ukatili wa kijinsia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Wanawake muwe na huruma kidogo, mmezidisha sana vitendo vya ukatili wa kijinsia

    Wanaume wanalia, nyumba chungu haikaliki, hawakupigi (Ni wachache ndio hupiga wanaume) lakini cha mtema kuni hukiona. Wananyumwa unyumba, wananuniwa, wanasimangwa, wanafyonzwa, wanajibiwa majibu ya shombo na kero nyingi mno kutoka kwa wanawake. Wanaume hawana pa kusemea, wamejikuta wakitafuta...
  2. funaku

    JamiiForums Tanzania Mh.Paul Makonda atembelea Chama Cha Wanasheria (TAWLA) wanaopambana na ukatili wa kijinsia

    Kutoka Mitandaoni: Mh Mkuu wa Mkoa wa Jiji la Dar es Salaam babalao kwa herufi ndogo ametembelea kituo cha Wanasheria Wanawake wanaojihusisha na msaada wa kisheria kwa wanawake na watoto. Makonda amewapongeza kwa kazi kubwa wanayoifanya. My Take: Hili ni jibu Konki sana kwa Pompeo na waliompotosha!
  3. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Muuguzi akamatwa kwa kumuiba mtoto mchanga

    Muuguzi wa dharura nchini Pakistan amekamatwa baada ya kudaiwa kumuiba mtoto mchanga ili ampelekee shangazi yake ambaye hakuwahi kuwa na mtoto. Mtoto huyo mchanga wa kike aliibiwa muda mfupi tu baada ya kuzaliwa katika hospitali ya mji wa Balochistan, uliopo kusini- magharibi mwa nchi. Lakini...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya kupinga ukatili wa kijinsia

    Leo ni siku ya kilele cha maadhimisho ya kupinga ukatili wa kijinsia duniani, ambayo inakwenda sambamba na maadhimisho ya haki za binadamu duniani kote. Ukatili wa kijinsia ulikuwepo na umeendelea kuwepo katika jamii zetu licha ya kuwa wanaharakati mbalimbali wamekuwa wakipaza sauti zao kupinga...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Wazazi wadaiwa kukingia kifua watuhumiwa ubakaji

    Wakati vitendo vya ubakaji na ulawiti vikiongezeka mkoani wa Dar es Salaam kwa kipindi cha miezi 10 ndani ya miaka miwili, wadau akiwamo Mkuu wa Wilaya Kigamboni, Sarah Msafiri, wameeleza tatizo la wazazi kuwakingia kifua watuhumiwa. Takwimu zinaonyesha katika kipindi cha miezi 10, mwaka jana...
Back
Top Bottom