ujuzi

  1. Sonko Bibo

    JamiiForums Tanzania Wakuu hii imekaaje Mbona mimi sielewi? Hebu nisaidieni tafadhali kwa wenye ujuzi

    Nilileta hapa uzi ukizungumzia kuhusiana shida ya ujauzito iliyompata shemeji yenu. Ambapo tarehe saba alijifungua mtoto akiwa amefariki. Tukahudhuria hospitali kwa kipindi chote tulichotakiwa cha matibabu na huduma kwa mzazi. Kubwa kuliko yote sasa, jana shemeji yenu kaamka haoni kabisa yaani...
  2. Strong

    JamiiForums Tanzania Mwenye ujuzi au msaada anisaidie

    Nishasolve
  3. M

    JamiiForums Tanzania Biashara bila ujuzi ni kupoteza muda wako

    Watanzania wengi tunahitaji kupenda kujifunza kuhusu kitu unachotaka kukifanyaaa... Angalia mfano Biashara Tz saiv kuna trends kila mtu anataka kuwa mfanyabiashara na akidhanii ni kitu cha wepesi mnooo... Ila ukweli mchungu Biashara inahitaj uwe vizuri kwenye sector yako na uwe na consistency...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Biashara ni mchakato: Learn → Get Experience → Build networks → ndipo uwaze mtaji, Watanzania wengi wanafanya kinyume ndio maana wanafeli

    Biashara ni mchakato: Jifunze kwanza, kisha pata ujuzi, jenga connections zako, ndipo utakapojua cha kufanya na mtaji. Lakini kwa watanzania wengi ni kinyume, wanaumiza sana vichwa kupata mtaji ili kuanza biashara lakini jambo hili kwenye process nzima inabidi iwe hatua ya mwisho kabisa. ndio...
  5. Datum check

    JamiiForums Tanzania Nina ujuzi wa Land Surveying, msaada kazi na connection

    Mimi ni Me, umri miaka 21. Nina ujuzi wa land surveying topographic Surveying engineering surveying cadastral surveying ..na. Uwezo wa kutumia software kama civil 3d na Qgis. Na vifaa kama level ,total station na gps. Pia nna experience ya kufanya kazi katika ujenzi wa barabara na upimaji wa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nina ujuzi wa quantum geographic information system (Q. G. I. S), naombeni kazi wakubwa

    Wakuu, habarini za saizi, kama mada inavyojieleza hapo juu, nina ujuzi na programu ya QGIS (Quantum Geographic Information System) . naombeni mnisaidie ni namna gani naweza kupata kazi hizi za GIS. je hapa Dar kuna kampuni lolote linalohusiana na haya mambo ya GIS? kama lipo, naombeni mnisaide...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Vilio vingi ni matokeo ya kuweka bajeti kubwa kwenye vifaa bila kuzingatia mafundi wenye CV na Uzoefu, Maiko atajenga hata kwa robo bei ila ujipange

    Unapojenga jaribu sana kutafuta balance ya vifaa vya ujenzi na mafundi Maiko hawezi kukataa tenda, hata ukimwambia una elf 10 ya nondo atapokea ila usije kustuka kaweka mbao 😂
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nina ujuzi wa QGIS, naomba kazi

    Wakuu, habarini za saizi, kama mada inavyojieleza hapo juu, nina ujuzi na programu ya QGIS (Quantum Geographic Information System) with a bachelor of Science in BUSINESS INFORMATION TECHNOLOGY. naombeni mnisaidie ni namna gani naweza kupata kazi hizi za GIS. je hapa Dar kuna kampuni lolote...
  9. clinton gidioni

    JamiiForums Tanzania nifundishe kazi yako au ujuzi wako nipo tayari kujifunza na kufundishika.

    poleni na majukumu. nimetafakali nimeona huu mwezi wa nne niuanze kivingine na kitofauti zaidi kuwekeza kwenye kujifunza zaidi . Ajira hata vibarua kupata imekuwa changamoto cha kwanza uaminifu umekuwa hafifu naimani kwa njia hii nitaiona kesho iliyo njema. Nifundishe ndugu nipo tayari...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Wenye ujuzi naombeni USHAURI wa jambo hili.

    Mi nataka kweny tasnia ya maafisa usafirishaji lkn nna changamoto kadhaa hivyo ningependa kupata USHAURI kutoka kwenu Kwanza kabisa mi ninajua kuendesha pikipiki lakini sina leseni. Sasa kuna mahali NAFANYA kazi lakini ndo hivyo kipato ni cha kudunduliza, nimejimake nna akiba kama lak 8 hivi...
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Hakuna Ubishi Kuhusu Wasomi Kusoma VETA!, Kila Msomi Anayeendesha Gari, Udereva ni Ujuzi wa VETA, Hivyo Hakuna Ajabu Wasomi Kusoma VETA!.

