Familia inayomuweka Marehemu kwenye Sanduku/Jeneza la kuanzia laki 3 kwenda Juu,hiyo Familia itakuwa na matatizo ya kiakili

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Jan 3, 2018
1,982
5,668
Ukihitaji salamu kutoka kwangu nenda kwanza kwa CAG ukasome ripoti ya Mwaka uliyopita,Tofauti na hapo utaambulia chuya!

Huwa nashangazwa sana na namna ambavyo Familia nyingi zimekuwa zikihaha,kukabana na kushikana mashati wakati wa Msiba eti kisa tu ipatikane pesa ambayo inatakiwa iende kwenye ununuzi wa Jeneza,na majeneza ambayo unakuta wananunua ni yenye pesa ndefu!

Hivi inawezekanaje maiti ikawekwa kwenye jeneza la milioni 5,Hivi kweli mnakuwa mko Serious?

Hii tabia ipo kwa Wakristo sana sana,nashukuru Waislam wao huwa hawanaga huu ujinga!

Yawezekanaje mtu alikuwa anaumwa na pengine hata pesa tu ya matibabu mlishindwa kumchangia,lakini akifa tu ndo unaona sasa wanafamilia "Viherehere" wanaopendaga show off misibani wakijitolea kununua jeneza la bei chafu,kwanini huyo mtu asizikwe kwenye jeneza tu la kawaida la mbao zisizozidi elfu 50?,Kwanini mnaharibu pesa kwenye Maiti?,Hizo pesa si bora zingefanya shughuli nyingine?

Any way nisiwapangie lakini mimi binafsi nishatoa muongozo wa kimaandishi kisheria,Siku nikifa nizikwe bila Jeneza na kaburi langu lisijengewe wala kusakafiwa!
 
tambua msiba ni sheree sio ugaidi wa kujilipua ukasubiri mabikra
 
shida hela tafuta hela
umasikini unaleta makasiriko yasiyokuwa na ulazima wowote
 
Yawezekanaje mtu alikuwa anaumwa na pengine hata pesa tu ya matibabu mlishindwa kumchangia,lakini akifa tu ndo unaona sasa wanafamilia "Viherehere" wanaopendaga show off misibani
Hizi show off ni za hovyo kabisa , anaumwa kuchangia matibabu ni kama hawataki ni kwa mbinde sana . Akifa ndio watu wanaonekana wana uwezo "wenyewe wanasema ndugu asizikwe kinyonge"
 
Ukihitaji salamu kutoka kwangu nenda kwanza kwa CAG ukasome ripoti ya Mwaka uliyopita,Tofauti na hapo utaambulia chuya!

Huwa nashangazwa sana na namna ambavyo Familia nyingi zimekuwa zikihaha,kukabana na kushikana mashati wakati wa Msiba eti kisa tu ipatikane pesa ambayo inatakiwa iende kwenye ununuzi wa Jeneza,na majeneza ambayo unakuta wananunua ni yenye pesa ndefu!

Hivi inawezekanaje maiti ikawekwa kwenye jeneza la milioni 5,Hivi kweli mnakuwa mko Serious?

Hii tabia ipo kwa Wakristo sana sana,nashukuru Waislam wao huwa hawanaga huu ujinga!

Yawezekanaje mtu alikuwa anaumwa na pengine hata pesa tu ya matibabu mlishindwa kumchangia,lakini akifa tu ndo unaona sasa wanafamilia "Viherehere" wanaopendaga show off misibani wakijitolea kununua jeneza la bei chafu,kwanini huyo mtu asizikwe kwenye jeneza tu la kawaida la mbao zisizozidi elfu 50?,Kwanini mnaharibu pesa kwenye Maiti?,Hizo pesa si bora zingefanya shughuli nyingine?

Any way nisiwapangie lakini mimi binafsi nishatoa muongozo wa kimaandishi kisheria,Siku nikifa nizikwe bila Jeneza na kaburi langu lisijengewe wala kusakafiwa!
Tabia hii imekithiri sana kwa familia za kitajiri.hao ndo wanaopenda sana showcase mbele za watanzania
 
Ni sherehe yake ya mwisho ya binadamu. Tumefanya hivyo kwa my beloved Mom. Sioni ubaya sababu, tulimpenda akiwa hai na hata baada ya kifo, tunampenda na kumfanyia kwa ukubwa, kama alivyokuwa hai.

Sawa kama ndivyo mnaamini lakini kiuhalisia ni kupoteza pesa!

Maiti ni maiti tu haina thamani yeyote ile hata kama utaivalisha Almasi na dhahabu bado haina thamani!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom