ujuzi

  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Likizo hii watoto wako wanafanya nini? Je, unawafundisha ujuzi wa maisha ya kila siku tofauti na shule?

    Nikiwa nafanya manunuzi madukani, niliingia duka moja nikaulizia bidhaa niliyoitaka nikaambiwa ipo. Kijana niliyemkuta nje ana rangi kama yangu, akanitajia bei na akanitolea bidhaa niliyohitaji. Ilipofika muda wa malipo akanielekeza dirishani nikalipie. Kufika hapo dirishani nikakuta mvulana...
  2. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Amri Kiemba: Hali ni mbaya tunaomba waamuzi waongezewe ujuzi kumbe wanabet

    Sisi tunaongea huku tunacheka lakini hali ni mbaya, inawezekana tuko hapa tunasema waamuzi waongezewe ujuzi Kumbe wao nyuma wanabeti Unaweza kushangaa goal ni offside ya wazi lakini mwamuzi anaacha kwasababu ameweka GG -Amri kiemba-
  3. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Enyi wazee wa Kiafrika wenye miaka 60 kazini ondokeni achieni vijana nafasi kwasababu wana ujuzi mpya

    Enyi wazee wa kiafrika wenye miaka 60 kazini ondokeni achieni vijana nafasi kwasababu wana ujuzi mpya, mnang’ang’ania kana kwamba hamjazaa Enyi wazee wetu miaka 60 ya kustaafu imeshatimia bado hamuachii viti mmekua kama hamjazaa mbona vijana tupo Vijana wenye ujuzi mpya wapo mitaani...
  4. NyegereBOY

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Subaru Impreza new model kuanzia 2012 huuzwa mapema baada ya kununuliwa ! Zinachangamoto Gani ? Mwenye ujuzi atujuze tafadhali

    Wakuu kama kichwa kinavyoeleza nimeanza kuwa na mapenzi ya dhati na Subaru Impreza za kuanzia mwaka 2012 tofauti na matoleo ya Nyuma kwakuwa za Nyuma niliziona ziko chini sana tofauti na hizi new model Wasi wasi wangu ni kuwa nyingi nazo zifahamu au kuziona Mtaani na hata mtandaoni huuzawa mara...
  5. Tariq gabana

    JamiiForums Tanzania Mwanangu anaipenda sana computer na na ujuzi wake nauona. Nisaidien ana ufaulu wa four ya 26 f ya maths , English na biology pass

    Ujuzi wake nauona kamaliza forum 4 window anajua kuitengeneza computer anajua eti nisaidie wakuu kati ya computer science na information technology au kozi yoyote ya computer,, Mimi baba yake kazi yngu ni fundi cm na computer yaan accessories yoyote ya umeme na fix LAKINI nataka mwanangu awe...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Mwenye ujuzi mzuri wa kutumia Zoho Books kwenye automated accounting anifuate PM

    Kama kuna mtu mwenye ujuzi mzuri wa kutumia accounting package kama Zoho Books naomba aje PM tuongee.
  7. comte

    JamiiForums Tanzania Waajiri marekani wawashtukia wahitimu wa vyuo vikuu-wanaamaarifa tu bila ujuzi

    https://americafirstpolicy.com/issues/eliminating-degree-requirements-from-public-sector-job-requirements
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete akutana na Balozi wa Japan, wajadili kuwezesha vijana wa Kitanzania kimafunzo na ujuzi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete amekutana na kuzungumza na Balozi wa Japan nchini Tanzania ambaye pia ni Mwakilishi wa Japan katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Yusushi Misawa pamoja na ujumbe wake alipomtembelea katika...
  9. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi ninavyotengeneza pesa mtandaoni kwa kutumia ujuzi wa graphics design, na wewe unaweza kujaribu

    Unatafuta njia ya kubadilisha ujuzi wako kuwa pesa? kupitia Ujuzi wa graphics design unaweza kupata kipato online. Kama umewahi kufikiria jinsi ya kufanya kazi unayoipenda, ukiwa na uhuru wa kuifanyia mahali popote, basi makala hii ni kwa ajili yako. Katika ulimwengu wa leo, ujuzi wa...
  10. Vanclassic

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu gani vyeti vya ujuzi, elimu viwe na muhuri wa Mwanasheria

    Ndugu zangu Kama mnavoona heading. Hivi kuna umuhim gani wa kupigwa muhuri wa mwanasheria kwenye vyeti vya elimu. Ikiwa hivo vyeti vinatoka serikalini je Mwansheria yeye anathibitisha vipi kwamba hivyo vyeti ni fake au oghiyo imetokea kwa rafiki yangu ambae aliomba kazi shirika La reli TRC...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Kijana usitegemee sana elimu ya darasani kukupa maisha, tafuta ujuzi au maarifa ya ziada yenye guarantee ya kukupa maisha,

    ukweli ni kwamba elimu yetu ya Tanzania ina malengo zaidi ya kuajiriwa kuliko kujiajiri, vijana wengi wakipata vyeti ndoto huwa ni kuajiriwa, ni almost 2% ya wahitimu huwa wana ndoto nje ya ajira. Uwanja wa ajira upo tofauti sana sio kama mnavyohadithiana vyuoni, Ajira ni chache sana, Vyuo...
  12. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Kijana mwenye ujuzi wa kupika vyakula vyote vya kisasa anatafuta kazi Dar es Salaam

