Hivi ni lazima tu ukiwa Kikosi cha Ulinzi cha Marais (Viongozi) duniani uwe pia ni 'Baunsa' hasa kimuonekano?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,848
109,554
Kuna Walinzi wa Marais (Viongozi) fulani duniani kwa mfano wale wa Vladmir Putin wa Urusi, Paul Kagame wa Rwanda na hata Walinzi wa Papa Fransisco ambao 'nimedokezwa' na 'Wabobezi' wa haya 'Masuala' kuwa ndiyo wako 'imara' mno ila kinachonishangaza wana Miili ya 'Kawaida' sana na si ya 'Kikomavu' na 'Kutisha' kama ya Walinzi wa Marais (Viongozi) wengine.

GENTAMYCINE pia nauliza je, ni lazima Walinzi wa Marais (Viongozi) duniani wawe ni 'Mabaunsa' au kuna cha 'Ziada' kinachoangaliwa Kiutendaji?
 
Sio lazima, ni mazoezi tu.

Ukitaka kujua kama ni imara hebu JARIBU SIKU MOJA.
 
Mbwembwe tu hizo ukitaka kujua jaribu kwa wachina wana vimwili kidogo ugali robo hamalizi lakin anapiga nakozi shetani anasubili lakin hawa mabaunsa ubwabwa hawatukii akili wao nguvu nyingi
 
Hawa walinz wa mkulu hasa wale wavaa suti nyeusi TISS wamekaa kizembe sana bora wale washika silaha wapo fit ila wale wavaa suti hamna kitu hawastahili kuwepo pale kabsa ni vile tu hakuna matishio

Kwani huu Uzi ni 'Maalum' Kwao au ni kwa Walinzi wote tu wa Viongozi ( Marais ) katika huu Ulimwengu wote? Usiuharibu huu Uzi wangu tafadhali.
 
Mbwembwe tu hizo ukitaka kujua jaribu kwa wachina wana vimwili kidogo ugali robo hamalizi lakin anapiga nakozi shetani anasubili lakin hawa mabaunsa ubwabwa hawatukii akili wao nguvu nyingi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wabongo bana kujua Kupiga sio sifa ya ulinzi.

Je upo kama Taifa Mob la watu kama 20 wanataka kumvamia Boss mcheza karate atawpiga hapo tunamuhitaji Baunsa ambae harushi ngumi ila kwa stamina kidogo anaweza kuHold watu 8 wasimvamie Boss.
 
Upo umuhimu wa kuwa na taff body Kama kuwa mlinzi wa ubaunsa halafu sio taff hiyo ni kazi bure!.. msingi wa ubaunsa ktk ulinzi ni kuwa na strong muscles haya husaidia ktk mapigano ya mwili kwa mwili.. kuwa mlinzi na kujihakikishia uimara wa kimapigano.

Mkuu hiyo miili usione ni bure tu Labda kwa wasio na mazoezi wao wanaona fani kujaza miili tu lkn wenye kujaza miili na wapo taff ogopa ndugu kono lake tu likitua kwenye shingo yako izrael mtoa roho huyu hapa!😂

Pia kutokana na uimara wa mwili huweza kusurvive kwa muda fulani hata Kama amezuliwa na hivyo kunaweza kupatikana opportunity ya yeye kusurvive zaidi endapo akipatiwa huduma za afya kwa muda husika.. mkuu hebu cheki mtu kama undertaker kwa mkono mmoja anabeba mwana mieleka mwenzake na hapo kamshika shingoni Sasa unakuta Jamaa kila mkono kabebelea mmoja!.. mtu Kama hizo usizichukulie poa ukiingia kwenye anga zao lzm tumbo la kuhara likupate..😂

Inahitaji mtu ambae akikupiga teke ama ngumi yake lzm ukae kwanza na utete kwa lugha!.. sio unakutana na kimtu ngumi unaisikia tu lkn haikuyumbishi!!!

Upo umuhimu wa kuwa na hilo body kwa wanaojua umaana wake na kulitengeneza kuwa taff na sio kuwa puto kubwa ambalo halina chochote!
 
Labda miili ya walinzi wa mondi, harmonise, zuchu & Co Ltd ila kwa walinzi wa Marais wako physic

Ova
 
Back
Top Bottom