Ni nini kinachopelekea ukoo kuwa na nguvu na ukoo mwingine kukosa nguvu kwenye jamii zinazotuzunguka?

Saint_Mwakyoma

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
865
1,204
Nimelifatilia hili kwa muda mrefu baada ya kuona watu wanavyolalamika na kuteseka haswa wakati wa matatizo ; ugonjwa, kukosa udhamini, kutafuta mtaji nk

Naleta hoja hii ili tupate kurekebisha kwa pamoja kuanzia ngazi za familia, ukoo, jamii mpaka nchi kwa ujumla.

Karibuni wakuu.
 
Asili tu ya Koo, Kuna Koo ziko vizuri kiuchumi na zinaheshimika kwa michango yao chini na zilizo poor nyingi ni zile zilizokuwa na wachawi wengi, wavivu na wasiopendana, pia magonjwa na laana za asili, matambiko hufanya Koo nyingi ziwe masikini kwa kurudishana nyuma na kuwa na elimu ndogo
 
Ni ukoo gani tajiri?
Ni ukoo gani maskini?
Zitaje izo koo ili kabla sijaanza kushusha ndondo from my point of view nijue kwanza we umeona nini mpaka ukaja na hii mada Ili nijitahidi kuweka mchango wangu relevant, ntarudi
 
Hili swali nimewahi kujiuliza huko nyuma pia. Maana wakati nasoma. Kuna ukoo wa kichiefu walikuwa wanatusumbua sana pale shuleni. Wenyewe walikuwa wanavaa vizuri kuzidi wengine. It means walikuwa na uwezo kuzidi wengine. Walikuwa na mali kuzidi wengine,na ndio nguvu yao ilitokana na hilo pia. Kumbuka enzi za miaka ya kabla ya 2000.

Hata sasa pia kwa miaka hii tuliyoopo nime-experience pesa ni kila kitu. Kuwa na ukoo wenye nguvu ni kuujengea uwezo huo ukoo kiuchumi sana. Yaani katika hiyo familia wengi muwe ma uwezo kiuchumi. Wewe ukiwa na jiwe,jitahidi mtoe mwingine ktk hiyo familia awe na jiwe,na mwingine na mwingine. Uko utakuwa imara na wenye nguvu tu. Ni hivyo. Pesa pesa pesa na nguvu ni kitu kimoja
 
Hili swali nimewahi kujiuliza huko nyuma pia. Maana wakati nasoma. Kuna ukoo wa kichiefu wanalikuwa wanatusumbua sana pale shuleni. Wenyewe walikuwa wanavaa vizuri kuzidi wengine. It means walikuwa na uwezo kuzidi wengine. Walikuwa na mali kuzidi wengine,na ndio nguvu yao ilitokana na hilo pia. Kumbuka enzi za miaka ya kabla ya 2000.

Hata sasa pia kwa miaka hii tuliyoopo nime-experience pesa ni kila kitu. Kuwa na ukoo wenye nguvu ni kuujengea uwezo huo ukoo kiuchumi sana. Yaani katika hiyo familia wengi muwe ma uwezo kiuchumi. Wewe ukiwa na jiwe,jitahidi mtoe mwingine ktk hiyo familia awe na jiwe,na mwingine na mwingine. Uko utakuwa imara na wenye nguvu tu. Ni hivyo. Pesa pesa pesa na nguvu ni kitu kimoja
Kwaio pesa ndio kiini cha umoja, upendo na mshikamano
 
Ni ukoo gani tajiri?
Ni ukoo gani maskini?
Zitaje izo koo ili kabla sijaanza kushusha ndondo from my point of view nijue kwanza we umeona nini mpaka ukaja na hii mada Ili nijitahidi kuweka mchango wangu relevant, ntarudi
Nimeona malalamiko ya watu wengi kukosa misaada ya kihali na mali haswa zinapotokea zarula mbalimbali ghafla ambazo hawakuzitegemea
 
Nimelifatilia hili kwa muda mlefu baada ya kuona watu wanavyolalamika na kuteseka haswa wakati wa matatizo ; ugonjwa, kukosa udhamini, kutafuta mtaji nk
Naleta hoja hii ili tupate kulekebisha kwa pamoja kuanzia ngazi za familia , ukoo , jamii mpaka nchi kwa ujumla
Karibuni wakuu.
Laana na baraka
 
Asili tu ya Koo, Kuna Koo ziko vizuri kiuchumi na zinaheshimika kwa michango yao chini na zilizo poor nyingi ni zile zilizokuwa na wachawi wengi, wavivu na wasiopendana, pia magonjwa na laana za asili, matambiko hufanya Koo nyingi ziwe maskini kwa kurudishana nyuma na kuwa na elimu ndogo
Haha ukweli mchungu wa umasikini ni laana
 
Back
Top Bottom