ujenzi

  1. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa bei ya vifaa hivi vya ujenzi

    Ndugu Amani na iwe kenu. Kwa wazoefu wa kuuza/ kununua, waashi na wahandisi wa majengo, naomba kujuzwa bei elekekezi kwa vifaa tajwa hapo chini 1. Mfuko wa Cement 2. Nondo (12Mm) 3. Nondo (16 Mm) 4. Tofali za kuanzia msingi (Ngumu) 5. Tofali za ukuta 6. Tipa la mchanga 7. Tipa la Mawe 8. Tipa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za kujenga kwa Mkandarasi

    Habari wakuu, Wakati najipanga hapa nikaona niombe mchango wa mawazo na uzoefu wenu. Bila shaka wapo ambao mnafahamu gharama ya kumtumia mkandarasi kujenga, walau kwa kukisia tu. Nashukuru sana kwa mchango wenu.
  3. JamiiForums Tanzania Je, ujenzi wa reli unaishia Dodoma au unaendelea?

    Habari wakuu nilikuwa natamani kujua je ujenzi wa reli ukifika Dodoma utaendelea mbele? Na kama utaendelea awamu hiyo inaanza lini? Nia ya kuuliza ni kwamba walituma maombi hapa VETA Songea wakihitaji mafundi na baada ya kupewa majina wapo kimya ni mwezi sasa na ujenzi unakaribia kwisha. Je...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa reli Isaka - Mwanza unaendeleaje?

    U hali gani wapendwa, Mwenye taarifa za kinachoendela kwenye mradi wa reli kuanzia isaka tabora hadi Mwanza maana imepita miezi miwili sasa tangu wasaini mkataba na serikali.
  5. JamiiForums Tanzania Hoteli ya nyota Tatu inajengwa Chato, Wana-CCM mnafurahishwa na kitendo cha kupeleka kila mradi wa ujenzi Chato?

    Maelezo ya Picha: Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja(Kulia) akikagua hoteli ya nyota tatu inayojengwa na Hifadhi za Taifa Tanzania inayojengwa Wilayani Chato mkoani Geita. Mwalimu Nyerere akijua kabisa kuwa kuku wa taifa lazima aliwe na wote, aliamua almasi inayochimbwa...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada wa kukadiria gharama za ujenzi

    Habari wakuu . Nataka kuanza ujenzi ule wa mdogomdogo atleast by the end of the year niwe nimepaua na kuweka grill kwenye madirisha na milango ya nje. Ramani ina ukubwa wa m 15 x m 14 na ni nyumba ya vyumba 4, vyumba 2 ni self contained na vikolombwezo vyake vyote. Uwanja ni tambarare na...
  7. JamiiForums Tanzania Nachingwea: Mwalimu Mkuu na Afisa Elimu wapewa siku 3 kujieleza kwa kukwamisha ujenzi wa Bweni tangu 2017

    Naibu waziri wa ofisi ya Rais TAMISEMI David Silinde amewaagiza kuandika maelezo ndani ya siku tatu mkuu wa shule ya sekondari ya Nachingwea Mwalimu Longinus Nambole na Afisa elimu sekondari ya kwanini wasichukuliwe hatua za kinidhamu baada ya kushindwa kusimamia mradi wa ujenzi wa bweni la...
  8. JamiiForums Tanzania Tunauza Viwanja na Mashamba kwa bei nafuu

    Habari wana JF.Nina hekari 2,000 za shamba maeneo ya mazinde wilaya ya korogwe mkoani Tanga. Ninatumia heka 1,000 tu.Zimebakia heka 1,000 kwa mwekezaji yoyote wa kilimo aje. Pembeni limepakana n mto ambao haujawahi kukauka maji. Nauza 1,000,000 Kwa Heka 1. DIRECTION YA SHAMBA LILIPO Ukiwa...
  9. JamiiForums Tanzania UJENZI: Let us transform your design ideas into reality - Nile house designs

    UJENZI: Let us transform your design ideas into reality: NILE HOUSE DESIGNS (nilehousedesigns on instagram). Karibu tukutengenezee nyumba ya ndoto yako, tuambie unataka nini na sisi tutaboresha wazo lako. Kwa bei poa kabisa utapata design yako Baadhi ya kazi zetu Affordable price tupigie...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Hayati Mwalimu Julius Nyerere na Kenneth Kaunda wakioneshwa ramani ya ujenzi wa reli ya Tazara

    Tukio hili limetokea miaka ya 1970's wakati wa mchakato wa Ujenzi wa Reli ya Tazara inayounganisha nchi za Tanzania na Zambia. Mradi huo wa kimkakati ulifadhiliwa na na Serikali ya China...
  11. J

    JamiiForums Tanzania DC Gondwe: Serikali hairidhishwi na kasi ya Ujenzi wa mradi wa Mwendo kasi (BRT)

