Wanawake muwe na huruma kidogo, mmezidisha sana vitendo vya ukatili wa kijinsia

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,871
155,834
Wanaume wanalia, nyumba chungu haikaliki, hawakupigi (Ni wachache ndio hupiga wanaume) lakini cha mtema kuni hukiona.
Wananyumwa unyumba, wananuniwa, wanasimangwa, wanafyonzwa, wanajibiwa majibu ya shombo na kero nyingi mno kutoka kwa wanawake.
IMG-20210303-WA0081.jpg

Wanaume hawana pa kusemea, wamejikuta wakitafuta furaha kwenye pombe na nyumba ndogo, ambako huko hupoteza kiasi kikubwa cha fedha.
Wanawake wanyenyekevu wamekuwa bidhaa adimu sana.
 
Mmekuwaje sijui siku hizi aaaagggggrrrrr!!

Jando lirudi tu kwakweli.
 
Back
Top Bottom