ujenzi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Benjamin William Mkapa Rais aliyeamini katika Ujenzi wa mifumo

    Ndugu Watanzania wenzangu Kwa hakika Taifa letu limepoteza kichwa, kichwa makini sana kilichoacha alama katika nyumba hii ya maendeleo tunayoendelea kuijenga. Rais Benjamin William Mkapa amefanya mambo mazito sana kwa nchi hii. Kwa kweli nchi hii ina afadhali leo hii kwa sababu alikuwepo mtu...
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya Rais kung'aka, Mkurugenzi TAKUKURU awang'ata watumishi 9 waliohusika ujenzi/usimamizi wa majengo 7 ya TAKUKURU

    TAKUKURU NG'ATA... Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Brigedia Jenerali John Mbung'o, amewasimamisha kazi watumishi 9, ambao walihusika katika ujenzi na usimamizi wa majengo Saba ya Taasisi hiyo yaliyojengwa Chamwino, Mpwapwa, Ngorongoro, Manyoni, Masasi, Namtumbo na Ruangwa. ===== Hapo jana...
  3. JamiiForums Tanzania Mgombea ubunge jimbo la Korogwe Mjini kupitia CUF chama cha wananchi Mhe. Amina Magogo afanya ziara ya ujenzi wa chama Korogwe Mjini

    MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KOROGWE MJINI KUPITIA CUF CHAMA CHA WANANCHI MHE. AMINA MAGOGO AFANYA ZIARA YA UJENZI WA CHAMA KOROGWE MJINI
  4. JamiiForums Tanzania Sonia Magogo aendeleza ziara yake mkoani Tanga, kata kwa kata, jimbo kwa jimbo katika ujenzi wa chama mkoani Tanga

    HABARI MBUNGE VITI MAALUM CUF PIA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA HANDENI MJINI MHE. SONIA MAGOGO AIVURUGA HANDENI MJINI, AZUNGUKA KILA KATA KUIMARISHA CHAMA. Pichani ni kata ya kidereko ambapo alifanya mkutano wa ndani na Viongozi wa kata hiyo na kukutana na Baadhi ya Wanachama katika Kata hiyo Pia...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mkandarasi anayejenga lami Kigamboni baada ya daraja (Mnadani) hazingatii kanuni za ujenzi; ni kero kubwa kwa wapita njia

    Mkandarasi aliyepewa kumalizia kuweka lami eneo korofi baada ya kuvuka daraja la Kigamboni (Mnadani) amegeuka kero kubwa Sana kutokana na staili yake ya ujenzi usiozingatia kanuni za ujenzi! Kanuni za ujenzi zinamtaka Mkandarasi kutumia Alama na michoro (posters) kutoa maelekezo kwa watumia...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Serikali yasaini mikataba ya Ujenzi wa Barabara ya Mzunguko (112.3km) Jijini Dodoma

    11 Julai 2020 Dodoma, Tanzania Serikali yasaini mikataba ya Ujenzi wa Barabara ya Mzunguko (112.3km) Jijini Dodoma Imewekwa Tarehe: July 10th, 2020 Serikali leo imetia saini mikataba miwili ya kuanza rasmi kwa ujenzi wa Barabara ya lami ya njia nne ya Mzunguko (Outer Ring Road) ndani ya...
  7. J

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila avunja mkataba wa Serikali na JWTZ wa ujenzi wa ofisi za halmashauri za Busokelo

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amevunja mkataba wa ujenzi wa jengo la halmashauri ya Busokelo mkoani Mbeya kati ya serikali na kampuni ya JWTZ Mzinga. Chalamila amesema ujenzi huo ulioanza mwaka 2018 umekuwa ukisuasua hivyo pamoja na kwamba wajenzi hao ni chombo cha dola hawezi...
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta tenda ya ujenzi au decorations

    Habari wadau, Nina kampuni ambayo inafanya kazi za ujenzi na decoration imesajiriwa kisheria kwa jina la Lumona Decorators and building Contractors tangu 2009 ikiwa na leseni ya class five (5). Tunafanya ujenzi wa majengo ya aina yote hata nyumba ndogo ndogo, magodown, tailling dams...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gatuzi/kaunti ya Murang'a yaanza ujenzi wa hospitali kubwa ukanda huu kwa ajili ya saratani - maendeleo kote Kenya, nje ya Nairobi

    Kila siku tunalisema hili, miji yote Kenya inapiga hatua za kimaendeleo utadhani wameingiwa na ukichaa fulani, yaani Nairobi inapigwa ushindani mkali sana. Construction of a specialized cancer and research hospital has kicked off in Murang’a County. The facility, estimated to be constructed...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Partners sekta ya tools, real estate, ujenzi

    Habari, Kama imeandikwa. Ningetaka kuunda kama society itakayohusu sekta ya ujenzi. Kwa hiyo ninahitaji partners kwa ajili ya: - Kupandisha mtaji - Kutafuta viwanja - Kutafuta wateja - Kuajiri wafanyakazi - Kufanya taratibu zote za serikali. Kama uko serious na una interest na sekta hiyo nipe...
  11. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda Ataka Ujenzi Wa Kiwanda Kipya Cha Viatu Cha Karanga Kukamilika Kwa Wakati

    Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Prof. Riziki Shemdoe ameitaka kampuni ya Tanelec – Arusha kuharakisha utengenezaji wa vifaa vya umeme ikiwemo (switch gears ) ambazo zinasubiriwa kufungwa kwenye kiwanda cha kuzalisha bidhaa za ngozi cha Karanga kilichopo Mkoani Kilimanjaro. Prof...
  12. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa reli ya kasi uende sanjari na utoaji wa elimu ya matumizi yake sahihi

    Kujenga reli ya aina hii ni jambo geni sio tu geni kwetu Tanzania lakini hata kwa mataifa mengine. Hivyo namna bora ya kuitumia, kuitunza, na kuepuka madhara kama yatakuwepo kwa usahihi lazima ianze sasa kabla ujenzi haujakamikika Yabakie yale tu yanayosubiri hadi ianze kufanya kazi kama vile...
  13. JamiiForums Tanzania Milioni 700 kutumika katika Ujenzi wa Kituo cha Tiba ya Methadone

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amezitaka Halmashauri zote nchini kuhakikisha kuwa wanapotenga asilimia 10 ya mapato yao ya ndani kwa ajili ya kuwapatia mikopo vijana,wanawake na watu wenye walemavu wawape fursa hiyo hasa vijana wanaotaka kuondoka kwenye matumizi ya Dawa za kulevya. Waziri Ummy...
  14. JamiiForums Tanzania Nimeshuhudia vibarua kama 1000 hivi wakichakarika kama Nyumbu (Ubungo Flyover), hii haraka ya ujenzi ya ghafla inatokana na nini?

    Katika siku za karibuni nimeanza kuona utitiri wa vibarua wakipigika vilivyo kama siafu pale site ya ujenzi wa barabara za juu Ubungo (Ubungo Flyover), ongezeko hili la kasi limetokea ghafla sana. Je, kuna deadline wanaiwahi au ni nini?
  15. JamiiForums Tanzania Mshauri wa ngazi ya juu wa UM apendekeza Afrika kujiendeleza katika ujenzi wa teknolojia

    Mshauri wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa Bi Jacquline Musiitwa amesema, maambukizi ya virusi vya Corona yameathiri vibaya uchumi na biashara za Afrika, huku thamani za sarafu za nchi nyingi za Afrika zikishuhudiwa kuporomoka zaidi. Amezihimiza nchi za Afrika kuendeleza ushirikiano wa kiuchumi...
  16. JamiiForums Tanzania Building a Great Gravel Road: 10 Basic Principles

    Building a gravel road takes planning, preparation and the use of specialised grading and compacting equipment. Ideally, you want a smooth, uniform surface that can handle heavy loads and heavy weather without breaking up. For highly detailed instructions and insights on how to build a gravel...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Western ByPass - ujenzi wasonga mbele

    Western ByPass inaungana na Southern Bypass pamoja kwenye Nairobi - Waiyaki way - Rironi Express way. Ujenzi wa 10 lane - Kutoka Westlands mpaka Rironi unaendelea pia.. huku ujenzi wa Mlolongo to Westlands ukiandaliwa tayari.. Hii hapa ni inter-change ya Ruaka kwenye Northern Bypass na...
  18. JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli anazindua ujenzi wa barabara ya Mtumba, Makao Makuu ya TARURA na Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto

    Rais Magufuli yupo sherehe za kuzindua ujenzi wa 51.2 km za barabara ya mji wa kiserikali wa Mtumba, mkoani Dodoma Barabara hiyo itakuwa na km 11.2 za njia nne, zenye upana wa mita 7 kila upande Katika sherehe hizo pia kutakuwa na uzinduzi wa Jengo la ofisi za TARURA mji wa Mtumba, katika...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya ujenzi kwa kukodisha

    Habari zenu humu ndani. Mimi nina mashine ambazo naweza kukodisha au nikipata tender nifanye. mashine nilizokuwa nazo ni kama ifuatavyo 1) mashine ya kutengeneza pavers 2) mashine yakutengeneza matofali yale ya south africa 3) concrete mixer 4) tipa kubwa kwa tender za kokoto 5) mashine ya...
  20. JamiiForums Tanzania Sambamba na ujenzi wa bwawa la Mwalimu Nyerere, Serikali ianze kutafuta pesa za kujenga njia kuu ya umeme (Backbone)

    Miradi hii ni ya gharama kubwa na utekelezaji wake huchukua miaka mingi. Ni maoni yangu kuwa, sambamba na ujenzi wa bwawa la mwal Nyerere, serikali ingeanza kutafuta fedha za kujenga njia kuu ya kusafirishia umeme itakayopita magharibi mwa nchi hasa katika mikoa ya Lindi, Ruvuma, Njombe, Mbeya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…