ukraine

  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwanini vita ya Urusi na Ukraine sio kali sana ila waliokufa ni wengi kuliko ya Israel na Hamas?

    Hii imekaaje kaaje wakuu kwenye vyombo vya Habari tunaona mashambulizi baina ya Russia na Ukraine sio makali kivile yaani unakuta wanarusha bomu ila linaharibu tu upande wa jengo hatusikii takwimu za kutisha watu kufa ukilinganisha na vita ya Israel pale Gaza yaani ghorofa linapigwa kweli...
  2. Ritz

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa FSB wa Urusi asema Marekani, Uingereza, Ukraine ndizo zilizohusika na shambulio la Moscow

    Wanaukumbi. Mkuu wa Huduma ya Usalama ya Shirikisho la Urusi alisema leo, "Marekani, Uingereza, na Ukraine, ndizo zilizohusika na shambulio la ukumbi wa tamasha la Moscow". Hayo ni madai mazito ... yenye athari za ulimwengu ...
  3. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Daraja lazamishwa baharini huko Baltimore- Marekani

    Daraja kubwa la Francis Scott Key Bridge lenye urefu maili 1.6 huko Baltimore limegongwa na meli ya mizigo na kizamishwa baharini kabisa huku malori na magari madogo yakizama baharinii The moment Francis Scott Key Bridge in Baltimore collapsed after a cargo ship struck it in the early hours of...
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Putin akubali shambulio lilifanywa na magaidi wa kiislamu ila asema Ukraine ilihusika kiaina

    Japo hana ushahidi wa uhusika wa Ukraine, ila asema shambulizi lilifanywa na magaidi wa kiislamu lakini anahisi kuna namna Ukraine ilihusika sehemu......... Swali la msingi, Ukraine na waislamu wapi na wapi, yeye ndiye alianza kuchangamkia hao watu bila kujua ni mazombi ambayo hayaachi asili...
  5. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Mimi naamini Ukraine na Marekani wapo juu ya huu mpango wa ugaidi nchini Urusi!!

    Kutokana na Uharaka wakujibu Zelensky anahusika moja kwa moja,pia mipango iliyoanzishwa na marekani mapema mwezi huu kuwa kunaweza kutokea shambulizi la kigaidi basi hizo zilikuwa ni propaganda zilizotengenezwa kuiaminisha jamii kuwa ikitokea wasema hata marekani alisha sema! Sasa wakasahu kuwa...
  6. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Kisu kilichotumika kumkata sikio Gaidi aliyehusika na mauaji yaliyotokea Moscow kimeuzwa kama njugu

    Raia wa Urusi wamenunua kwa fujo kisu kilichomkata sikio Gaidi la Ukraine na Marekani.. Russia 🇷🇺🚨‼️ The model that was used to cut the ear, was instantly sold out. “Not in stock” all shops say.
  7. Webabu

    JamiiForums Tanzania Urusi haina habari ya ISIS, yaipiga Ukraine kwa nguvu kulipiza kisasi

    Kufuatia shambulia kubwa kwenye ukumbi wa starehe jijini Moscow ambapo kundi la ISIS lilijitaja kupitia vyombo vya magharibi kuwa ndilo lililohusika.Urusi imeonekana kutoshawishika na uozo wa taarifa hizo. Watu kadhaa walikamatwa mara tu baada ya shambulio hilo kutokea ambapo watu zaidi ya 130...
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Ukraine wapiga meli mbili za kijeshi za Urusi

    Aise Urusi wana shida, huku wanapigwa na magaidi wa Kiislamu, kule wanapigwa na Ukraine..... Kunao mnasema hao magaidi walitumwa na Ukraine, haya sasa Ukraine watakua waneongeza pigo lingine, Urusi ashikwe hadi wapi ndio afanye kweli, huyu ndiye supapawa mlitegemea awaokoe kutoka kwa Marekani...
  9. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Viwanja vya ndege vyalipuliwa huko Ukraine

    Makombora zaidi ya 20 yamepiga mji wa Lviv na Stryi na kulipuwa uwanja wa ndege za kivita na kulipua air defence Kambi za mafunzo , maghala ya silaha na visima vya mafuta kwa Sasa mji unawaka moto ili kuweza kuwachoma wanamgambo wa Ukraine walijificha kwenye mapango [🖼 Telegram channel...
  10. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Makombora ya Urusi yaingia Poland safarini kuelekea Ukraine

    Russia imerusha makombora kuelekea Ukraine yaliyopitia ndani ya Anga la Poland masaa machache yaliyopita na kusababisha Poland kurusha ndege zake F 16 lakini zilisha chelewa na kusababisha mzozo juu ya Air defense zao zilizokua zikikoroma kwenye usingizi mzito Russian missiles are flying...
  11. Webabu

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu UN awaambia EU waache undumilakuwili. Wanavyoiona Ukraine iwe hivyo hivyo kwa Gaza

