ukraine

  1. MK254

    Wanajeshi wa Ukraine wafaulu kumkamata kamanda wa Urusi na wanajeshi kadhaa

    Kamanda alishindwa kutoroka walipozidiwa.... SCREENSHOT FROM VIDEO MADE BY AZOV Soldiers from the 1st and 2nd battalions of the Azov 12th Special Forces Brigade of the National Guard of Ukraine have captured four servicemen of the Russian Army during the storming of Russian positions: among...
  2. MK254

    Urusi yaonekana kulegeza masharti yake, yasema almradi Ukraine watoe ahadi hawatajiunga NATO

    Mwanzo Urusi ilipokua na mihemko ya kuivamia Ukraine ilitoa masharti mengi sana na vijisababu vya kila aina, ila mziki ulibadilishwa, msafara ukapigwa na wabeba javelin, leo hii Ukraine ndio wanafukuzia Warusi, sasa Urusi imeanza kupunguza na masharti na kubaki na moja tu, kwamba Ukraine...
  3. MK254

    Maeneo saba yakatikiwa na umeme Urusi na kuachwa kwenye giza baada ya kupigwa bomu na Ukraine

    Warusi wanandelea kukipata pata ndani ya nchi yao.... Seven settlements in Kursk Oblast, Russia, have been left without electricity following an alleged attack by a Ukrainian drone. Source: Roman Starovoyt, Governor of Kursk Oblast, on Telegram Quote from Starovoyt: "This morning a Ukrainian...
  4. MK254

    Video: Mziki wa HIMARS, wakuu jeshi la Urusi walipuliwa wakiwa kwenye kikao

    Kama muvi vile, jamaa wamelipuliwa kizembe sana Ukraine’s Defence Forces targeted the temporary command post of the Russians in Kherson Oblast, following a tip-off from the Security Service of Ukraine. Source: Ukrainska Pravda source in the Security Service of Ukraine (SSU) Details: The video...
  5. MK254

    Meli ya pili ya Ukraine iliyosheheni ngano yafika Uturuki salama, Urusi haina kete tena

    Urusi ilikua imebakiwa na kizuizi cha usafirishaji wa ngano ya Ukraine, baada ya kushindwa mbinu zingine zote, sasa haina kingine kilichosalia......labda wabonyeze manyuklia sasa na wao wafutike kwenye uso wa dunia... Second Ukrainian wheat cargo arrives in Istanbul A second cargo ship...
  6. Webabu

    Ni lazima sasa Ukraine iipige Urusi ndani kabisa-Biden

    Hapo juzi waziri wa mambo ya nje wa Urusi ,Lavrov akiwa New York alikumbusha kwa masikitiko mengi kuwa Marekani wakisaidiwa na Uiengereza sasa hivi wako vitani rasmi na taifa lake la Urusi. Kauli yake hiyo inazidi kuungwa mkono na misimamo ya Marekni pamoja na matamshi yao ambapo Rais Biden...
  7. MK254

    Jengo la Usalama wa Taifa Urusi lapigwa bomu na drone ya Ukraine

    Dah! Sasa ikiwa usalama wa taifa (FSB) hawapo salama nani mwingine yuko salama....kama mashairi vile ==== A Ukrainian drone hit an FSB building in the city centre of Kursk, Russia, on the morning of 24 September, a source from Ukraine’s Defence Intelligence claims. Source: source of Ukrainska...
  8. MK254

    Wadukuzi wa Ukraine wadukua mfumo wa Urusi na kupata taarifa zote za safari za ndege

    Supapawa kadukuliwa kizembe sana, jamaa wameingia kwenye kanzidata na kufumua kila taarifa humo za safari zote... Ukrainian hackers have hacked into the Russian database of the Sirena-Travel booking system, obtaining information on 664 million flights over the last 16 years. They also obtained...
  9. MK254

    Lukansheko asema drones za Ukraine zinajipigia popote Urusi, ni fedheha

    Kwamba drones zinaingia na kutoka zitakvyo, asema suluhu itafutwe itakayogharimu hela nyingi sana maana ni fedheha.... Self-proclaimed President of Belarus Alexander Lukashenko is "thinking about how to counter" attacks on Russian territory, but it’s going to require "hundreds of millions of...
  10. Mhaya

    Unabii wa mchungaji Moses Kulola wa mwaka 1997 kuhusu vita ya Urusi watimia mwaka 2023

    Katika mahubiri yaliyofanyika huko Mwanza, mchungaji Moses Kulola alitoa unabii juu ya vita ya Urusi ambao chanzo chake ni Nato na akasema kutakuwa na Vita kubwa chini ya Urusi. Na pia akasema Urusi imeandikwa ndani ya Biblia, na kiuhalisia biblia ni kitabu kilichojaa matukio mengi yanayotokea...
  11. MK254

