ulimwengu

Thomas Emanuel Ulimwengu (born 14 June 1993) is a Tanzanian football striker who is currently playing as a forward for TP Mazembe and the Tanzania national football team.

View More On Wikipedia.org
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mgeni Asiyejulikana: Siri ya Taured na Ulimwengu Usiofahamika

    Mwaka 1954, katika uwanja wa ndege wa Haneda, mjini Tokyo, Japan, mwanaume mmoja alifika kutoka Ulaya kwa ndege ya kimataifa. Alipofika kwenye kituo cha ukaguzi wa pasipoti, maafisa wa uhamiaji walistajabu walipoona pasipoti yake, ambayo ilionyesha kuwa anatoka katika nchi iitwayo "Taured" –...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Majumba ya ajabu ya ulimwengu wa wanyama

    Ni majumba bora yaliyojengwa na wakandarasi wabobevu lakini wasiojivuna Ni wakandasi wa viwango wasiotumia hata msumari mmoja wala sementi lakini wanajenga vitu imara sana Na zaidi hawana fundi maiko wa kuharibu kazi wala kuiba material😀
  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Pengine ulimwengu wetu umeundwa kwa kanuni hizi 1, 0, -, +

    Kumekuwa na kanuni nyingi zinazoelezea ulimwengu wetu jinsi ulivyo umbwa ikiwemo kanuni hii maarufu ya wanasayansi wakubwa "0123" huku "0" ya kanuni hii ikieleza au ikiwakilisha "utupu" yani ulimwengu ulianza ukiwa amna kitu alafu baadae ikaja "1" yani vitu vikaanza kuwepo baadae ikaja "2" nyota...
  4. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Atheist wanafahamu kuwa kuna ulimwengu wa roho?

    Wanayazungumziaje matukio kama haya? 1. Uebert Angel alitabiri kuwa Trump atashinda uchaguzi wa Marekani na ikawa hivyo! 2. Uebert Angel alitabiri kuwa Papa Francis ataaga dunia Jumatatu Asubuhi na unabii wake ukatimia! 3. Uebert Angel alimtabiri mtu atakayechaguliwa kuwa Papa mpya na hilo...
  5. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Tomas Ulimwengu

    Yuko wapi huyo jamaa? Tomas Ulimwengu
  6. jikuTech

    JamiiForums Tanzania Kuelewa kwa Undani Ulimwengu wa Domain na Hosting

    Naamini huenda umewahi kukumbana na changamoto ya kutofautisha dhana mbili muhimu sana katika ulimwengu wa mtandao: domain na hosting. Mara nyingi, watu huchanganya au kushindwa kuzielewa kikamilifu, na hivyo kujikuta wakipotea katika safari yao ya kuwa na uwepo mtandaoni. Leo, nimekusudia...
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mada ya ushirikina: Miongozo namna watu wanavyoumizwa kwenye ulimwengu usio na ithibati za kisayansi

    Ni mpaka yakukute haya mambo ndio unaweza kukaa chini na kuanza kuyatafakari kwa kina Ushirikina hauna ithibati za kisayansi LAKINI UPO na unafanya kazi Ushirikina ni kama moshi.. Upo una uona lakini huwezi kuushika Ushirikina ni kama akili.. Unayo lakini huwezi kumuonesha yeyote.. Ni matokeo...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kama nafsi/roho huendelea kuishi baada ya kifo, Ndoto yangu niufahamu ukweli kuhusu ulimwengu

    Kama baada ya kifo nafsi/roho huendelea kuishi na kupata fursa ya kuonana na muumbaji wa ulimwengu, basi ndoto yangu na ombi langu kuu mbele ya muumbaji ni kupata fursa ya tour. Yaani deep time travel tour back in time miaka bilioni 15 iliyopita, nishuhudie nini kilikuwepo kabla ya Big bang...
  9. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Jinsi "Limbwata" itakavyoubadilisha ulimwengu

    Hellow wakuu, Naamini uwepo wa limbwata kwani ni kitu ambacho ninakifahamu kwa experience (empirical knowledge) Nadhani mmewahi kusikia story kuhusu Limbwata, mfano mume kumfumania mke na asifanye kitu chochote kibaya kama vile mauaji au kulawiti mgoni wake badala yake anaamua kumsamehe mke...
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Huu ndio ulimwengu tunaoishi

    Huu Ndio Ulimwengu Tunaouishi 🌍 • Mwanaume anapokuwa na gari zuri, huvutia wanawake wengi kwake. Mwanamke anapokuwa na gari zuri, huwafanya wanaume wamkwepe. Huu ndio ulimwengu tunaouishi. 🌍 • Kijana wa kiume anampachika mimba mpenzi wake wa kike. Msichana anaacha shule, lakini mvulana...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Waingereza wafia nchi(nationalists) wanalalamika taifa leo kuanza kufanana kama la ulimwengu wa tatu.

