Hatimaye Putin akubali shambulio lilifanywa na magaidi wa kiislamu ila asema Ukraine ilihusika kiaina

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,430
Japo hana ushahidi wa uhusika wa Ukraine, ila asema shambulizi lilifanywa na magaidi wa kiislamu lakini anahisi kuna namna Ukraine ilihusika sehemu.........
Swali la msingi, Ukraine na waislamu wapi na wapi, yeye ndiye alianza kuchangamkia hao watu bila kujua ni mazombi ambayo hayaachi asili.
==========================

Russian President Vladimir Putin says for the first time that “radical Islamists” were behind last week’s attack on a concert hall outside Moscow but suggests Ukraine was also somehow involved.

Eleven people have been detained in connection with Friday’s attack, which saw camouflaged gunmen storm into Crocus City Hall, open fire on concert-goers and set the building ablaze, killing at least 137 people.
 
Kwani alikuwa amekataa?

Kuanzia mwanzo ilikuwa wazi kwamba hao jamaa ndio walifanya ugaidi wa mauaji.

Ndiyo maana alikuwa amesema kuna makundi 3:

1) Watekelezaji (waliokamatwa)

2) Wasaidizi, wachora-ramani na wawezeshaji -- wengine wamekamatiwa Urusi, wengine ni maafisa usalama wa Ukreni, na wengine ni wale ambao wangewapokea mpakani mwa Urusi na Ukreni

3) Wafadhili (hawa ndio chanzo cha tatizo)!

Mtekelezaji anaweza kuwa mtu yeyote kutoka nchi yoyote ile.

Pengine amefungamana na vikundi vingine vya kigaidi au ni mtu tu mwenye tamaa ya pesa ama mamluki.

Gaidi halisi hapa ni mfadhili wa tukio zima -- mfadhili wa fedha, taarifa za kijasusi na sababu kuu ya kuhalalisha tukio zima.

Ingawa bado hatujui taarifa kamili, adui mkuu wa Urusi ndiye mtuhumiwa namba moja katika hili.
 
Mfadhili ni haya maandiko, ndio yamesababisha uzombi dunia hii

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Na ktk vita ya ugaidi..mfadhili na mtoa hela ndio kila kitu
 
Mfadhili ni haya maandiko, ndio yamesababisha uzombi dunia hii

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
Hayo maandiko ni kweli yapo Kiongozi?
 
Kwani alikuwa amekataa?

Kuanzia mwanzo ilikuwa wazi kwamba hao jamaa ndio walifanya ugaidi wa mauaji.

Ndiyo maana alikuwa amesema kuna makundi 3:

1) Watekelezaji (waliokamatwa)

2) Wasaidizi, wachora-ramani na wawezeshaji -- wengine wamekamatiwa Urusi, wengine ni maafisa usalama wa Ukreni, na wengine ni wale ambao wangewapokea mpakani mwa Urusi na Ukreni

3) Wafadhili (hawa ndio chanzo cha tatizo)!

Mtekelezaji anaweza kuwa mtu yeyote kutoka nchi yoyote ile.

Pengine amefungamana na vikundi vingine vya kigaidi au ni mtu tu mwenye tamaa ya pesa ama mamluki.

Gaidi halisi hapa ni mfadhili wa tukio zima -- mfadhili wa fedha, taarifa za kijasusi na sababu kuu ya kuhalalisha tukio zima.

Ingawa bado hatujui taarifa kamili, adui mkuu wa Urusi ndiye mtuhumiwa namba moja katika hili.
Maswali mengi yasiyo na umuhimu wowote,
Ila jibu ni moja tu, ISIS.
 
Japo hana ushahidi wa uhusika wa Ukraine, ila asema shambulizi lilifanywa na magaidi wa kiislamu lakini anahisi kuna namna Ukraine ilihusika sehemu.........
Swali la msingi, Ukraine na waislamu wapi na wapi, yeye ndiye alianza kuchangamkia hao watu bila kujua ni mazombi ambayo hayaachi asili.
==========================

Russian President Vladimir Putin says for the first time that “radical Islamists” were behind last week’s attack on a concert hall outside Moscow but suggests Ukraine was also somehow involved.

Eleven people have been detained in connection with Friday’s attack, which saw camouflaged gunmen storm into Crocus City Hall, open fire on concert-goers and set the building ablaze, killing at least 137 people.
Kafiri naona umechanganyikiwa. Dalili ya ugonjwa akili. Alikuwepo kafiri mkubwa lkn sasa amekufa ameuacha uislam unaenea na watoto wa kike wengi wakiristo wakisolimu kufata waume wa kiislam
 
Mtoa mada una tatizo kubwa sana la chuki na waislamu. Sipati picha unaishi vipi na jamii hii huko uliko.
Mbaya zaidi ulikalilishwa chuki vibaya na kamwe huwezi kujifunza ingawa una mengi ya kujifunza
 
Kafiri naona umechanganyikiwa. Dalili ya ugonjwa akili. Alikuwepo kafiri mkubwa lkn sasa amekufa ameuacha uislam unaenea na watoto wa kike wengi wakiristo wakisolimu kufata waume wa kiislam
Nioneshe mwanamke mmoja Tu wa kikristo aliyesilimu Kwa ajili ya kuolewa na mwanaume fukara wa kiislamu.

Mara zote mwanamke anasilimu Kwa sababu za kiuchumi au kulewa penzi na siyo sababu za kiimani, hapa ndipo dini hii ilipoingizwa mkenge, wanawake wote waliosilimu wakiacha au hao waliowasikimisha kufa urudi kwenye dini zao za awali, ushshidi upo mwingi tu.
 
Lile ni shambulio la kigaidi na limefanywa na magaidi wa ISIS, kila kitu kiko wazi ikiwemo ISIS wenyewe kukiri mapema sana.
Na sote tunajua wafadhili wa ISIS ni kina nani, Putin anzia Iran, njoo Syria, kisha pita Yemen na mwisho malizia Palestina.
 
Back
Top Bottom