ujinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Umasikini wa Tanzania ni matokeo ya mfumo mbovu wa Elimu yetu, kujaza wenye Degree mtaani ni ujinga mkubwa sana

    Nchi yetu ni Maskini sana na wananchi wake ni maskini sana ,kiasi kwamba bado kuna wanakufaa kwa kukosa Matibabu ,Njaa na kukosa malazi. Najiuliza sana Hawa Wasomi waliopo serikalini na kwenye Uongozi wanatudia kweli? Sababu kubwa ikiwa ni Siasa ndani ya mfumo Elimu .Nchi yetu ina Mali asili...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ukiona watu hawaview status zako tambua unapost ujinga

    Ukiona watu hawaview status zako jua unapost ujinga badilika jamaa angu utakosa viwers bure hakuna anayekubali bando lake liishe kijinga kwa kuangalia ujinga
  3. JamiiForums Tanzania Kutotambua Matokeo ni Kutomtambua Rais, Serikali na Bunge. Rais Akiishaapishwa ni Rais! Tutaendelea kuruhusu hali hii Mpaka Lini?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huwaletea makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" zenye maswali fikirishi Swali la Leo ni Je wajua kutotambua matokeo ya uchaguzi wa rais, ni Kutomtambua rais, serikali na Bunge?. Rais akiisha apishwa ni rais!, umtambue, usimtambue, it doesn't...
  4. JamiiForums Tanzania Hitimisho langu: Ujinga ni tatizo kubwa sana kwa Watanzania

    Amani iwe nanyi! Kama kichwa cha mada kinavyosema, kwa muda mrefu sasa nimegundua kwa nini mwalimu nyerere alitamka kuwa moja wa maadui wakubwa wa Tanzania ni ujinga! Nasikitika kusema pia, kuwa hatujaweza kumuondoa huyu adui ujinga! Mwana jf samurai katika uzi unaoelezea Mhe Rais kufanya...
  5. JamiiForums Tanzania Umaskini wa watu wengi hapa nchini umesababishwa na ujinga au upumbavu

    Habari! Samahani kama haya maneno "ujinga na upumbavu " vitakukwaza. UJINGA ni hali ya mtu kukosa ujuzi, elimu au taarifa fulani muhimu ambayo ingemsaidia kutatua changamoto za kwake au za jamii yake. Huku UPUMBAVU ni hali ya mtu kushindwa kutumia elimu, maarifa au ujuzi aliona ili kutatua...
  6. JamiiForums Tanzania Tafakuri ya FaizaFoxy 7: Shule za kusomea ujinga. Tanzania na propaganda za Udini Shuleni

    Mara nyingi sana hapa JF nimekuwa nikitumia usemi "Hizo shule mlienda kusomea ujinga/?". Hapa chini naweka mojawapo ya mfano hai wa kusomeshwa ujinga, ambao umefanyiwa tafiti na Profesa ukuyakinisha kauli yangu hiyo. Huu ni baadhi tu ya ujinga tunaosomeshwa. Nayaleta haya kwa kuwa bila ya...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ujinga gani huu?

    Watu hawaishi ujinga
  8. R

    JamiiForums Tanzania 1995 Mbeya: Wakati ule OTTU ilipoachana na ujinga Wakamwalika Mwl.Nyerere badala ya Rais Mwinyi

    Wakati wa akina Bruno Mpangala, Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi lilipokuwa huru na lina viongozi wenye weledi na calibre ya kuongoza si tu Vyama vya Wafanyakazi, bali hata kuongoza nchi; siyo haya mapandikizi yaliyojaa kwenye vyama vya wafanyakazi kwa sasa. Wakati ule serikali ilianza...
  9. JamiiForums Tanzania Hizi protokali za kila mtu kutaja wageni eti ni protokali nu ujinga na inachosha sana.

    Kila mtu anayeingia anatambua wageni. Mgeni mmoja anatambuliwa hata na wazungumzaji watano. Huu ni ujinga
  10. JamiiForums Tanzania Ujinga uliowagharimu wengi kwenye maisha

    UJINGA ULIOWAGHARIMU WENGI KWENYE MAISHA! Anaandika, Robert Heriel. Kila binadamu anakiwango chake cha ujinga, hata Yule unayemuona anaakili Sana ujue anakaujinga kake. Sasa unaweza ukawa mjinga lakini kamwe Epuka kuwa MPUUZI, mpuuziaji ambaye baadaye itakufanywa uitwe mjuaji wakati hukuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kuuliza si ujinga, Mamelod Sundowns wa "Snake" yupi anaeongelewa sana kwenye mijadala ya CAF

