ukiona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ukiona taifa lina mwanasiasa ambaye hapendi taifa lake liwe na katiba ambayo italinda maslahi ya taifa ujue huyo yupo kwa ajili ya tumbo lake

    Naona WanaCCM hawataki kuwa na katiba kama ilivyopendekezwa na tume ya Jaji warioba. Mfano , taifa letu kuwa na Mawaziri wasio wabunge na hata kuwa na tume huru ya uchaguzi. Kwa katiba hii na Philp Mpango ameona kuna mizengwe baada ya uchaguzi 2025 tutarajie ufisadi kama ule wa Kagoda...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ukiona umekoswakoswa, ila ukaumizwa na waliotaka Kukumaliza na bado hawajajulikana ukipona kuwa makini kwani wakirudi Kwako mara nyingine hawakosei

    Ujumbe wangu huu umfikie yoyote yule ambaye ataona ama unamgusa Yeye au Jirani yake au Mtu wake anayempenda na kumuamini Kimaisha, Kisiasa na Kiimani (Kidini) Nawatakieni nyote Jumatano iliyo Njema.
  3. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Ukiona Baba mwenye nyumba anamuonea wivu house girl ujue tayari

    Kijana wangu wa boda boda kaangukia penzini na housegirl kwenye nyumba moja mtaa flani karibu na kwangu changamoto imekuja kujitokeza baada ya bodaboda huyu kuwa kimya muda kama wa siku nne hivi bila ya kuniletea hesabu but nikicheck chombo kwenye king'amuzi naona imepaki kwake but simu yake...
  4. Bwana Bongo

    JamiiForums Tanzania Ukiona umekaa sana, kaa vizuri

    #Porojozabongo "Ukiona umekaa sana, kaa vizuri." "Unajua maana ya hiyo sentensi?" Bongo anazungumza "Mmh, ni kukaa kwenye benchi, au?" akauliza mgogo asiye na mgogoro "Hapana, hiyo ni ya maisha. Ukiona umekaa sana—yaani maisha yako hayatembei, kila kitu kimesimama—basi kaa vizuri, kwa maana...
  5. mkokamoto

    JamiiForums Tanzania Ukiona kwenye mkutano wamejaa wanaume!! Ogopa sana

    Kwenye mikutano mingi ya kisiasa wanawake na watoto hususani wanafunzi huwa ndo wengi zaidi huku ni nadra kukuta kundi kubwa namna hii la wanaume CCM na serikali yake wana la kujifunza hapa, watu wanatembea kwa miguu wengine umbali wa zaidi ya kilometa mbili, Hawajasombwa kwa magari au maroli...
  6. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Ukiona una dalili hizi ujue wewe ni fukara na masikini

    DALILI ZA WAZI ZA UFUKARA NA NAMNA YA KUKABILIANA NAZO Kwenye maisha unapoanza kufanikiwa kuna vitu huwa vinaonekana wazi kwamba maisha yako yamebadiliks hata kama wewe binafsi utaendelea kujifanya masikini. Vivyo hivyo katika umasikini pia huwa kuna dalili za wazi kwamba mambo hayapo vizuri...
  7. Desierto

    JamiiForums Tanzania Mzungu akikupa msaada jua kuna kitu utampatia tu

    Je? Hicho kitu ni kitu gani mpaka sisi waafrika hatukioni. Kwa waafrika wenzetu.
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ukiona tu Tukio lolote Baya limetokea halafu akatokea Kiherehere Mmoja kujifanya ameumia nalo kwa 100% jua kwa 200% Yeye ndiyo Kalitenda na Anajihisi

    Chama cha Mapinduzi (CCM), kimelaani shambulio dhidi ya na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima kikisema ni tukio la kihalifu. Chama hicho kimekwenda mbali na kutoa maagizo kwa Jeshi la Polisi kuhakikisha wahusika wote wa shambulio dhidi ya kiongozi...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ukiona mtu amekaa ....

    Vipi ukiona mtu amekaa ,utaenda kumwambia dada/kaka kaa vizuri ,na uchukulie kuna watu wengi ,mi nilimtazama nikamuashiria sa sijui akunifaamu,nikageuka na sikurudi tena mpa sheree zimeisha
  10. Strong and Fearless

    JamiiForums Tanzania Je, ukiona picha za Instagram za girlfriend/boyfriend wako akioa au kuolewa—utafanyaje?

    Tuseme upo kwenye Instagram zako unascroll tu kawaida, halafu ghafla unakutana na picha za pre-wedding au harusi ya mtu ambaye bado ni girlfriend/boyfriend wako—yaani hamkuachana rasmi, hamkujua mmemalizana vipi, lakini yeye anaendelea na maisha kama vile haukuwepo. Na picha zimepostiwa saa...
  11. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ukiwaangalia Wanavyoshupaza shingo kutetea Palestina asionewe na Israel alafu ukiona Wanavyotetea Wauaji CCM utaelewa hakuna Masheikh pale.

