Mkwamo wa Tanzania tangu kuanzishwa kwake umetokana na sababu kuu mbili.
1. Kuwapa kipaumbele zaidi wajinga na ujinga kuliko akili na wenye akili.
2. Rushwa na Ubinafsi.
Kuhusu kuwapa kipaumbele wajinga na ujinga kuliko akili na wenye akili.
Kabla ya kifo chake. Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu...
Ubabe na ujeuri wa rais wao ndio umefikisha taifa hapo.
Yani imefikia pesa imekosa thamani kiwango cha hata ukidondosha hakuna anayesumbuka kuokota.
Wengine wamefikia kutengeneza mapambo kwa kutumia pesa.
Hawa wanaotetea serikali hii ukichunguza sana utafahamu nini kipo nyuma ya pazia.
angalia hapa
Angalia hapa unajua kampeni ya kuleta wasanii na yeye kujifanya kama marehemu ruge.
Mimi nawaambia kila siku ukiona utajiri wa mtu gafla ujue nyuma ni mali za watu hizo angalia hapa mwenye mali.
Mpanzu na Joshua mutale walifundishwa wakishika mpira wapenye safu ya azam na chenga kama madenge kwenye gazeti la sani na wanashot gool.
Wale morisoni, Mukwala na wengine waliambiwa wakiona goli tu walenge shoot gool.
Ukiona timu ilivyocheza unaona kabisa uwezo wa matola. Viongozi...
Hili ni jambo ambalo watu wengi wanaogopa kulizungumzia lakini ni tatizo kubwa, kwenye magroup ya maisha ya ndoa kuna post nyingi (Kwa ID za kujificha) wanawake hulalamika waume zao kukosa hisia baada ya kushonwa vibaya na wanaume wakilalamika hivyo. (Kwa ID za kujificha)
Kuna baadhi ya mishono...
Siku hizi kila kona mitaani, mitandaoni na hata makazini, kila mtu anajua “dawa” fulani ya kuongeza nguvu za kiume. Lakini cha kushangaza, kadri muda unavyosonga, ndivyo tatizo la upungufu wa nguvu za kiume linavyozidi kuongezeka. Fikiria mara mbili kabla ya kuamini kila tangazo unaloona.
Sisi...
Katika hali inayokera na kufedhehesha ni tabia ya mtu kujiona amefanikiwa kwa sababu anafanya kazi kuliko wengine wote, au wengine hawafanyi kazi kuliko yeye. Kufanikiwa hakupo hivyo hata kidogo na kama ingekuwa hivyo basi kanuni ya mafanikio ingekuwa rahisi sana.
Mafanikio hayahitaji kelele...
Nyie vijana mnaodhani wanawake wanawapendea pesa au utanashati mnakosea sana. Ile natural attraction bado ipo, wewe tembea uone. Mnashinda mijini na mitandaoni huko ambapo kuna wanawake wenye upungufu wa nguvu za kike.
Siku ukiona mahaba tunayopewa sisi ambao hatukutumia minguvu kuwapata basi...
Iko hivi mademu single au wanachuo wajanja kwa sasa wana code zao za kuita wateja, mojawapo ndio hio ukiona demu anaacha sana viatu na sendo nje ya mlango wake hio ni taarifa kuwa yupo na mnakaribishwa, unatakiwa ujiongeze ndio imeisha hio, na sio ajabu kuna siku hamtaona kitu hapo mlangoni basi...
Niongezee volume
Ama imetosha
Nimetokaa kusuluhisha kesi kama hii, sijui wameondoka waturidhishe ama kitaendelea kuumana huko.
Mungu awalinde wanandoa wote loh.
Dalili za kuachwa au kwamba uhusiano unaelekea kuisha mara nyingi huanza kwa mabadiliko madogo ambayo huongezeka polepole. Hizi hapa ni dalili za kawaida zinazoashiria kuwa huenda mwenzi wako anapanga kukuacha au tayari amepunguza mapenzi katika uhusiano:
1. Mawasiliano Kupungua Sana
Hataki...
01. Angalia mabadiliko ya haraka kwa mkeo: Kila wikiendi jioni, anavaa vizuri na kuondoka nyumbani. Ukimuuliza anasema: "Kinamama tuna maombi ya kufunga na kuomba mwezi mzima kanisani, ntarudi baada ya masaa mawili." Tambua anaenda kufunga ndoa nyingine!
02. Chunguza matumizi ya perfume: Mke...
Hamjambo Wote!
Mwanaume were ndiye Mfalme, ndiye Rais, ndiye Mtawala wa Familia yako.
Chochote kitakachotokea kwenye Familia yako wewe ndio mtu wa Kwanza kuwa responsible, na lawama zote zipo Kwako.
Mkeo kutokuwa na adabu, shida ni wewe.
Mkeo kuvaa mavazi ya hovyo, shida ni wewe.
Watoto...
Naona WanaCCM hawataki kuwa na katiba kama ilivyopendekezwa na tume ya Jaji warioba.
Mfano , taifa letu kuwa na Mawaziri wasio wabunge na hata kuwa na tume huru ya uchaguzi.
Kwa katiba hii na Philp Mpango ameona kuna mizengwe baada ya uchaguzi 2025 tutarajie ufisadi kama ule wa Kagoda...
Ujumbe wangu huu umfikie yoyote yule ambaye ataona ama unamgusa Yeye au Jirani yake au Mtu wake anayempenda na kumuamini Kimaisha, Kisiasa na Kiimani (Kidini)
Nawatakieni nyote Jumatano iliyo Njema.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.