Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

dormant accont

Senior Member
Jan 4, 2022
154
162
Kwenye post ya Muna love Instagram ambayo Muna love alikua anauliza kama akibadili dini na kuwa muislamu atapokelewa, msanii Alikiba alimjibu kwenye comments kwa kusema, "uislam ni dini uliyozaliwa nayo ila unapofanyiwa ubatizo Ndio unakua converted into Christian"

Hii inaonesha wazi jinsi gani watanzia ni wajinga, tumekariri dini tulizoingiziwa na mataifa mengine kutoka nje ya nchi na kujikuta tunakuwa wajinga.

Sikutegemea Alikiba ni mjinga kiasi hiki kisa dini🤦🏾‍♂️

=====

Muna Love
"Hivi Nikiamua kubadili Dini kua Muislamu. Waislam watanipokea au nao wanaweza kunichamba kama hawa walokole ? Nikafa"

Alikiba
"Mimi nitaakikisha unastirika I hope unakumbuka mameno yangu na iwe kheri ALLAH akufanyie wepesi dada yangu"

"Uislam ni dini uliyozaliwa nayo ila unapofanyiwa ubatizo Ndio unakua Converted into Christian"

Screenshot_20220228-120645.png

Kwenye post ya Muna love Instagram ambayo Muna love alikua anauliza kama akibadili dini na kuwa muislamu atapokelewa, msanii Alikiba alimjibu kwenye comments kwa kusema, "uislam ni dini uliyozaliwa nayo ila unapofanyiwa ubatizo Ndio unakua converted into Christian"
Hii inaonesha wazi jinsi gani watanzia ni wajinga, tumekariri dini tulizoingiziwa na mataifa mengine kutoka nje ya nchi na kujikuta tunakuwa wajinga.
Sikutegemea Alikiba ni mjinga kiasi hiki kisa dini🤦🏾‍♂️

View attachment 2133893
Kumbe ni mameno ya kwenye comment nikafikiri ni topic kabisa Kiba kaanzisha.

Mbona comment ya Mange hujachukulia kwa uzito?
 
Wrong Comment for a person who has a Brand..., Ukiwa unategemea Status yako ili kuuza (wewe ndio brand) inabidi uwe careful sana na unachokiongea

Kuwa na mtizamo ni haki ya kila mmoja kuweka msimamo / imani / views zako ambazo sio za kila mtu inaweza ikawa costly unless anataka kujibrand kama mtu wa Imani....
 
Acha chuki za kijinga huo ndio ukweli wenyewe kila Mtu huzaliwa akiwa Muislam ila wazazi ndio humfanya awe mnaswala au majusi.

Hizo habari za eti dini walituletea wageni Ni za kijinga Sana na hazina mantiki.

Babu yetu Nabii Ibrahimu ..alikuja kwa meli au nn.
 
Back
Top Bottom