    Hii ni huko London,
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa wanyama (Mongoose)

    Suricata (mongoose wa vidole 4) (jina la kisayansi Suricata suricatta) ni mamalia wadogo na wanachama wa familia ya mongoose. Wanaishi kila mahali katika Jangwa la Kalahari, Botswana na Afrika Kusini. Kundi la suricate linaitwa "gloat", "ceat" au "colonie". Kundi la suricates kawaida huwa na...
  13. Morning Glory1

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Ndoto ya kujinyea mbele za watu ina tafsiri gani katika ulimwengu wa roho? Wataalamu wa kutafsiri ndoto naombeni msaada wenu

    Nina umri wa miaka 38 na katika utu uzima wangu huu sikumbuki kama nilishawai kuota ndoto mbaya na ya ajabu kama niliyoota usiku wa kuamika leo... Katika kumbukumbu zangu za ndoto nimeshawai kuota ndoto za kutisha,..nimeshawai kuota ndoto nafukuzwa,....nyingine napaa hewani(angani), nimeshawai...
  14. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Jinsi wanaume dhaifu walivyoharibu utaratibu wa kiafrika

    Habari jamii forum Hapo mwanzo Mungu alimuumba Adam,huu ni sehemu wa mstari kutoka kitabu cha mwanzo ikionesha mwanaume ndiye kiumbe wa mwanzo na ndiye mwenye mamlaka ya kutawala ulimwengu. Malalamiko ya wanaume wengi kunyanyaswa ni mengi,vilio na kukosa kujiamini ni kwingi Lakini Kasi ya...
  15. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Je, Umewahi Kujiuliza Maisha Yana Maana Gani? Labda Ulimwengu ni Mtihani, Maisha ni Somo; Kila Kitu Unachofanya Kina Maana Kubwa Kuliko Unavyodhani

    Ulikuwa njiani kurudi nyumbani, mawazo yakiwa mbali, labda ukifikiria siku yako ilivyokuwa—halafu ikatokea. Ajali ya gari. Hakukuwa na kitu cha pekee kuhusu ajali hiyo; ilitokea ghafla kama zilivyo ajali nyingi. Haikuwa na ukatili wa sinema au miujiza isiyoelezeka. Ilikuwa tu… mwisho wako...
  16. Thecoder

    JamiiForums Tanzania Kikawaida MCHAKATO ni jambo lisilokwepeka katika asili ya ulimwengu

    Bila shaka mko vizuri wakuu… Niliwahi kusema ya kwamba dunia ni sehemu ambayo inautaratibu wake na kutokana na asili hiyo basi maeneo mengi ya kitaasisi au ya kimifumo yameweza kulazimishwa, na yenyewe ili yaweze kwenda sawa lazima utaratibu fulani uwekwe na hakuna jambo lolote linaloweza...
  17. ngara23

    JamiiForums Tanzania Starehe visiwani ndani ya kisiwa cha Ukerewe, ule ni ulimwengu mwingine

    Wanasema tembea uone Ilikuwa mwaka 2017, nikifika visiwani Ukerewe nikiwa na project ya UNDP, aisee nilijifunza na kuona maajabu ambayo sikuyatarajia Ukerewe ni Moja ya wilaya za mkoa wa Mwanza Ukewe ni kisiwa ndani kisiwa hicho Kuna visiwa vingine zaidi ya 20 Nilitembelea baadhi ya visiwa...
  18. Carbon 4real

    JamiiForums Tanzania Anashikilia rekodi ya kuwa muigizaji asiyependwa kwenye ulimwengu wa filam...

    Jamaa alionekana kwenye series ya Game Of Thrones akitambulika mule kama Ramsey Bolton na katika tafiti kutoka kwa watazamaji jamaa anachukuliwa kama muigizaji mwenye roho ya kikatili sana,na hili alilithibitisha kwenye series ya Game Of Thrones baada kucheza scene ya kuuwa familia yake pamoja...
  19. HenrysoN

    JamiiForums Tanzania Nadharia za Kuvutia na za Kushangaza Kuhusu Ulimwengu na Uhai

    Habari hii inaangazia nadharia zisizo za kawaida zinazozungumzia mada kama vile ulimwengu wa kuiga, ulimwengu pamoja, safari kwa wakati, na ulimwengu wa pili. Zinachochea mawazo na kutoa mtazamo mpya juu ya asili ya ulimwengu na mahali tulipo. Kuna nadharia nyingi za kuvutia na za kushangaza...
  20. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Jua Kali latawala Tanzania: Hali ya Hewa kila Mkoa na Uzoefu wako ni upi?

    Habari za wakati huu wakuu! Katika siku za hivi karibuni, tumeshuhudia ongezeko la jua kali katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania. Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), baadhi ya maeneo yanatarajiwa kuwa na hali ya ukavu kwa ujumla katika kipindi cha tarehe 01-10 Machi 2025...
Back
Top Bottom