Baada ya kuachiwa huru mapema Jumatano, kufuatia uamuzi wa DPP kufuta mashtaka yake, mfanyabiashara na mwanamitandao maarufu Jenifer Jovin (26) “Niffer” amerejea kwa nguvu mpya na ujumbe mzito uliowagusa maelfu ya wafuasi wake.
Katika video aliyoipakia akiwa ndani ya msikiti, Niffer alionekana...
Haya ndio mweshimiwa lissu aliyakataa yani utoke kwa makubaliano kisa mkubwa na sio mahakama.
Angalieni video vizuri ya niffer ambayo unaona alivyotoka mahakamani bado yupo na mapolisi na usalama.
Hii script ya CCM kusema raisi kawa na haki ni uwongo.
Watanzania tunaishi kwa mazoea sana, hata tarehe 29 wengi wenu mlitoa maneno ya kejeli mkisema ni mikwara tu, Je kilitokea nini?? Augstino Polepole amewapa masaa 24 ndugu yake awe amepatikana, kinyume na hapo ni kisasi.
Augustino Polepole hajasema kisasi kitatekelezwa lini.
Kisasi hakina...
24 November 2025
RC ALBERT CHALAMILA MKUU WA MKOA WA DSM ATUMA UJUMBE MZITO KWA WALIOSEMA WATAKATA WATU VICHWA
https://m.youtube.com/watch?v=Gv-JhuTHmN4
mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni mwenyekiti kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa inayokusanya wajumbe kutoka jeshi la polisi...
Mimi niko Zanzibar, huku hali ni mbaya kuliko hata bara, hakuna utaliii Zanzibar tokea vurugu zianze bara na sababu ni hii, hakuna wataliii wanaotokaga makwao kuja TZ kwa ajili ya kwenda Zanzibar, huwa wanakuja kwa ajili ya kwenda mbuga za Wanyama then Zanzibar huwa wanamalizia ku relax beach...
Nimemsikia Mwigulu alipopewa nafasi ya kutoa salamu zake kwa waumini alipohudhuria ibada kwenye kanisa lake la KKKT.
Kwenye ujumve wake, amewaomva waumini wamwombe Mungu aliletee amani Taifa. Hii ni kufuru kubwa mbele za Mungu.
Kila siku watawala wapo busy kutengeneza mazingira ya kugukuza...
Ni wazi kwa sasa siyo rahisi kuzuia maandamano ya Gen Z kutokana na kwamba vijana wako tayari kufa. Radicalisation iliyofanyika through mitandao na matokeo ya Oktoba 29 yanaonyesha hawana cha kupoteza.
Kwa ushauri wangu sioni ubaya Serikali wakawaruhusu waandamane kwa mujibu wa Katiba ya JMT na...
Kaandika hivi kupitia mtandao wa X:
"Kukata tamaa katika kuutafuta wema wa watu ni dhambi mbaya sana ktk maisha ya Binadamu. Kuutafuta wema na haki inapaswa kuwa kusudi la kila mmoja ktk maisha. Matatizo mengi duniani yanasababishwa na watu wema kukaa kimya wakati uovu unashamiri.
Mateso kwa...
Huu ni ujumbe wa Mungu muumba kwa Watanzania;
Damu ya mtu ikimwagwa isivyo halali juu ya nchi (ardhi yenye mipaka rasmi na halali) nchi husika inanajisika.
Nchi ikinajisika hamna sadaka wala kafara iwezayo kuondoa huo unajisi ila damu ya huyo aliyoimwaga vinginevyo nchi itabaki najisi...
ukio lisilotarajiwa limezua gumzo nchini Mexico baada ya video kusambaa ikimuonyesha mwanamume mmoja akijaribu kumbusu Rais wa Mexico, Claudia Sheinbaum, alipokuwa akitembea katikati ya umati jijini Mexico City. Sheinbaum, ambaye ni rais wa kwanza mwanamke katika historia ya taifa hilo, alikuwa...
Ujumbe uliosomwa nje ya mahakama ya ICC asubuhi ya leo juu ya kile kinachoendelea Tanzania, waandamanaji wanaitaka mahakama ya ICC kuchukuwa hatua kali juu ya Mauaji ya Tanzania.
Wanabodi
Kwa muda mrefu taifa letu limekuwa linakabiliwa na hili jinamizi la watu wasiojulikana, ambao wanateka Watanzania, wanatesa Watanzania, na wanaua Watanzania bila huruma.
Kila tukio wanalofanya, wakifanya mchana mbele ya watu, wanakuja na silaha nzito na magari kama ya polisi, na...
01 November 2025
SIKU YA 4 : MAANDAMANO
UJUMBE MUHIMU SANA KWA WATANZANIA WOTE
https://m.youtube.com/watch?v=P5euUGyx3LQ
WaTanzania mwenzenu nina ujumbe muhimu.
Kwanza nawapongeza GenZ na leo ni siku ya nne na mnafanya kazi takatifu. Mmeonesha kiu ya mabadiliko. Historia itawakumbuka kwa...
Ujumbe umekaa kizalendo sana:
Naona Polisi mmepoteza uhalali wa kuwaelekeza waTanzania cha nini chakufanya bali mnatoatoa maelekezo hayo maelekezo mmepoteza uhalali kwa sababu msingi wa kuundwa kwa jeshi la polisi ilikuwa ni kulinda Raia na mali zake na si kulinda mafisadi, wezi wala...
Ujumbe wa Mwenyekiti Tundu Lissu (Sehemu ya Kwanza)
“Ndugu zangu,
Kwa wiki kadhaa sasa nimewekwa kwenye total isolation — upweke wa kulazimishwa. Wale wafungwa wenzangu waliokuwa nami kwenye selo moja, ambao walikuwa wamehukumiwa adhabu ya kifo, wametolewa wote; nimeachwa peke yangu.
Selo...
Miezi ya hivi karibuni watumishi wengi sana wa Mungu walitoa unabii juu ya Tanzania wengi wao walisema utawala huu umefika tamati wengine walisema kwa mafumbo na wengine waziwazi
Ghafla tunakaribia uchaguzi wako ambao wanaona samia anaenda kushinda kwa hiyo wanahaha na kuanza kutupia lawama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.