Papa Fransisco anaisihi Ukraine ipandishe bendera nyeupe

Taso

JF-Expert Member
Jun 12, 2010
2,463
2,289
MKUU WA KANISA Katoliki duniani, Papa Fransisco, katika mahojiano na chombo cha habari cha Uswisi, RSI, amesema Ukraine inapaswa kuwa na ujasiri wa bendera nyeupe, ambayo ni alama ya kukubali yaishe kwa kupisha mazungumzo ya amani.

_______________

Pope Francis: Ukraine should have the courage of the ‘white flag’ and negotiate an end of the war with Russia


ROME (AP) — Pope Francis said in an interview that Ukraine, facing a possible defeat, should have the courage to negotiate an end to the war with Russia and not be ashamed to sit at the same table to carry out peace talks.

Russia is gaining momentum on the battlefield in the war now in its third year and Ukraine is running low on ammunition. Meanwhile, some of Ukraine’s allies in the West are delicately raising the prospect of sending troops.

“When you see that you are defeated, that things are not going well, you have to have the courage to negotiate,” he said. Negotiations are never a surrender.”

Associated Press
 
Kwahyo wa magharbi waamemuach Ukraine peke yake

Wakt Ukraine alikuw kivuli Chao
Kuna upinzani mkubwa ndani ya nchi zao, watu wana maisha magumu huku wakiona mabilioni ya dola yanaenda kupiganisha vita vya Ukraine.

Donald Trump anasema tunakubalije kuambiwa mabilioni ya dola yanaenda kulinda mipaka ya Ukraine wakati mipaka yetu inapitisha wabakaji na majangili kutoka South America kuja kuzaliana na kunajisi damu ya Kimarekani?

The Trump message is resonating with the masses.
 
Kwa mtu yoyote anayejitambua na mwenye akili timamu anajua ugomvi wa Ukraine na Urusi umetengenezwa na nchi za Marekani na Ulaya magharibi na vita hii inaendelea sababu ya ushauri mbaya wa Ukraine toka nchi za NATO .
 
Wakatoriki wa bonyokwa Ni wasaa wenu Sasa muungane na Papa wenu ktk kuwasihi Ukraine wanyooshe mikono juu, nyimbo imefika kwenye korasi
Papa ameongea kama kiongozi wa nchi ya Vatican na kwa mtizamo wake binafsi. Hajaongea kwa niaba ya Kanisa au kwa niaba ya Wakatoliki. Kumbuka na zingatia kwamba Wakatoliki wapo dunia nzima lakini ndani ya Mataifa au Nchi mbalimbali ambazo Papa sio kiongozi wa nchi hizo.
 
Back
Top Bottom