ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Umasikini hurithiwa; masikini huzaa masikini

    UMASIKINI HURITHIWA; MASIKINI HUZAA MASIKINI. Na, Robert Heriel Andiko hili linaweza lisifurahishe watu wengi hasa watu masikini, lakini huu ndio ukweli na acha niseme ukweli tuu. Hata hivyo sitakuwa wa kwanza kuusema ukweli huu kwani wahenga pia walishasemaga; Ng'ombe wa masikini hazai, na...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kuvunja Jiji la Dar es Salaam

    Akiwa katika uzinduzi wa daraja la juu Ubungo amesema atalivunja jiji na kuipa Ilala hadhi ya jiji na wilaya zingine zibaki kuwa Manispaa. ---- Rais Magufuli ameyasema haya Nategemea Jiji la Dar es Salaam kulivunja na hii nawaambia hapa ili tutengeneze jiji la eneo fulani, tunaweza...
  3. JamiiForums Tanzania Ukweli usiosemwa: Siri kuu ya mafanikio ni ushirikiano (Tumikisha watu wengi ufaidike au kusanyeni wengi mbebane)

    Utatafuta kila namna ila huu utabaki kuwa uhalisia. Wengi wanajua stori za mnara wa babeli. Ni mnara unaodhihirisha nguvu ya ushirikiano. Mungu aliona kutokana na ushirikiano uliokuwepo wale watu walikuwa wanaenda kufanikiwa akaamua kuwavuruga lugha. Ushirikiano ndio mafanikio ndio maana ni...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Mwalimu Nyerere aliwahi kusema,"Hatuwezi kuwa na Rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana. Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli, hatujui kesho atafukuzwa na nani...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona

    Corona ipo duniani na Tanzania siyo kisiwa. Nchi kuwa na Corona siyo aibu, maana kirusi hakijui mipaka ya kisiasa. Serikali zilizo responsible duniani zinaendelea kutekeleza sera za kupambana na Covid na kamwe hazitangazi kuwa zimeshashinda vita tayari, bali zinakuwa cautious na zinaendelea na...
  6. JamiiForums Tanzania Hili la Ukosefu wa Ajira tatizo lilianzia hapa kwenye D2, wazazi tuwaambie vijana ukweli, vyuo vya ovyo ovyo elimu ovyo!

    Ndugu wazazi wenzangu wasalamu, Kuna jambo nataka niwaeleze, na hii ni pamoja na vijana wenzangu, wanaopata maisha ya tabu kwenda kusoma miaka zaid ya 18 kutegemea ndoto ambazo hazitimii. Nitaeleza kidogo: Hapo zamani kidogo, chini ya miaka ya 2000s ilikuwa ni lazima mtoto afaulu Darasa la...
  7. S

    JamiiForums Tanzania CCM ndio kila kitu, wengine ni watapia mlo tu, ndio ukweli

    Chama cha Watanzania ni CCM, tulieni, Watanzania walio wengi ,na hawa wachache ni wa vyama vingine ambavyo zaid vipo kikanda au kiukoo mfano, wapemba wachaga na kadhalika. Ifahamike inaposemwa kiukoo au kiukabila usiangalie viongozi zaidi angalia wafuasi na viongozi wao, wengi wanakuwa kutoka...
  8. JamiiForums Tanzania Salome Makamba: Uchumi wa Tanzania umesimama tu tangu 2001. Rais haambiwi ukweli na wateule wake

    Dodoma. Mbunge wa Viti Maalum Salome Makamba aliyefukuzwa Chadema amesema itachukua zaidi ya miaka 60 ili kufikia pato la dola 1,500 kwa mtu mmoja kwa mwaka. Makamba alisema tatizo hilo linatokana na uchumi wa Tanzania kusimama tangu mwaka 2001 na kudai wateule wanashindwa kumwambia ukweli Rais...
  9. JamiiForums Tanzania Ukweli Usemwe: Ubovu wa Album ya Rayvanny umechangiwa na kutengwa na kupuuzwa na Mameneja wake

    Wasalaam wana jamvi. Bila shaka kila mtu amepata wasaha wakupitia na kusikiliza Album ya Msanii Rayvany basi utakubaliana nami na utaungana na wengi ni mmoja ya wasanii waliotoa album mbovu kwa sasa hapa nchi. Na ndio maana ni wazi kabisa Album za kina Harmonize na Darassa basi zinaendelea kuwa...
  10. JamiiForums Tanzania CCM tuambiane ukweli: Ushindi wetu wa 2020 haunogi kabisa. Tunatokaje hapa?