    Katibju mkuu wa umoja wa mataifa, Antonio Guterres kwa mara nyengine amewaambia viongozi wa jumuiya ya Ulaya wazitumie sheria za kimataifa kwa hali ya usawa. Yale wanayoona ni sawa au kuyapinga kwa Ukraine na sehemu tofauti iwe hivyo hivyo kwa Gaza. ========== BRUSSELS (AP) — European Union...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Papa Fransisco anaisihi Ukraine ipandishe bendera nyeupe

    MKUU WA KANISA Katoliki duniani, Papa Fransisco, katika mahojiano na chombo cha habari cha Uswisi, RSI, amesema Ukraine inapaswa kuwa na ujasiri wa bendera nyeupe, ambayo ni alama ya kukubali yaishe kwa kupisha mazungumzo ya amani. _______________ Pope Francis: Ukraine should have the courage...
  13. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Ukraine yapinga ombi la Papa Francis kujadili kusitisha vita na Russia

    Ukraine Jumapili ilipinga wito wa Papa Francis wa kujadili kusitisha vita na Russia, huku Rais Volodymyr Zelenskiy akisema Papa alikuwa akifanya “upatanishi kwa mbali” na waziri wake wa mambo ya nje akisema Kyiv haitasalimu amri. Francis alisema kuwa wakati mambo yanaelekea kubaya kwa pande...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Ufaransa kuanza kutengeneza silaha nchini Ukraine

    Katika hali inayoonyesha kwamba vita nchini Ukraine bado vitaendelea kupiganwa na kwamba fikra ya taifa la Russia kwamba inaweza ikakalia tu ardhi ya Ukraine kwa raha inaonekana ni jambo ambalo kamwe halitawezekana. Ufaransa inapanga kuwa na baadhi ya watengenezaji wake wa silaha wanaozalisha...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Seneti ya Marekani yapitisha msaada wa trilioni 152 Ukraine, Trilioni 35 Israel, Trilioni 22 Palestina, Trilioni 12 Taiwan

    $60 billion Ukraine $14 billion for Israel $9 billion Gaza + West bank $4.83 billion Taiwan --- Senate gives $60 billion for Ukraine, $14 billion for Israel, $9 billion in humanitarian assistance for Gaza and nearly $5 billion for the Indo-Pacific. Meanwhile Biden is putting veterans behind...
  16. Webabu

    JamiiForums Tanzania Houthi wanatumia mbinu za kivita ambazo zitaichosha Marekani kama ilivyotokea Ukraine

    Tamko kwamba Marekani haina tena pesa kuisaidia Ukraine limekuwa ni la wazi na hata taifa hilo limesema jukumu la kuendelea kuisaidia Ukraine kupigana na Urusi imewaachia wenzake 50 wafanye hivyo. Pamoja na tamko hilo kutokana na uchofu katika vita hivyo, Marekani pia imesema haina mpango wa...
  17. ze kokuyo

    JamiiForums Tanzania Ukraine yadai kutungua ndege kubwa ya kisasa ya Urusi

    Ukraine inadai kutungua ndege ya kisasa ya Urusi A-50 AWACS. Kazi kubwa ya ndege ilikua ni kuelekeza makombora ya S-400 kuweza kutungua ndege Vita za ukraine zikiwa umbali mrefu zaidi. Urusi inadai inaweza kuona kombora likiwa umbali wa zaidi ya kilometa 1000 na ndege umbali zaidi ya km 400...
  18. Adolph Jr

    JamiiForums Tanzania Hatimae Ukraine imesherehekea Christmas tarehe 25 December kwa mara ya kwanza katika historia

    Merry Christmas wakristo wote. Ni furaha iliyoje kwa wa-ukraine kusherekea sikukuu ya krismas tofauti na utaratibu wa awali waliokuwa wanatumia kutoka kanisa la Orthodox huko Russia yaani tarehe 07/01 kila mwaka. Many Ukrainian Orthodox Christians are celebrating Christmas on 25 December for...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Poland na Ukraine waungana na Nchi za Afrika Kupingana na Waraka wa Papa kuhusu Kubariki Ushoga Kanisani

    Baada ya nchi za Malawi, Cameroon, Nigeria na Zambia kupinga waraka wa Papa Francis unaoelekeza kanisa katholiki kubariki ama kuwapa baraka watu wanaojihusishwa na mapenzi ya jinsia moja ama mashoga, sasa nchi za Ulaya Mashariki kama Ukraine na Poland wameupinga huo waraka. Nchi hizo za Ulaya...
  20. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Ukraine yadai kudungua ndege za kivita za Urusi

    Jeshi la Ukraine linasema kuwa lilidungua ndege tatu za kivita za Urusi kusini mwa nchi hiyo siku ya Ijumaa. Ndege tatu za kivita aina ya Su-34 zilidunguliwa katika eneo la Kherson, jeshi la wanahewa la Ukraine lilitangaza. Rais Volodymr Zelensky aliwashukuru wanajeshi walioangusha ndege hizo...
Back
Top Bottom