ukatili wa kijinsia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania Ukatili wa kijinsia Arusha bado upo juu, wasichana ni waathirika wakubwa

    Vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto Mkoani Arusha bado vipo juu, hivyo elimu zaidi inatakiwa kutolewa kuhakikisha jamii inaepukana na vitendo hivyo. Aidha, takwimu za mwaka 2021 zinaonyesha kuwa kwa Mkoa wa Arusha jumla ya wanawake 4,510 walifanyiwa ukatili wa kijinsia, huku...
  2. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Ukatili wa kijinsia ni ‘sumu’, Watanzania wapewa somo la utayari wa kutoa taarifa

    Jamii imetakiwa kuwa tayari kutoa taarifa za matukio ya ukatili wa kijinsia katika jamii ikiwemo ukeketaji kwa watoto wa kike ili kuleta usawa. Hayo yameelezwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Amon Mpanju wakati akifungua Kongamano la Kitaifa...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Taliban wanafanya Ubaguzi na Ukatili wa Kijinsia dhidi ya Wanawake na Wasichana

    Kundi la Wataalamu 36 wa Haki za Binadamu kutoka Umoja wa Mataifa limesema Viongozi wa Taliban wanafanya Ubaguzi na Ukatili wa Kijinsia kwa kiasi kikubwa dhidi ya Wanawake na Wasichana Wanawake na Wasichana wamekuwa wanapinga Kanuni mbalimbali dhidi yao tangu Taliban kuchukua madaraka Agosti...
  4. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Manyara: Baba mbaroni kwa kuwabaka binti zake watatu

    Polisi wanamshikilia baba mwenye miaka 57 mkazi wa Kijiji cha Ndaleta mkoani Manyara kwa tuhuma za kuwabaka binti zake watatu wenye miaka 15, 17 na 18. Wizara ya Maendeleo ya Jamii imesema watoto hao tayari wamepatiwa matibabu na wanaendelea kupatiwa msaada wa kisaikolojia. --- Mwanaume mmoja...
  5. Bondpost

    JamiiForums Tanzania Ukatili wa kijinsia kwa wanawake dhidi ya wanaume

    Wanabodi nimekutana na hii habari kutoka ITV kiukweli imenifanya nimfikirie sana namna ambayo jamii inazodi kuharibika. Wanawake wamekuwa wakilaumu wanaume kuwa wanawanyanyasa, sasa huu UKATILI ni wa mwanamke dhidi ya mwanaume. Kuna mwanamke amemwagia maji ya moto mumewe ambae ni mwalimu huko...
  6. Idd Ninga

    JamiiForums Tanzania Ukatili wa kijinsia ni uvunjigu wa haki za Binadamu

    Dunia, mataifa makubwa na mataifa madogo, ulimwengu mzima unakubali kuwa haki za binadamu ni jambo lolote ambalo binadamu anastahili kuwa nalo tangu anapozaliwa bila ya kujali jinsi ya mtu. Kiimani na kiutamaduni pia, inatambulika kuwa haki za binadamu zitaendelea kuwepo hadi pale binadamu...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia: Ukatili kwenye Mitandao na madhara yake

    Kukua kwa Teknolojia ya kidigitali pamoja na mlipuko wa ugonjwa wa UVIKO-19 umechangia mabadiliko ya mfumo wa kufanya kazi. Watu wengi wamekuwa wakitumia teknolojia ya TEHAMA na mitandao kama sehemu za kupata taarifa kukuza biashara zao, kufanya kazi na mawasiliano kwa ujumla. Hata hivyo, kwa...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu azindua Kampeni ya Siku 16 za Uanaharakati Kupinga Ukatili wa Kijinsia. Aagiza Shule za Msingi mpaka Vyuo kuwa na madawati ya jinsia

    Habari Wadau, Karibuni katika uzinduzi wa Siku 16 za Uanaharakati Kupinga Ukatili wa Kijinsia unaofanyika leo tarehe 25 Novemba, 2021 katika ukumbi wa Mlimani City. Kauli mbiu ya kampeni hii mwaka huu ni Ewe mwananchi komesha ukatili wa KIjinsia sasa Mgeni Rasmi ni Waziri Mkuu wa Jamhuri...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania TAMWA: Jamii inawajibika kukemea vitendo vya Ukatili Wa Kijinsia

    Kuelekea maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia, kila mmoja katika Jamii ana wajibu wa kukemea vitendo vya Ukatili Wa Kijinsia na kutoa Elimu juu ya madhara ya vitendo hivyo Usawa wa Haki, Uwajibikaji na Elimu kwa wote ni muhimu kupunguza matukio ya unyanyasaji wa kijinsia TAMWA
  10. beth

    JamiiForums Tanzania TAMWA: Elimu itolewe kupunguza ukatili wa kijinsia

    Je wajua kuwa, kiwango cha kufanyiwa ukatili wa kijinsia kwa mwanamke kinaweza kuongezeka kutokana na kiwango cha elimu, dini, kabila, umri, utaifa na hata hata ulemavu? Elimu itolewe kwa makundi yote ili kufikia malengo ya kupunguza ukatili huu katika Nyanja zote. TAMWA
  11. beth

