ujumbe

  1. Rais Samia usipite bila kusoma ujumbe huu

    Mama Hongera tena hongera sana sana. Ninaamini bado sijachelewa sana kukupongeza kwa kazi kubwa uliofanya ndani ya miaka miwili iliyopita ya kuiongoza nchi yetu kwa uongozi wako uliotukuka. Hongera sana. Mama ninakupongeza kwa kukamilisha miaka miwili ya uongozi wa nchi yetu ukiwa kama rais na...
  2. Hii picha imebeba ujumbe mzito sana, Wewe umeielewaje?

    Mimi nikiingiaga mtandaoni kilasiku huwa napenda sana kutazama picha mbalimbali zinazohusu sana asili ya kiuumbaji (Nature) ikiwemo picha za Miti, wanyama, watu, Miinuko ya ardhi, n.k) leo katika pita pita zangu za kutazama picha mtandaoni nimekutana na hii picha na hakika nimeitazama sanaaa...
  3. Anayeweza ubadili huu ujumbe uwe kwa njia ya cartoon au kibonzo

    Ujumbe wenyewe uwe hivi, Jinsi viongozi wa dini wanavyo waonyesha waumini wao njia ya kwenda peponi huku wao wakiipita ile ielekeao motoni,
  4. Ujumbe wa Tina kwa wanaume wachepukaji

    Muwe na jioni njema Kaka mkubwa anasema Interlacustrine R Mwenye macho na asome na kuelewa Mwenye maskio na asikie
  5. Kijana ajinyonga, aacha ujumbe mama yake aulizwe

    Kijana Godson Mbwambo (30) mkazi wa Pasua Matindigani Mjini Moshi amefariki dunia kwa kujinyonga na kuacha ujumbe unaosemekana aliuandika ukutani akieleza sababu za kifo chake wakuulizwa ni mama yake. Mwenyekiti wa Mtaa wa Matindigani, Amosi Chibago ameeleza tukio hilo.
  6. Ujumbe kuhusu shule ya sekondari Nyiendo umewafikia walengwa

    Wakuu habari, nafurahi thread kuhusu shule ya sekondari Nyiendo wilayani Bunda imewafikia walengwa na kumefanyika dharura ya kuitana kwa baadhi ya staff members Ni mwaka wa kupeana live bila chenga. === Kuhusu shule tajwa, soma: DOKEZO - Niliyoyabaini baada ya kuhudhuria kikao cha wazazi...
  7. Chukua Dk chache usome huu ujumbe, naamini utajifunza kitu

    ✍ Chukua Dk chache usome huu ujumbe, naamini utajifunza kitu iko siku utasema Naam.. asante Mungu. 👇 Matatizo ya wanawake yanaonekana hadharani, ila sio wao tu hata ya wanaume yanaonekana sema tu kwasababu sisi wanaume tunayamaliza kiume. Ila wanawake mpaka misuto. 👇 Usitangaze mipango yako-...
  8. Muda wa kusubiri kabla ya kutuma ujumbe mwingine, unaghadhibisha. JF ifanyieni kazi

    Wasalaam Wakuu. Umewahi kufanya mawasiliano na Mtu (PM) au kwenye uzi wa kawaida kisha ukishaandika na kutuma inakupasa usubiri ndani ya muda fulani? Nawapongeza uongozi na watumishi wote wa JF kwa kazi nzuri na ngumu wanayoifanya. Kwa hakika wanajitahidi mno. Lakini pamoja na hilo, kuna...
  9. 11 mbaroni wakituhumiwa kutapeli kwa ujumbe wa ‘Tuma kwa namba hii’

    Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro linawashikilia watu 11 Kwa tuhuma za utapeli kwa njia ya mitandao. Watuhumiwa hao ni wale ambao wanadaiwa hutuma ujumbe mfupi Kwa njia ya simu, 'Ile pesa tuma kwa namba hii', ambapo wamekamatwa na simu za kiganjani 19 pamoja na fedha Sh700,000 ambazo wanadaiwa...
  10. Ujumbe kwa mashabiki wenzangu wa Arsenal

    Ningependa kuwakumbusha mashabiki wenzangu wa Arsenal ya kuwa, kwa sasa tupo kwenye hatari zaidi ya kudhuriwa na mashabiki wa timu zengine kuliko vipindi vyote. Yani amani imepungua. Yote ni kwa sababu tupo juu ya msimamo wa ligi kwa sasa na vile vile tupo kwenye kiwango bora, jambo ambalo...
  11. Je, hip hop ndio mziki bora wa wakati wote? Vipi kuhusu misingi yake?

    Hip hop ni aina ya muziki unaoelezea aina ya usanii na utamaduni uliyotokana na jamii ya Wamarekani Weusi na Walatino kunako miaka ya 1970 mjini New York City, hasa katika kitongoji cha Bronx na badae katika miji mikubwa yote Marekani alafu Dunia nzima.Muziki wa hip hop pia huchukua tabia...
  12. Mtumie Ujumbe wa Merry Christmas Mkeo/Mpenzi, Screenshot Alichojibu leta hapa

    Jana nilimnunua Gauni nikiwa nataka nimsupriz , Sasa nikafika nikaliweka kabatini bila yeye kujua . Leo nimetoka Mapema sana Alfajiri kufata Kamfugo ndanindani huko , Sasa nikaingia na wazo la kumtumia Meseji ya kumuwish Mama watoto Heri ya Christmas . Najua una Wife unaishi naye Home au...
  13. Naiomba serikali iangalie namna ya wasanii wanaotaka kufikisha ujumbe kwa jamii watumie mambo yote ya imani yao na siyo imani nyingine

    Mimi kama mkristo wa imani ya kikatoliki ninaiomba Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iangalie namna ambayo wasanii wa maigizo muziki nyimbo ngoma nk wanapotaka kufikisha ujumbe kwà jamii unaogusa imani basi watumie imani yao binafsi ili hata ujumbe huo UKIWA hasi basi viongozi wa dini...
  14. Hivi Mungu alikosa njia nyingine ya kufikisha ujumbe tofauti na Vitabu?

    Venezuela! Mungu anatumia vitabu/maandishi kufikisha ujumbe wake, iwe kupitia biblia au Quran. Tatizo la hii njia ni kuwa inategemea utafsiri/enterpretation ya binadamu. Tatizo la binadamu ni kuwa tunatofautiana uelewa na uwezo wa kutafsiri. Unaweza kuchukua wanazuoni wawili wote wenye elimu...
  15. Songwe: Polisi wakamata walioanzisha kiwanda feki cha Sukari

    Waliokamatwa ni Oscar Chisunga, John Chisunga, Moses Mussa, Fredy Thobias na Eddy Mwashambwa ambapo wamekutwa na Kilo 440 za Sukari iliyoingizwa nchini kimagendo. Kamanda wa Polisi ACP Alex Mukama amesema Wafanyabiashara hao wakazi wa Mlowo wilayani Mbozi walighushi Sukari na kuiweka kwenye...
  16. UTEUZI: CCM yawateua wagombea Ujumbe wa Halmashauri Kuu (NEC)

    HAWA HAPA KWA UPANDE WA ZANZIBAR
  17. Paul Kagame katoa onyo kwa Kiswahili, walengwa mmepata ujumbe?

    Rais Paul Kagame alikuwa anaapisha mawaziri wapya hapo jana mapema. Alianza kutoa hotuba yake kwa lugha ya Kinyarwanda, lakini baadae akahamia kwenye lugha ya Kiingereza na baadaye akatoa kitisho kizito kwa lugha ya Kiswahili. Wengi wetu tumeona hicho kipande chenye lugha ya kiswahili kikisambaa...
  18. Waziri Mabula, RC Malima wabwagwa ujumbe wa NEC CCM

    Baadhi ya vigogo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliogombea nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya Jumuiya ya Wazazi, wamebwagwa akiwamo aliyekuwa Mwenyekiti Dk. Edmund Mndolwa. Vigogo wengine walioshindwa ni Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dk. Angelina Mabula, na Mkuu wa Mkoa wa...
  19. Ujumbe Kwa TISS; Top 20 ya matajiri ndani ya nchi sharti itawaliwe na Wazawa; huko ndiko kujitawala

    UJUMBE KWA TISS; TOP 20 YA MATAJIRI NDANI YA NCHI SHARTI ITAWALIWE NA WAZAWA; HUKO NDIKO KUJITAWALA. Anaandika, Robert Heriel Utawala ni nguvu ya kiuchumi. Hata kwenye ngazi ya familia. Mwenye uchumi mkubwa ndiye mwenye utawala na ndiye mwenye maamuzi. Hilo wala halihitaji akili kubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…