    Wanabodi, Hii ni makala yangu katika gazeti la Nipashe la leo. Paskali
  12. Mr Pixel3a

    JamiiForums Tanzania Serikali iwape mikopo wahitimu wa vyuo vikuu wakaongeze ujuzi veta na mitaji ya kujiajiri

    Ikiwa serikali imefanya utafiti wa kina kuwa tatizo la ajira litaweza kuondolewa na ujuzi wa VETA basi Haina budi kuwawezesha vijana Hawa wanaohitimu elimu ya juu kwenye ada na mitaji ili wakimaliza kozi hizo za VETA wajiajiri.
  13. Inside10

    JamiiForums Tanzania Faris Buruhan Mwenyekiti UVCCM Kagera: "Mtaa Hautaki Digrii Unataka Ujuzi".

    https://www.instagram.com/p/DHI1LhfoRuR/?igsh=MTB5bGZnMjRteTR0ag== My take: CCM wametuamulia naona kauli ya waziri mkuu inazidi kusisitizwa.
  14. Jerry Farms

    JamiiForums Tanzania Serikali iatamie wahitimu wenye ujuzi kwa rasilimali wezeshi mtu mmoja mmoja na si vikundi chini ya usimamizi ya timu ya wataalamu wa halmashauri.

    Vijana na kinamama wameonekana kuwa na kusitasita kujiunga na vikundi kutokana na takwa la kulipa deni la mtu yoyote atakae tokomea mara baada ya kupatiwa mkopo toka katika pesa ya kikundi. Hivyo n wakati sahihi sasa kwa serikali kuja na mpango kabambe wa yenyewe kuwa msimamizi mkuu wa vijana...
  15. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Je, Kuna Wataalamu wa Wifi Hacking Humu? Wadau, Toeni Ujuzi!

    Habari za muda huu wakuu wa JF! Najua hapa JF kuna vichwa vyenye akili kali na ujuzi wa kila aina, lakini leo nimekuja na swali moja nyeti je, kuna mtu humu anayeweza kuhack WiFi? Sio kwamba ni nia mbaya, lakini kuna wakati mdau unakaa sehemu, una bando limeisha, na unashangaa tu majirani...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Canada Kushirikiana Kwenye Kukuza Ujuzi wa Wadau Sekta ya Madini

    TANZANIA NA CANADA KUSHIRIKIANA KWENYE KUKUZA UJUZI WA WADAU SEKTA YA MADINI ▪️Watanzania kujengewa uwezo kwenye teknolojia ya uchimbaji na uchenjuaji madini ▪️Vyuo vya VETA kutumika kutoa mafunzo maalum ▪️Canada yaipongeza Tanzania kwa kukuza sekta ya madini ▪️Mpango wa Uwezeshwaji wa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mazingaombwe ni ujuzi gani?

    Wiki mbili zilizopita kuna Kijana (Jina kapuni). Alipigwa 100k. Kwenye mchezo huo kulikuwa na kete tatu moja ilikuwa na picha na ziingine mbili hazikuwa na picha, Sasa Bwana si dogo alijichanganya alipigwa za uso. Cha kushangaza ukiwa mpenzi mtazamaji unaona kabisa ile pale yenye picha ila...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bashungwa: Wafungwa kuanza kupewa ujuzi gerezani na vyeti vinavyotambuliwa na VETA

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amelitaka Jeshi la Magereza kusimamia kikamilifu mpango wa kuwapa ujuzi na mafunzo ya ufundi stadi Wafungwa wanapokuwa Gerezani na watakaohitimu mafunzo kutunukiwa vyeti vinavyotambuliwa na VETA wakati wanapomaliza vifungo vyao ili kuwajengea...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Wakulima wapewa ujuzi kuingia masoko ya nje

    Jumapili, Februari 9, 2025 WAKULIMA WAPEWA UJUZI KUINGIA MASOKO YA NJE https://m.youtube.com/watch?v=g4lX5ji0qBQ Ukosefu wa maarifa na ujuzi miongoni mwa Watanzania, hususan wale walioko katika mnyororo wa kilimo, umetajwa kuwa sababu kuu inayowakwamisha kufikia masoko ya kimataifa. Hayo...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Maswali Kupima Ujuzi Wa Lugha Badala Ya Ujuzi Wa Somo Husika

    Naomba kuwasilisha kero yangu hii kwa viongozi wa sekta ya elimu Tanzania. Kwa miaka kadhaa kumekuwa na tabia ya watungaji wa mitihani ya Kidato cha Nne hasa kwa masomo ya sanaa, kutumia lugha ngumu ya kiingereza katika maswali yao, hali inayopelekea wanafunzi wengi kufeli masomo hayo kwa sababu...
Back
Top Bottom