    Habari JF, Je unahitaji mpishi mwenye ujuzi mkubwa wa kupandisha mauzo yako kwa kuongeza wateja wengi katika biashara hako? Kama ndiyo basi yupo kijana mdogo mwenye ujuzi wa kupika vyakula vyote vya kisasa vyenye hadhi kubwa anatafuta kazi ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam Makazi ya kijana huyu...
  13. jikuTech

    JamiiForums Tanzania Ujuzi wa kutambua tatizo kwenye code zako ni muhimu

    Pia Kuna uwezo wa kutawala mazingira ya kazi, unaweza kutazama mazungumzo ya mwalimu na mwanafunzi mafunzo ya Android Development https://youtu.be/ojcQVRNgPoE?si=QFmm1-mntjpXukxa
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa haya kuhusu Pikipiki

    Msaada jamani, HIVi pikipiki Kwa matumizi ya kawaida mtu anatakiwa afanyie service vitu gani na Kwa mda gani? Pia boxer 150 mazuri yake na mabaya yake ni yapi Kuna madhara ya kubana mafuta kwenye pikipiki Unawezaje kutambua kifaa ulichofungiwa kama ni og kwenye pikipiki Hasa hizi za...
  15. E-Maestro

    JamiiForums Tanzania Njia za Kuimarisha Ujuzi wa Programming kwa Watoto wa Kitanzania: Kuanzia Shule za Msingi Hadi Vyuo Vikuu (Tupate Fluent Programmers)

    Utangulizi: Habari wana JF! Leo ningependa kushiriki nanyi mawazo juu ya jinsi Tanzania inaweza kuzalisha programmers wenye ujuzi wa hali ya juu kwa kuanzisha elimu ya programming kuanzia shule za msingi hadi vyuo vikuu. Kwa sasa, wanafunzi wengi wanakutana na programming mara ya kwanza wakiwa...
  16. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Pitia hapa ongeza ujuzi kuhusu nyumba za contemporary au hidden roof

    Kabla ya huajajenga nyumba yenye paa la kujificha ( hidden roof) soma ushauri huu👇 👉Hiddenroof ni nyumba ambazo zilikuwepo toka miaka ya nyuma hivi karibuni Zimekuja kwa Kasi. Na zimeacha kilio kwa watu wengi, hii ni kutokana na kulalamikiwa kwenye changamoto ya kuvuja. 👉 Nyumba hizi...
  17. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Ujuzi wa chama cha mapinduzi {CCM} kwenye ukingo wa siasa

    Ni jambo la kawaida sana wanasiasa haswa wa hapa kwetu Tanzania kuhama chama A kwenda B na kadhalika. Lakini jambo la kujiuliza ni nyakati na namna muhusika anavyoenda kwenye chama husika. Yapo maswali ya kujiuliza kuhusu aina ya wanasiasa hawa na namna watanzania tunavyopumbazwa na watu...
  18. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Miaka 5 /10 ijayo tunataka kuona mitaala ya elimu ya juu kusukwe upya ili imwezeshe mhitimu kuwa na ujuzi unaomwezesha kujiajiri/kujiajiri

    Elimu ni nyenzo muhimu saana kwa mwanadam kupambana na mazingara yanamzunguka. Ikiwa elimu hiyo haimwezeshi kupambana na mazingira hiyo elimu inakuwa kiwazo kwake hivyo humpatia mazingira magumu saana. Zamani mababu na mabibi zetu waliweza kufundisha vijana kwa kuwapatie elimu kwa vitenda ili...
  19. Godfrey Protas

    JamiiForums Tanzania SoC04 Watanzania tufundishwe ujuzi wa kutenda zaidi

    Kabla ya kuendelea na mada husika ningependa kwanza tuelewe maana ya ujuzi. UJUZI ni maarifa aliyonayo mtu katika kubuni, kufikiri, kuunda na kutenda jambo au kitu kitakachomsaidia yeye mwenyewe au jamii yake inayomzunguka katika maisha yake ya kila siku. UJUZI WA KUTENDA ni ujuzi ambao...
  20. Akilibandia

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kufungua Uwezo wa Kidigitali: Kukabiliana na Ukosefu wa Ajira kwa Wahitimu na wenye ujuzi Tanzania Kupitia Fursa za Mtandaoni

    Utangulizi Katika moyo wa Afrika Mashariki, Tanzania inasimama katika njia panda kati ya mila na uvumbuzi. Ikiwa na idadi kubwa ya vijana, taifa lina hazina ya uwezo ambao bado haujatumika—wahitimu wakiwa wamejaa ujuzi na ndoto kubwa. Hata hivyo, ahadi hii inafunikwa na ukweli mkali: ongezeko...
Back
Top Bottom