ulimwengu

Thomas Emanuel Ulimwengu (born 14 June 1993) is a Tanzanian football striker who is currently playing as a forward for TP Mazembe and the Tanzania national football team.

View More On Wikipedia.org
  1. Surya

    JamiiForums Tanzania Mifumo miwili inayotawala ulimwengu

    Kila unachokifahamu kuhusu wewe na kuhusu dunia ni taarifa kutoka kwa Wazazi, Ndugu, Pastor au Shehe, Mwalimu. Binadamu anapozaliwa huja duniani na kuwekwa kwenye Mwanga, Mwanga ni kitu muhimu sana kwa binadamu, Hakuna mmea wa ardhini ambao unaweza kukuwa vizuri bila mwanga (Light). Huwezi...
  2. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania Siasa na ulimwengu ulitudanganya, Usiruhusu kukuharibu

    ULIMWENGU ULITUDANGANYA. USIRUHUSU KUKUHARIBU. Walikuwa sanamu zetu za vijana, sasa, hata mashabiki wao hawazitambui. Nini kilitokea? Umaarufu ulitokea. Shinikizo lilitokea. Uongo wa "fanya chochote kinachokufurahisha" ulitokea. Tuliwatazama wakiwaka, sasa tunawatazama wakififia. Ni wito wa...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Nchi ni kama haina uongozi. Kwa hali hii ya kisiasa, kuna jambo baya laweza kutokea wakati

    https://youtu.be/pbWyJh60zWk?si=arsKsXtmfdkBEJf- Huyu mzee amewahi kuwa kiongozi Mwandamizi wa serikali ktk awamu za u Rais wa Nyerere, Mzee Mwinyi na mpaka awamu ya Mkapa na anachokisema hapa ni wazi anakijua, habahatishi Anashangaa kuwa, kuna watu (viongozi) ukiwaona wamevaa suti au kanzu...
  4. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Nadhani viumbe vilivyoko kwenye ulimwengu wa roho hazina kazi ya kufanya ndio maana muda wote wanahaninga na wanadamu

    Hapo vip!!kwa uhalisia uliopo nikwamba viumbe kama majini,mapepo,mashetani,n.k wapo busy sana kufuatilia na kuharibu maisha ya mwanadamu kwa kushirikiana na wachawi na kwa tafsiri hii inaonyesha hivi viumbe vimekaaa kakaa tu huko pasipo na kazi ya kufanya kama mwanadamu,kwa ujumla ni viumbe vya...
  5. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Dunia na Ulimwengu ulitokea wapi?

    DUNIA NA ULIMWENGU ULITOKEA WAPI? BIG BANG ni mlipuko mkubwa ajabu sana ambao ulitokea hapo kale ikihusisha dark energy/nishati nyeusi au nishati ya kiza na chanzo cha nishati hiyo ya giza haijulikani ni nini wana sayansi wanadai ndani ya hiyo nishati ya kiza ilizaa kila kitu unachokiona...
  6. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu hauna nje wala ndani ,yani ndani ndio nje ,nje ndio ndani

    ULIMWENGU HAUNA NJE WALA NDANI ,YANI NDANI NDIO NJE ,NJE NDIO NDANI •Katika maisha ya kawaida, tunaelewa ndani na nje kwa mfano wa boksi au chumba,ukiwa ndani ya nyumba kuna dari, ukuta, na mlango •ukiwa nje ya nyumba upo mahali tofauti kabisa,kuna ukuta wa kugawanya ndani na nje,kwahiyo,ndani...
  7. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa Siri wa P Didy umefichuliwa

    Souce : BBC Swahili Wild King Nights' Tumefahamishwa kwamba Combs iliwadhibiti sana wandani wake. "Sitakaribia kuwa muwazi kwenu nyote," mfanyakazi moja wa kampuni ya Combs aliweka ujumbe uliorekodiwa na tajiri yao kwenye kikundi cha WhatsApp cha wafanyakazi mnamo 2020." Kuna sehemu za...
  8. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Je Wajua: Unaishi katika hali ya upofu kwa takribani masaa mawili kila siku bila kujijua

    Na Mjumbe wa Nafsi za Watu Kuna jambo moja ambalo halijawahi kunishangaza kama binadamu alivyo na jeuri ya kuamini anajua kila kitu – huku akijua jambo moja tu: kuwa haelewi hata kile anachodhani anakielewa. Kwa miongo mingi tumefundishwa kuwa sisi ni viumbe vya kipekee, tunaoona, tunaoamua...
  9. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu Heaven and hell zina exist katika ulimwengu

    Just mtazamo kwenye huu ulimwengu kuna sehemu ni nzuri zinavutia machoni kuzitazama zinakupa comfortability ni raha tupu kwa mfano wale wenzetu waliopewa ahadi ya mabikra ndio anapelekwa sehemu kama hii afu anapewa vitoto vya 2000 ambavyo matiti hayajalala alafu vina mizigo unafikiri kichwani...
  10. proton pump

    JamiiForums Tanzania Wanawake wangekuwa na uwezo wa kuumba wanaume wao wangewaumba. Ulimwengu wa sasa kuna vita kali sana kati pesa na mwanamke