    Raha ya ushindi ni kunoga kwake. Raha ya uchaguzi ni kushinda halafu kutamba kama mwenye magamba membamba. Kunyakua kiti cha Urais; viti vya Ubunge na Udiwani kufuatiwe na 'utamu' wa kidemokrasia. Kati ya mihimili ya dola iliyopo: Serikali, Bunge na Mahakama, Bunge ndiyo uwanja wa kisiasa...
  11. JamiiForums Tanzania Je, kuna ukweli kuwa Afrika hatuathiriki sana na Covid-19 kwasababu tunaendelea na maisha bila Hofu?

    Hello JF, Je, ni kweli wa Africa hatufi sana na Corona sababu tunaendelea na maisha yetu ya kawaida bila UOGA? Uoga unaleta stress ambayo ina lower immunity make you vulnerable to the virus infection. Sisi hatuna hio stress. I just think mfano England, those 'daily briefings' send people to...
  12. JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe: Nandy ni msanii namba moja wa kike ambaye tumebarikiwa kwa sasa

    Wasalaam wanajamvi. Kama mnakumbuka ujio wa Nandy alianza baada ya Ruby kukorofishana na Clouds media. Watu wengi nikiwapo mimi walikuwa wana doubt sana kipaji cha Nandy toka awali.. na kama kipindi kile watu walikuwa wakimsikia Nandy basi utawasikia wakisema hamna kitu huyo ameletwa kumfunika...
  13. JamiiForums Tanzania Mbunge anasema hakujawahi kuwa na chanjo ya Malaria; Waziri msomi yuko kimya. Ukweli tujitizame, kuna mahali hapako sawa

    Nimemsikiliza Mbunge mmoja bungeni jana kama sijakosea ni Mbunge wa Maswa, akisema Wazungu wanabagua aina ya magonjwa na chanjo zake ili watufanyie biashara. Akatolea mfano wa Malaria kuwa hawajawahi kutafuta chanjo huku wakijua ndiyo inauwa watu wengi Afrika. Na, wanahangaika na chanjo ya...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna mambo inabidi tukubali ukweli tu.!

    Habarini wana nzengo.! Ni hivi , kuna mambo ni muhimu kukubali ukweli tu ili kuepusha magonjwa ya kujitakia . Swala la mwanaume kuwa pekeake kwa mwanamke haliwezekani , na swala LA mwanamke kuwa peke ake kw mwanaume labda mpk shetani aokoke .! Kwa sasa nimetulia nikijaribu kuset mind yangu...
  15. JamiiForums Tanzania Huu ndo ukweli wangu

    My best Politician Nelson Mandela because he forgave his opponents and tormentors , this proved that man was matured enough to know the real meaning of Best revenge is forgiveness , so I appreciate him as my hero politician. My footballer is Mess , because has achieved to dominate on top 10 yrs...
  16. JamiiForums Tanzania Tufikie hatua tutumie akili na tuambiane ukweli. Wazungu wanatuua kirahisi tu

    Hivi ni kweli kwamba wazungu wametaka kutuua na kutufanya tusizaane kwa kupitia chanjo ya Korona? Sidhani. Watoto wetu nasi toka tunakuwa tumepata chanjo za tetenasi, pepopunda, sulua/surua n.k kwa miaka mingi. Na ushahidi wa chanjo ya Ndui upo begani mwa kila Mtanzania. Hizi chanjo sisi...
  17. JamiiForums Tanzania Radio Free wakatisha matangazo ya BBC baada ya Padre kufunguka ukweli kuhusu Corona

    Katika hali ambayo isiyo ya kawaida kwa sisi wasikilizaji wa BBC kipindi cha jioni. Radio Free wamekata ghafla matangazo ya BBC wakati Padre akielezea juu ya tahadhari ya Corona. Katika mahojiano hayo, Padre alisema kuwa kipindi cha nyuma wao kama viongozi wa dini walikuwa wakiitwa mara chache...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Wanasheria wa nchi hii mko wapi? Simameni muwaambie akina Mwigulu Nchemba ukweli kuhusu haki katika sheria zetu

    Law is an art, na sisi kama Taifa katika Sheria tumerithi doctrines mbalimbali kutoka common law na hivyo suala la kujua Kiingereza (English) haliepukiki! Tanzania tunajenga utamaduni wa ajabu sana kwamba kama mtu fulani au kikundi fulani hakijui jambo fulani badala ya kuwekeza katika kujifunza...
  19. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Hakuna ndoa ya mume na mke kuishi sehemu tofauti

    Hapa naweza kurushiwa mawe ila mara nyingi mimi huwa napenda kuwaambia watu ukweli. Hakuna ndoa ya mume na mke kuishi sehemu tofauti kwa kipindi kirefu bila sababu za msingi. Ni vyema kama mume na mke mnafanya kazi nchi, mkoa au wilaya tofauti kabla ya kufunga ndoa mkubaliane aidha mmoja ahamie...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…