ujinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Ujinga ni kizingiti kikuu kwa Hatma ya hili nchi

    Anasema mwanazuoni: Karibu Tanzania ambako wajinga ndiyo werevu na werevu ndiyo wajinga.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano kati ya umasikini, ujinga na kelele?

    1. Kwanini kwenye usafiri wa ndege huwa hawapigi mziki mkubwa kama alivyo kwenye basi? Halafu angalia aina ya watu wanaopanda basi na wale wanaopanda ndege. 2. Kwanini maeneo kama Masaki, Upanga na Osterbay hayana kelele, ukilinganisha na Bugurini, Mwananyamala n.k, halafu angalia aina ya watu...
  3. JamiiForums Tanzania Shule ya Patandi ipo mkoa gani na jiografia yake ikoje?

    Wakuu naomba kuuliza, kuna shule ipo mikoa ya kaskazini inaitwa PATANDI MAALUM SCHOOL, sasa nilitaka kujua ipo mkoa gani, na jografia yake ili ufike upande gari za wap na wapi, kuuliza si ujinga.
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake Kanda ya Ziwa kuuza vitu wenza wao wakienda kutafuta maisha ni umasikini?

    Hili tatizo nimekuwa nikikutana nalo sana huku Kanda ya ziwa. Vijana wengi wa kiume wanapofika Kanda ya Ziwa hasa ule msemo wetu wa kujitafuta na Mungu akawawezesha hununua samani za ndani na kuanza maisha aidha kwa kujenga au kupanga. Sasa tatizo limekuwa ni hili kijana anaamua kutafuta mwenza...
  5. JamiiForums Tanzania Nimepiga mkwara mzito huyu manzi, huwa siendekezi ujinga.

    Ebwanaeeeeeeee, za leooo. Moja Kwa moja kwenye mada.... Hivi nyie wanawake mkoje.... Hasa mnaoshinda nyumbani wakati sisi tupo kutafuta na kuvuja majaisho huko mtaani. Iko hivi... Mimi huwa sipendi kununua vitu kidogo kidogo maana naona inakuwa gharama Sana kuliko ukanunua kwa wingi, mfano...
  6. JamiiForums Tanzania Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, zikijadili jambo lolote la kisiasa, kiuchumi na kijamii lenye maslahi kwa taifa letu. Makala hizi huwa na swali, kisha hoja, halafu jibu utalitoa wewe mwenyewe msomaji. Makala ya leo ni kuhusu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kumtegemea mwanamke kiuchumi ni ujinga mwingine

    Naandika haya hii asubuhi kwa sababu ya tukio nililokutana nalo asubuhi stand, nimetoka zangu ubaruku- Mbeya narudi zangu jombe, nikiwa naingia kwenye gari ya abiria nimekutana na rafiki yangu yupo na dada mmoja ambaye wayback alikuwa mteja alinijumlishia sana michele, baada ya stori za hapa na...
  8. JamiiForums Tanzania Inakuaje hadi unakula mpangaji mwenzio au mwenye nyumba? Ujinga tu. Acha!

    Hili suala la kugongeana wapangaji sijui wenye nyumba kwangu halijakaa poa kabisa. Unajua kabisa ana mtu wake either anakuja au anaishi hapo, hadi muda mwingine wakiwa ndani unapunguza sauti ya redio yako usikie wanachofanya and then akiondoka na wewe unamendea. Unaona mwamba/demu kaingiza...
  9. JamiiForums Tanzania Kufuru ya wanadamu inapotaka kubadili sayansi ya Mungu

    Ujinga wa Elon Musk ni pale pesa yake inaweza kubadili sayansi ya Mungu. Elon Musk ana mkakati kabambe wa kuhamishia makazi yake kwenye sayari ya Mars na tayari tunaambiwa Huko mji umeshaanza kujengwa Mungu ametupa Dunia Moja tu kuwa sehemu bora kabisa ya kuishi, tumeichafua na kuinajisi kwa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Watanzania wajinga na kuvuna wanayopanda

    Tanzania ni nchi ya aina yake kulinganisha na zingine zote duniani. Kwa hakika ni halali wengine kuiita kuwa ni nchi ngumu sana. Chukua muda uisome nchi hii kupitia kwa watu wake. Zanzibar wanaweza kuwa tofauti, lakini si bara. Inasikitisha kuwa Tanzania bara ni jamii ya watu waliojaa...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi lini hii dunia wajinga wataisha? Hivi msomi nae anaweza kuwa na vivyo hivyo ukawa mjinga! Dada Betty ujinga umekufanya upoteze maisha