    Nimekuwa mfuatilia kiasi kwenyw mijadala ya page za CAF mtandaoni nimekutana sana na hili neno snake kuwahusu Mamelod. Na leo kuna mtu amewashauri Orlando waazime snake wa Mamelod wakija kucheza na Simba kwa sababu Simba kwao wanatumia African magic witchcraft iliyosababisha Kaizer Chief...
  12. JamiiForums Tanzania Jionee umaarufu wa Mayele Simba

    Mayele style imeteka Soka la Tanzania. Nini maoni yako kuhusu hiki akifanyacho mchezaji huyu wa Simba?
  13. J

    JamiiForums Tanzania Ule ujinga waliofanya Senegal kwa Egypt, Simba nao wamefanya

    Ni ujinga wa kumulika wachezaji wa timu pinzani na tochi usoni, sijui soka la Afrika linaelekea wapi.. Timu haziwezi kushinda bila figisu?
  14. JamiiForums Tanzania Pale Wajinga Wanaposhindwa Kutofautisha 'Ujinga' na 'Uongo'

    Kila tarehe moja mwezi wa nne kama leo huwa inatajwa kama ni siku ya Wajinga Duniani, ingawa si siku inayotajwa rasmi na Mamlaka za Nchi lakini Wananchi wake wamekuwa wanaziadhimisha kivyaovyao. Nimekuwa nikishuhudia na kugundua ya kuwa karibia asilimia 99 ya Watanzania huwa Wanawadanganya...
  15. JamiiForums Tanzania Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

    Kwenye post ya Muna love Instagram ambayo Muna love alikua anauliza kama akibadili dini na kuwa muislamu atapokelewa, msanii Alikiba alimjibu kwenye comments kwa kusema, "uislam ni dini uliyozaliwa nayo ila unapofanyiwa ubatizo Ndio unakua converted into Christian" Hii inaonesha wazi jinsi gani...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Ukraine haikuomba kuwa sehemu ya USA ili kuepusha huu ujinga unaoendelea sasa?

    Habari zenu wana JF wenzangu.. Ndugu zangu kinachoendelea leo huko Ukraine kinatokana na ujinga wa viongozi wa nchi hiyo kushindwa kujiongeza mapema huko nyuma ili kuepuka uvamizi huu unaofanywa na Urusi katika ardhi yake. Ikumbukwe na ifahamike kwamba USA ni Super Power ktk dunia hii, na...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Madai ya watu kuishi Hifadhi ya Ngorongoro na wanyama pori kuwa ni kuvutia utalii ni ujinga

    Hivi karibuni kumezuka mijadala mingi juu ya uwepo wa zaidi ya watu zaidi ya laki Moja kuishi hifadhi ya Ngorongoro kuwa ni njia Moja wapo ya KUVUTIA UTALII ni ujinga na upuuzi usio vumilika hata kidogo. Tumeshudia Waandishi wa habari Maulid Kitenge na Oscar Oscar Mzee wa Kaliua wakiwa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Ujinga wenu tu sex kitu cha kawaida sana kwa mwanamke

    Habari wadau Kule uzi wa kula tunda kimasihara unazidi kutanuka watoto wanamwaga stori tu na wanaona kama unexpected sex na demu ni jambo la kifahari sana hawa sio kosa lao, kosa ni ujinga uliopandikizwa kwenye jamii za Kiafrika kwamba mwanamke ni kitu valuable sana madogo someni hapa...
  19. JamiiForums Tanzania Ni ujinga kushangilia madaraka ya Nape na January

    Tusiwe wasahaulifu kiasi hiki, uchaguzi wa 2015 ulikua na dosari kubwa ambazo waasisi na wasimamizi walikua by then ni "Vijana" walioaminiwa. January Makamba ambaye sasa ni Wazuri, huyu ndio alikua kiongozi wa tallying center ya CCM ambayo ilibuni matokeo, kwa mfano, wapiga kura kwenye jimbo...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Mjadala kuhusu mtu wa kwanza alikuwa na rangi gani na alitokea sehemu gani, ni ujinga na upumbavu

    Ye yote anayetafakari kwa kina, aliye na elimu ya vitu na uelewa wa mambo hawezi kuzingatia akilini mwake kwamba mtu wa kwanza alikuwa na rangi gani; au alianza kuishi eneo au bara gani. Rangi ya mtu; vyovyote inavyoitwa: mweusi au mweupe, si kitu chenye nafasi katika maana yenyewe ya mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…