    JamiiForums Tanzania Ukatili wa kijinsia kwenye Vyombo vya Habari

    Taasisi husika zinashauriwa kuwa na mpango mkakati wa kutoa elimu za mara kwa mara maeneo ya kazi ili kukabiliana na changamoto ya Rushwa ya ngono katika vyombo vya habari Vilevile ni muhimu kuanzishwa dawati huru la kuripoti kwa siri vitendo hivyo pale vinapotokea
  12. ItsMi

    JamiiForums Tanzania Komesha ukatili wa kijinsia

    Kila siku Kumekuwa na mashauri mengi mahakamani kuhusu maswala ya ukatili wa kijinsia je? Jamii yako inalionaje na inalichukuliaje hili suala. Kwanza kabisa tunapozungumzia ukatili wa kijinsia ni hali au kitendo kinachofanywa na watu fulani katika jamii yaweza kuwa mwanamke akamfanyia mwanaume...
  13. escrow one

    JamiiForums Tanzania CHADEMA iandae Mgombea Urais Mwanamke 2025 kuepuka ukatili wa kijinsia

    Baada ya Mama 'kutangaza' nia yake ya kuingia ulingoni 2025, ni vema chama kikuu cha upinzani kikaanza jitihada za kumtengeneza mwanamke atakayepambana na Chifu Hangaya kuwania kiti namba moja hapa nchini. Kuweka mgombea mwanaume itakuwa ni ukatili wa kijinsia na hoja hiyo itatumika kuwaangusha.
  14. beth

    JamiiForums Tanzania TAMWA yasisitiza ushirikishwaji wa Wanaume katika mapambano dhidi ya Ukatili wa Kijinsia

    TAMWA husisitiza ushirikishaji wa wanaume na vijana katika mapambano ya kumaliza ukatili wa kijinsia. Ni vyema wadau wanaotoa semina juu ya elimu ya ukatilikuzingatia maudhurio ya wanaume na wanawake. Wanaposhirikishwa, inawapa mwanga kujua madhara ya vitendo vya kikatili na hivyo kuwawezesha...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania TAMWA: Jamii inahitaji elimu zaidi kutambua aina za ukatili wa kijinsia

    TAMWA inatambua kuwa ukatili wa kijinsia unaweza kuchukua sura mbalimbali kuanzia ukatili wa majumbani unaohusisha vipigo na matusi, usafirishaji wa binadamu, ukatili wa kingono kwa njia ya mtandao, ndoa za utotoni, ukeketaji na hata mauaji ya vikongwe. Jamii inahitaji elimu kwa kina kuzifahamu...
  16. beth

    JamiiForums Tanzania TAMWA yahimiza mabadiliko ya Sheria kupunguza Ukatili wa Kijinsia

    TAMWA bado inahimiza mabadiliko ya Sheria ya ndoa ya mwaka 1971 ambayo haiwalindi wasichana dhidi ya kuolewa. Sheria hii inaruhusu wasichana wenye miaka 14 kuolewa kwa (ruhusa maalum ya wazazi), inaruhusu wasichana wenye umri kuanzia miaka 15 kuolewa iwapo umbile lao linaonekana kubwa Hali hii...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Zanzibar ina changamoto kutatua matatizo ya Ukatili wa Kijinsia

    Utafiti uliofanywa na Chama cha Wanahabari Wanawake (TAMWA) Juni 2011 hadi Machi 2012; Kuna changamoto kubwa katika Jamii za Zanzibar kwenye kutatua matatizo ya ukatili wa kijinsia. Jamii zinagubikwa na usiri wa kueleza au kuyafikisha masahibu hayo mbele ya sheria na vyombo vya usalama...
  18. beth

    JamiiForums Tanzania UN: Ukatili wa Kijinsia umeongezeka Afrika wakati wa COVID-19

    Kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa, ukatili wa kijinsia barani Afrika umeongezeka maradufu katika kipindi hiki cha mlipuko wa UVIKO-19. Kwa mfano imeelezwa kuwa huko nchini Kenya wanafunzi takribani 4000 walipachikwa mimba wakati shule zilipofungwa kipindi cha zuio la kutoka...
  19. Stuntman96

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mambo ya kufanya kupunguza ukatili wa kingono kwa Watoto

    Ukatili wa kijinsia ni kitendo anachofanyiwa mtu bila ridhaa yake na kumletea madhara mbali mbali kimwili, kiakili au kisaikolojia. Na huweza kutokea kwa wanawake, wanaume, wavulana na wasichana. Wanawake na watoto ni makundi ambayo yameonekana kuathiriwa zaidi na ukatili wa kijinsia kuliko...
  20. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Mwanafunzi ajitoa ujauzito kwa kijiti

    Mwanafunzi anayesoma kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Uzogole Manispaa ya Shinyanga (jina limehifadhiwa), amedaiwa kujitoa ujauzito kwa kijichokonoa na kijiti, ili aendelee na masomo. Imeelezwa mwanafunzi huyo alipata ujauzito huo wakati akiwa nyumbani akisubiri matokeo ya kidato cha...
Back
Top Bottom