari/Kujelezea ni muhimu; Lakini mipaka ni Lazima iwekwe kwa ulinzi wa taifa. Kwanini? Zingatia kisa cha Ukraine

    Mnamo 2013, Wa-Ukraine walikusanyika katika mitaa ya Kyiv kuelezea wasiwasi wao juu ya njia mpya ya nchi yao. Harakati za “Euro-maidan” kama zilivyojulikana, zilipinga msimamo mpya wa Ukraine unaounga mkono Urusi. Rais wa Ukraine, Yanukovych, alisitisha ghafla kutia saini kwa makubaliano ambayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…