    Ukraine waelekea kubomoa ngome ya mwisho ya Warusi, tayari wameingia

    Wamefaulu kufyatua ngome zilizokuwepo na sasa wanapambana kubomoa ya mwisho ambayo Warusi walikua wamejichimbia. Ukrainian armoured vehicles are already operating beyond the last line of Russian defensive fortifications, which Ukrainian forces are currently breaking through in the west of...
  12. Upepo wa Pesa

    Poland imesitisha misaada ya silaha kwa Ukraine! Ukraine yaanza kuchokwa

    Sasa rasmi ukraine yaanza kuchokwa. Poland kasitisha misaada ya silaha kwa ukraine. Naona joto limeanza kupanda muda wowote Ukraine atafosiwa akae mezani na Mrusi vita iishe. Urusi apewe pongezi kwa kuweza kumudu kupigana na mataifa 31 ya NATO pale ukraine! NB: Kuna uwezekano hifadhi ya...
  13. Webabu

    Ukraine waipiga Sudan

    Vita kati ya Urusi na Ukraine sasa vimeshaanza kuvuka mipaka rasmi baada ya droni za Ukraine kutajwa kupambana na kikosi cha Wagner ndani ya Sudan.
  14. MK254

    Kambi ya jeshi la Urusi kwenye ziwa Black sea yalipuliwa na wanajeshi wa Ukraine

    Hamna kinachosazwa, vinalipuliwa vyote... The Armed Forces of Ukraine have confirmed that they successfully attacked the command post of the Russian Black Sea Fleet near Sevastopol on the morning of 20 September. Source: Directorate of Strategic Communications of the Armed Forces of Ukraine...
  15. R

    Ukraine kuanzisha kitovu cha nafaka bandari ya Mombasa kukabiliana na uhaba wa chakula Afrika Mashariki

    Ukraine kuanzisha kitovu cha nafaka katika bandari ya Mombasa ili kukabiliana na uhaba wa chakula Afrika Mashariki, asema Rais Ruto baada ya mazungumzo na Rais Zelensky. Haya yametokea wakati Ruto akiwa kwenye ziara nchini Marekani, ambapo alimpongeza Rais Zelensky kwa kuendelea kupambana na...
  16. Webabu

    Poland yasema Ukraine ni mfa maji atawazamisha

    Kila raisi akipata fursa kuzungumza kwenye baraza la Umoja wa mataifa husema yale yaliyojificha moyoni.Hivyo ndivyo alivyofanya raisi wa Poland Andrzej Duda jana tarehe 19 ilipofika zamu yake. Katika hotuba yake hiyo aliendelea kutetea uamuzi wa nchi yake kutoruhusu nafaka zote za Ukraine...
  17. MK254

    Ukraine wapiga meli nyingine ambayo hutumika kusafirisha mizinga ya Urusi

    Wanapiga popote, hizi drones zimekua shida.... A Ukrainian uncrewed surface vessel (USV) hit a Samum-class missile carrier hovercraft on Thursday, 14 September. Source: Ukrainska Pravda’s sources in the Security Service of Ukraine (SSU) Details: The sources said the SSU's SeaBaby USV hit the...
  18. MK254

    Ukraine walipua meli mbili za doria za Urusi

    Hakuna kinaachwa, iwe nyambizi, meli za kijeshi au hata za doria, yaani matumizi ya drones ni raha sana, madogo wamekaa kwenye maofisini kazi yao kubonyeza bonyeza tu, wanacheza kama video games na kuchagua wapi pa kupiga..... Ukraine's military said on Thursday it had damaged two Russian...
  19. MK254

    Kumekucha, Ukraine walipua nyambizi (sub-marine) na meli ya kivita ya Urusi

    Haya madubwana yamepigwa kizembe sana, aisei Urusi ilijiingiza kwenye aibu. Ukraine's attack on the ships of the Russian Black Sea Fleet in occupied Sevastopol can be considered a great success: a large landing ship was hit for the third time, and a submarine was hit for the first time. It...
  20. MK254

    Ukraine wakomboa vinu vya mafuta na gesi, Boyko Towers. Warusi wakimbia mapambano na kuvitelekeza

    Historia itaandikwa na kusomwa miaka 100 jinsi Urusi ilijitia aibu kwenye huu ugomvi, wanajeshi wa Urusi wamejichokea baada ya kufa zaidi ya laki mbili kwenye kainchi kadogo hapo pembeni, wanapambania ardhi ambayo wenyewe hawana haja nayo...... Walikua wamejichukulia vinu vya gesi, vimewatoka...
Back
Top Bottom