    Wasaalam wanajukwaa nina imani mna afya njema. Kadri miaka inavyoenda, karne, kizazi kubadilika ndivyo binadamu hubadilika. Nirudi kwenye mada..... Wanaume wanazidi kupungua sana duniani kutokana na sababu mbalimbali kv; magonjwa, kazi ngumu, mawazo, vita ajali, migogoro, malezi n.k. nimeandika...
  11. Buraq Mustapha

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa majini na mambo niliyoshuhudia na kujifunza kwao

    Simulizi ya kweli inayonihusu mimi mwenyewe moja kwa moja. Sehemu ya kwanza . 1. Namna majini walivyoshiriki katika makuaji yangu . Tangu nikiwa mdogo nilikuwa nikishuhudia vivuli vilivyokuwa vikinifata kila nilipokwenda, kiukweli nilikuwa nikiogopa sana ingawa nilikuwa simwambii mtu yeyote...
  12. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Vyuo Vikuu: Fahamuni Umuhimu wa Psychographic Segmentation Katika Ulimwengu wa Kisasa wa Marketing

    Wanafunzi wa marketing na biashara kwa ujumla, ni muhimu sasa kuelewa kuwa soko la leo haligawanywi tu kwa kipato (income), jinsia (gender), au umri (age). Dunia ya kisasa imeingia kwenye hatua ya deep consumer understanding ambapo psychographic segmentation ndiyo silaha kuu ya makampuni...
  13. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Pacoume Zouzou vs Mpanzu — Sasa basi, maana Pacoume ni bora kuliko Mpanzu

    Katika ulimwengu wa soka, mijadala ya nani ni bora kuliko mwenzake huwa haikwepeki. Kwa sasa, gumzo limekuwa kati ya wachezaji wawili mahiri: Pacoume Zouzou na Mpanzu. Wote ni wachezaji wenye vipaji, lakini katika makala hii tunachambua kwa undani sababu zinazomfanya Pacoume kuwa juu zaidi ya...
  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa vichaa na wendawazimu Kile usichokiona wakionacho

    Mjadala kamili uko hapa (6,958) Vichaa huona nini? | JamiiForums Vichaa huona nini? Kwa ufupi ni kwamba kuna namna fulani macho yao hufunguliwa na kuona sisi tusivyoviona. Ama akili zao hugeuza uelekeo na kutengeneza maombi tofauti akilini mwao Hivyo ukimpa kichaa/ mwendawazimu vifaa vya...
  15. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Kanuni kuu zinazoongoza maisha ya watu wote ulimwengu

    Muumbaji wa hii dunia aliweka kanuni zinazojiongoza zenyewe kupitia matendo yetu ili kuibalance Dunia. Hizi si kanuni za dini fulani, Kwani zinafanya kazi kwa watu wote duniani bila kujali rangi, utajiri, jinsia, dini,madaraka,kwa anaeamini na asiyeamini nk. Ukienda kinyume nazo...
  16. third eye chakra

    JamiiForums Tanzania Magic mushrooms inanguvu kubwa sana yakufanya ubongo wako uiingie katika ulimwengu wakufikirika wa miujiza

    Magic mushrooms sio tuu kukuingiza katika ulimwengu wa maajabu Pia ninzuri sana kwa wale wanao Fanya meditation yakiwango cha juu sana. Hii ni ninzuri sana kwa wale wavivu wakukaa kitako muda mrefu kwenye tahajudi. Utakapo tumia hii kitu nihapo hapo itakuingiza katika ulimwengu wako...
  17. VERIFY

    JamiiForums Tanzania Nani huwa inamkuta hii?

    Kuna mda ukikaa unajikuta kama umepoteza mwelekeo,, unapoteza interest ya vitu alafu unajikuta huelewi maisha ako yanaendaje 😞
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kama tupo duniani kwenye sayari zaidi ya bilioni ndanu ya ulimwengu wa galaxy tuliyopo na zaidi ya galaxy bilioni 2.Basi kuna viumbe vipo huko

    Naweza kukataa kuwa sisi tuliopo duniani ndio watu wenye uhai pekee. Kwa tafiti za wanasayansi wanavyo zidi kutambua sayari zenye mfano wa dunia kama kepler na nyingine zinaweza kuthibitisha kuwa uhai wa viumbe hupo sehemu nyingi kwenye ulimwengu wa anga za sayari. Kama tutaweza kuwa na vyombo...
  19. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tai: Ndege mchafu mwenye kuuokoa ulimwengu

    Kwa baadhi ya ya tamaduni tai akitua juu ya paa lako... Watu watakusanyika na kuanza kutoa maelezo mbalimbali Wengine Watazomea na kupiga kelele, "Jamani eeh! Nuksi imetua!"😂 Wengine hata wataita waganga wa kienyeji Na Wengine watafunga na kuomba. Yote haya ni Kwa nini? Kwa sababu kuna wazee...
  20. FYATU

    JamiiForums Tanzania Ni vipi kama mwisho wa maisha yako kwenye sayari hii ndio mwanzo wa maisha kwenye sayari nyingine?

    Labda Mtu unaweza kujiuliza kama kuna sayari nyingine,na pia basi ujiulize kama ulitambua uwepo wa sayari hii kabla kuzaliwa?. Kuna wakati unaweza kudhani labda maisha ni mlolongo usioisha au kumalizwa.
Back
Top Bottom