TUACHE UJINGA, TANZANIA SIYO UINGEREZA!
Mwaka 1997 aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza, John Major alishindwa uchaguzi na kupoteza nafasi yake ya kuendelea kuwa waziri mkuu.
Inadawia kwamba tangu mwaka 1832 hakuna waziri mkuu wa Uingereza ambaye alishindwa uchaguzi kwa kishindo kama John Major...