    MAREHEMU BETTY AJENTA CHARLES: Hadithi ya Betty Ajenta Charles (pichani), inasikitisha. Mwili wake umefukuliwa baada ya kufunga mpaka kufa katika sakata linaloendelea nchini Kenya la Mchungaji Paul Mackenzie ambaye anawafungisha Wakenya hadi umauti ("Fasting to Death") ili wafike Mbinguni...
  12. JamiiForums Tanzania Tuache ujinga

    Nimejiuliza sana tena sana, kwanini tunadanganyagwa na wanasiasa tusiowapenda kwa kupewa vijizawadi visivyo na tija maishani? Wanasiasa hao huja na vijizawadi vya kipuuzi kama vile chumvi ya mawe, kofia, tisheti na sabuni za vipande na kuwapa wapiga kura ili wawachague na wakishapewa kura...
  13. JamiiForums Tanzania Ujinga wa Watanzania wengi wanajifanya Wasomi

    Sipo hapa kuponda binadamu mwenzangu kwa kuwa me najifunza na kuhoji ili nizidi kupata Maarifa, Elimu, inamapana yake kwahiyo hata kama uko na Elimu.. uko na Elimu kuhusu issue fulani ila sio kila kitu Duniani _Ndo maana mwenyezi Mungu kila mja wake kamfanya awe na kipaji chake au kalama yake...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ampongeza Marehemu Askofu Chengula kwa kukemea ushoga na mapenzi ya jinsia moja

    Ilikuwa leo katika ibada maalum ya kumuaga Marehemu askofu wa Jimbo kuu la wakatoliki Mbeya iliyofanyika Makao makuu ya baraza la maaskofu Tanzania Kurasini jijini DSM. Alipopata fursa ya kutoa salam Mh Rais Magufuli alisema sitamumunya maneno, Nampongeza marehemu askofu Chengula kwa mema...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuelekea siku ya Maandamano Machi 20 Nchini Kenya, Ujinga na uroho wa Madaraka vimetawala

    Nashindwa kuwaelewa hawa ndugu na jirani zetu wakenya hakika kiongozi aina ya raila ni kiongozi asiyefahamu na mroho wa madaraka kupindukia. Katiba mpya walisha ipigania wakaipata na ndio wakaitumia kwenye uchaguzi mpaka imewapa kiongozi wa chaguo la wengi lakini mambo yanaonekana bado...
  16. JamiiForums Tanzania Mtu wa namna hii aachwe kuwa kiongozi kwakuwa alipata kura nyingi?

    Huenda Maneno haya Machache yakaeleweka na watu wachache tu Kwa wengi ndio hao wanaoshabikia Ujinga. Ipo hivi, ukikaa Kwa kutulia ukaitazama Dunia vizuri, utagundua Raia wengi wa Nchi zote Duniani, wamepitiwa na Ushetani hivi wa kupenda masuala ya kijinga jinga yaani masuala ya ovyo ovyoo...
  17. JamiiForums Tanzania Naacha ujinga

    Nataka nisemwe nimechoka uzururaji na acha ubachella nakuwa double nipo serious. Nimechoka usingle ambao haueleweki na kibabu kwendraa nakuacha na wewe unasoma huu ujumbe naisi good day
  18. JamiiForums Tanzania Vijana wa Arusha acheni ushamba na ujinga

    Kiukweli hapo awali nilikuwa nikijua kuwa vijana wa Kisukuma ni washamba, kiukweli ni washamba lakini uzuri wao wanapenda kuelekezwa na kujifunza na kujikubali pia. Lakini sasa katika uchunguzi wangu nimekuja kugundua vijana wa Arusha ndio washamba na ni wajinga zaidi kwa sababu; 1. Ni...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanaume mzima unaendeshwa kihisia na mwanamke? Huo ni ujinga wa kiwango cha lami.

    Hivi mwanaume mzima halafu ukiwa kwa masela unajiita wewe ni mwanaume shababu halafu kutwa mapenzi yanakuendesha balaa huo si umbumbu? na ujinga? na ukichaa wa hali ya juu yaani mimi nikiona wanaume wa type hiyo natamani hata kuwapiga makofi hivi unaacha kuwaza pesa unawaza hawa ma slay queen...
  20. JamiiForums Tanzania Tukisema watu wanaamini uchawi sababu ya ujinga kuna watu wanabisha. Hebu soma kisa hiki uone jinsi walivyodili na magonjwa ya mlipuko

    Kupigana na maradhi mengine Ikiwa katika mji magonjwa yalizidi kwa watu mkubwa wa mji hupigisha ramli kusudi apate njia ya kuzuia magonjwa hayo yasizidi, pia apate kufahamu ni mambo gani yaletayo magonjwa mjini mwake. Mara nyingi waganga walikuwa wakiwaambia kuwa moto unaotumika mjini mwao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…