    Dini ya kweli ni Dini inayosimamia kweli na haki. Dini ya kweli ni dini inayosema kweli haijalishi kweli hiyo inaumiza au inafurahisha. Viongozi wa Dini wa kweli ni Viongozi wanaosema ukweli wa Mungu bila kuogopa utawapendeza au kuwafurahisha Watawala. Viongozi wa kweli wa Dini ni wale...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Binti yangu; ukiona Dalili hizi kwa Mchumba anayetaka Kukuoa kimbia haraka Sana

    BINTI YANGU; UKIONA DALILI HIZI KWA MCHUMBA ANAYETAKA KUKUOA KIMBIA HARAKA SANA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kwanza nilikuambia unatakiwa ujitegemee na uweze kujimudu mahitaji yako ya msingi. Huo ndio UTU wako. Na hiyo ni Moja ya sifa kuu ya Mwanamke Bora atakayekuwa Mama Bora na Mke...
  13. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Ukiona dhuluma na ukanyamaza,Je dhamiri yako inasemaje?

    👉🏾Dhamiri ni ile sauti ya Mungu rohoni inayotuambia ni sawa au si sawa, ni mema au ni mabaya. Ni muhimu inatufundisha kutenda haki, na hutoka kwa Mungu mwenyewe, kama ilivyo katika Warumi 2:15, ambapo inasema; "Kwa maana ni ishara ya kazi ya sheria ya Mungu iliyo katika mioyo yao, wakijua kuwa...
  14. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ukiona namna Majaji wanavyomnyoosha Trump Marekani alafu ukiwaangalia Majaji wetu wanavyowalamba miguu CCM unasema tu tupate Katiba Mpya

    Katika sehemu za Watu Wanaojielewa Duniani Mhimili wa Mahakama ndo Kimbilio la Haki kwa Wananchi Wote Mhimili wa Mahakama ndo Chombo cha kuhakikisha Mamlaka ya Dola (Executive) na Bunge hayakinzani na Sheria pamoja na Haki. Mhimili wa Mahakama ndo chombo kinachopaswa kuhakikisha mamlaka ya...
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kuwatishia matajiri na wafanyabiashara ijaanza leo wakiwa upande wa vyama pinzani

    Kama mnakumbuka:Hiki kisa cha Katika miaka ya 1990, kulikuwa na tukio ambapo serikali ya Tanzania ilimwaga shehena ya ngano na unga wa ngano wa mfanyabiashara maarufu, Said Salim Bakhresa, ikidai kuwa bidhaa hizo hazikukidhi viwango vya ubora vinavyohitajika kuingizwa nchini. Kutokana na hatua...
  16. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Ukiona unachexa na Simba UJUE unapambana na BODI ya LIGI laamaana mjilinde miguu YENU KUFUNGWA akukwepeki ila afya zenu zibaki imaraa

    Mjitahidii kulinda miguuyenu Kwa sasa mnapochexa na Simba mjue mnavhexa na BODI ya LIGI Msijisahau mkajua mnachexa na Simba mtaliwa kiboga mapemaa Otherwise all dbest
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ukiona Kiongozi Mkuu wa Taifa lolote lile ni Shabiki Nusu Liverpool na Shabiki Nusu Manchester United jua yafuatayo...

    1. Ni Mpumbavu asiye na mfano 2. Ni Mnafiki mkubwa 3. Hajui anachokifanya (Juha) 4. Muongo na Hafai 5. Mchawi / Mshirikina 6. Anapelekeshwa kama Mwehu 7. Analazimisha umaarufu na kupendwa Naamini kabisa kwa 99.999% Geniuses wangu akina mrangi, adriz, Extrovert, Bila bila, SAGAI GALGANO...
  18. Knock life

    JamiiForums Tanzania Hawa ndo wazee wa comment za kinafiki zisizokuwa na mawazo mbadala kwenye mada

    Numbisa huyu comment yake ukiiona ni ilimradi amechangia tu Smart911 huyu pia ndo wale wale Hawa sio watu ambao wanaweza kutoa mawazo mbadala Kwa mtu Comment zao hizi hapa Ebu tuone Binadamu wabishi Inafurahisha Inasikitisha Pole
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtaani kwetu ukiona Mwanamke anakubali kuwa 'Kijumbe' pale akiombwa na Wadau jua yafuatayo

    1. Wameshamuona hana la kufanya 2. Wameshamuona ni Mbivu 3. Wameshamuona ni mpenda Raha 4. Wameshamuona anaingilika Kiurahisi 5. Wameshamuona ni Mswahili Mswahili 6. Wameshamuona ni mbea mbea Fulani 7. Wameshamuona kuwa HANA AKILI kabisa Je, kwako Wewe huko Mtaani Mwanamke akiombwa kuwa Kijumbe...
  20. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Ukiona hauwezi kurudia round ya pili ujue tatizo ni hili

    Wataalam wanasema round ya kwanza inaamuliwa na MWANAMUME ila round zingine zooote zinazofuata zinaamuliwa na MWANAMKE. Kwahiyo ukiona unaenda vizuri round ya kwanza lakini baada ya hapo hauwezi kuendelea au unakinai tendo basi ujue tatizo lipo kwa huyo baby wako. Kama baby wako amenyooka...
Back
Top Bottom