    Mkuu wa wilaya ya Temeke Godwin Gondwe amesema serikali ya Rais Magufuli hairidhishwi na kasi ya mkandarasi katika mradi wa ujenzi wa miundombinu ya mwendo kasi wilayani Temeke. Gondwe amempa miezi mitatu mkandarasi huyo kupeleka mpango kazi wa ujenzi huo ofisini kwake. Source ITV habari...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma: Ujenzi wa Mradi wa Kituo cha Kisasa cha Michezo unaendelea kwa kasi Kigamboni

    Hongera kwa Serikali ya awamu ya Tano inayoongozwa na Mzalendo nambari moja Dkt John Pombe Magufuli kwa kuthamini na kuwezesha kuwa na mazingira mazuri ya michezo Ujenzi huo unasimamiwa na Shirikisho la Soka Nchini Tanzania ( TFF) maeneo ya Kigamboni Jijini Dar es Salaam.
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Siasa za Ujenzi wa Viwanda: TRA na Wizara ya Viwanda ni watuhumiwa wa kwanza

    Hongera CCM kwa kutimiza miaka 44. Jana nimefuatilia kidogo mjadala wa CCM uliokuwa unaongozwa na Comred Polepole, wachangiaji wa mada walishindwa kueleza sababu hasa za nchi yetu kushindwa kutunga na kutekeleza na kusimamia sera za kujenga uchumi wa viwanda ili kutuondoa katika dimbwi la...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Hospitali ya kisasa ya Wilaya ya Kinondoni unaendelea Kwa kasi Mabwepande

    Picha inajieleza vema kabisa Ujenzi wa hospitali ya Wilaya ya Kinondoni umeshika kasi sana na upo mbioni kukamilika. Matumizi sahihi ya rasilimali zetu huleta matokea chanya. Hongera Rais Dkt John Magufuli kwa kutimiza ahadi.
  15. JamiiForums Tanzania Wajuzi wa mambo ya ujenzi

    Habarini ndugu zangu, Nataka kuanza kujenga nyumba ya kuishi, maeneo ni Dar es Salaam, naombeni mbinu bora ya kufanya ujenzi katika angle ya kuwalipa awa mafundi ujenzi, kuna fundi nimeongea nae kuhusu kuniwekea msingi tu wa mita 12 kwa 12 aliniambia almost milion 1.8 nimechoka na kuchoka...
  16. JamiiForums Tanzania Unajenga? Tuna aina mpya ya vifaa vya ujenzi vinavyokupunguzia gharama za ujenzi na kukuokolea muda

    Kama unajenga au una plan kujenga au u fundi ujenzi au unataka kuongeza nafasi kwenye nyumba ya bati uliyonnayo sasa, wasiliana na na sisi kwa ushauri wa bure na kujionea aina mpya kabisa ya ujenzi unaokupunguzia sana gharama za ujenzi. Mafundi wote ujenzi tunawapatia masomo ya bure kabisa kwa...
  17. JamiiForums Tanzania TAFAKURI CWT: Kwani umoja wa walimu hawawezi kumiliki kampuni/kitengo chao cha ujenzi wakawa wanajenga shule zao wenyewe kama wafanyavyo SUMA JKT?

    Habari zenu waheshimiwa wa humu jamiiforums. Eti ndugu zangu; Kwani umoja wa walimu hawawezi kumiliki kampuni/kitengo chao cha ujenzi wakawa wanajenga shule zao wenyewe (Primary & Secondary) kama wafanyavyo SUMA JKT? Kwanini tenda apewe mkandarasi mwingine wakati walimu wanaweza kuunda umoja...
  18. JamiiForums Tanzania Morogoro: Ujenzi wa Barabara 88 hadi Tungi una Kasoro

    Naandika kukufahamisha Meneja wa TARURA Morogoro kukufahamisha kuwa kama umekaa ofisini nenda site kasimamie kazi, tunashukuru serikali imetoa fedha kwaajili ya ujenzi wa barabara hiyo lakini yaelekea kuna fedha inaliwa na wajanja. Haiwezekani kampuni ikapewa kazi ya kujenga barabara bila...
  19. JamiiForums Tanzania Zijue aina za mitambo mikubwa zinazotumika kwenye shughuli mbalimbali za miradi ya ujenzi mkubwa

    Aina mbalimbali za mitambo itumikayo kwenye tasnia ya ujenzi. Excavators Backhoe Dragline Excavator Bulldozers Graders Wheel Tractor Scraper Trenchers Loaders Tower Cranes Pavers Compactors Telehandlers Feller Bunchers Dump Trucks Pile Boring Machine Pile Driving Machine 1.Excavators Fig 1...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anaweka jiwe la msingi ujenzi ofisi ya halmashauri ya Malunga Kahama - Shinyanga!

    Tukio liko mubashara TBC, Channel ten na ITV. Up dates; Rais Magufuli ameweka jiwe la msingi na sasa anapiga picha ya pamoja na viongozi wa mkoa na wilaya. Rais Magufuli amewashukuru viongozi hao kwa utekelezaji mzuri wa ilani ya CCM na ameagana nao na kuondoka. Maendeleo hayana vyama!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…