ujenzi

  1. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa kituo cha Afya Ikungi - Singida, Mashaka matupu mwaka unaisha ujenzi haueleweki

    IKUNGI-SINGIDA Na Gregory Jumbe Mahanju, Wakati Mama yetu anaendelea kujipambunua kutafuta pesa kwa wahisani ili kutekeleza ilani ya CCM, huko Wilaya ya Ikungi mkoani Singida katika kata za Ntuntu na Irisya tangu pesa zitolewe miradi ya ujenzi wa vituo vya afya katika kata hizo haijakamilika...
  2. JamiiForums Tanzania Hongera Wizara ya Ujenzi! Sasa twende na reli za mijini kwa kutumia sekta binafsi

    Moja ya sababu zilizofanya Tanzania kuwa nyuma kimaendeleo ni suala la sera zetu kuegemea ujamaa yaani kila kitu kufanywa na serikali jambo ambalo limekuwa likifanya tuchelewe sana kupata maendeleo. Jitihada kadhaa zimekuwa zikifanywa kuondokana na haya ila bahati mbaya zimekuwa zikikosa...
  3. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Barabara ya Njia 4 Kibaha -Morogoro kuanza

    Waziri wa Ujenzi Profesa Mbarawa ameyasema hayo akizungumza na wadau wa sekta ya usafirishaji jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi la leo ni Kwambaza barbara hiyo itajengwa kwa utaratibu wa BOT yaani JENGA, ENDESHA, RUDISHA. Ujenzi huo utaanza APRILI 2023. Barabara hiyo ya...
  4. U

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ujenzi wa jengo la Mkurugenzi wa Uyui liko chini ya kiwango, wahusika wawajibishwe

    Wilaya Uyui ina maaajabu yake ambayo nahisi sijawahi ya kuyaona katika wilaya nyingine. 1. Kuna ufisadi wa kutisha katika majengo yaliyojengwa (jengo la mkurugenzi jipya) Yaani jengo la serikali limekabidhiwa hata miezi miwili halina tiles zinabanduka, helper za kupandia ngazi ya...
  5. JamiiForums Tanzania Kampuni ya ujenzi

    Nahitaji mtu mwenye KAMPUNI ya ujenzi ambayo kwa sasa haifanyi kazi tupatane namna ya kufanya kazi
  6. JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha ujenzi wa vituo vya mafuta

    Serikali imesitisha utoaji wa vibali vipya vya ujenzi wa vituo vya mafuta na mabadiliko ya matumizi ya ardhi kwa ajili ya vituo vya mafuta kwa muda wa miezi mitatu kuanzia leo. Uamuzi huo umetangazwa leo Alhamisi Novemba 10, 2022 na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline...
  7. JamiiForums Tanzania Usilolijua kwa Hamornize ni ujenzi mpya wenye mvuto. Fagio lake mtalishukuru baadae

    Wana JF Watu wengi wamekalia lawama nyingi sana na kuhukumu kila kukicha nafasi ya kondeboy Harmonize katika mikakati ya kuangushwa na mpenzi wake na mtu mzima Kajala. Pengine ufagio mpya alioutumia unaonekana kuwakera wengi tu lakini kwa jicho jipya ni kwamba kisafisha nyumba na kuweka vitu...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa jengo la utawala Monduli waleta mvutano

    UJENZI WA JENGO LA UTAWALA MONDULI WALETA MVUTANO Na John Walter-Arusha Makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya Monduli Thomas Meiyan, ameiomba kamati ya ulinzi na usalama iliyopo chini ya mwenyekiti mkuu wa wilaya hiyo Frank Mwaisumbe kuharakisha uchunguzi wake uliokuwa unaendelea ili...
  9. B

    JamiiForums Tanzania DC Ikungi awapeleka watatu TAKUKURU kukwamisha ujenzi kituo cha afya Irisya wamaliza milioni 500 ujenzi haujakamilika

    Mkuu wa wilaya ya Ikungi Mhe. Jerry C. Muro leo tarehe 01/11/2022 amemuelekeza mkuu wa takukuru wilaya ya Ikungi kuanza uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili watumishi watatu waliokuwa wanasimamia ujenzi wa kituo cha afya kata ya Irisya tarafa ya Sepuka jimbo la singida magharibi Pamoja na hatua...
  10. JamiiForums Tanzania Shaka: Rais Samia ameandika historia ujenzi uwanja wa Msalato

    KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema CCM inapongeza kwa dhati Rais Samia ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM kwa kuandika historia kwa taifa baada ya miaka kadhaa tangu kuwekwa azimio la makao makuu ya nchi kuhamia mkoani Dodoma. Shaka...
  11. JamiiForums Tanzania Sh102.3 bilioni kwaajili ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT)

    Serikali kutoa Sh102.3 bilioni kwaajili ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT). Chuo kikuu cha sokoine kilianzishwa mwaka 1984 hadi leo wasomi wake wanahaha mitaani hawana ajira na wameshindwa kujiajiri, wengine wameamua kutengeneza mapanya ya...
  12. JamiiForums Tanzania Ukiwa nje usiwaamini ndugu Bongo, ndoto ya kurudi nyumbani mazima imefifia kutokana na ujenzi hafifu

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu wanajamii forum wenzangu, unapokuwa nje ya nchi mara nyingi unakumbana na changamoto nyingi kutoka kwa ndugu, jamaa na marafiki uliyowaacha nyumbani. Hii ni kutokana na wao kuona, au kuamini...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge yapokea taarifa ya Ujenzi wa Shule mpya kupitia mradi wa Sequip

    KAMATI YA BUNGE YAPOKEA TAARIFA YA UJENZI WA SHULE MPYA KUPITIA MRADI WA SEQUIP. OR -TAMISEMI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala Bora na Serikali za mitaa (USEMI) ikiongozwa na Mhe. Jaffari A. Chaurembo, Mbunge wa Jimbo la Mbagala imepokea na kujadili taarifa kuhusu Utekelezaji Mradi wa...
  14. JamiiForums Tanzania Imekaaje Waziri Mkuu kumkaripia Daktari kwa ujenzi hafifu wa Hospitali?

    Kwanza nitangulie kusema kuwa sina chuki waka hila na mh. Waziri Mkuu Majaliwa. Waziri mkuu ndiye msimamizi wa shughuli ZOTE za kiserikali nchini. Hata hivyo hili nililolisikia kwenye vyombo vya habari ndiyo vinaelezea ukakasi wa siasa tunazojiwekea zisivyoendana na kanuni na utaratibu wa...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Kwenu Wizara ya Ujenzi

    Na amini mnapita humu, natumai ujumbe mtaupata na mtaufanyia kazi. na hii ni mahusi kwa katibu mkuu. Ipo hivi, CRB (Contractors Registration Board ndio wanaohusika kufanya assessment ya kampuni zinazotaka kusajiliwa na kufanya kazi ya ukandarasi, halafu board board members wanakuja kuidhinisha...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kusuasua ujenzi wa bwawa la JNHP lafikia 74%

    Wasiopenda maendeleo ya Tanzania hawataki mradi huu ukamilike mapema.
  17. JamiiForums Tanzania Nyerere Day: Julius Nyerere, Dossa Aziz na Ujenzi wa Chuo Kikuu Cha Dar-es-Salaam 1958

    NYERERE DAY: MWALIMU NYERERE NA DOSSA AZIZ WALIPOKUBALIANA KUJENGA CHUO KIKUU WAKIWA WAMEEGESHA GARI MLIMANI Viongozi wa TANU walikuwa na kawaida wakimaliza mkutano wa hadhara Mnazi Mmoja watakatiza barabara kwa miguu kuja Princess Hotel wakafanya tathmini ya mkutano, kula chakula na kunywa...
  18. JamiiForums Tanzania Hotel ya nyota 5 yenye ghorofa 40 ujenzi wake wakamilika karibu na uwanja wa Kiligolf maji ya chai Arusha

    Mwenye kufahamu mmiliki wa mradi nilioutaja hapo juu aje inbox tafadhali. Hali ya uchumi tunasema ni mbaya ila kuna mradi wa maajabu ulikamilika eneo la Kiligolf Maji ya chai huko Arusha Tanzania. Je ni Lini Mh. Rais wetu mama Samia atakwenda kufungua mradi huo ambao tayari umeshakamilika...
  19. JamiiForums Tanzania Tunahusika na uwekaji mifumo ya umeme majumbani na viwandani. Tuna leseni ya Ewura na tumesajiliwa kwenye mfumo wa Nikonekt

    Katika Kipengele cha uwekaji mfumo wa Umeme katika jengo mpaka kukamilika hupitia hatua 3 kuu. (1) kutindua ( plan and design circuit's) hii inahusika na ujengaji wa metal box zote single na double, mainswitch, waterproof box pamoja na round box na uwekaji wa bomba baada ya hatua hii plasta na...
  20. JamiiForums Tanzania Waislam Pemba waandamana kuzuia ujenzi wa Kanisa

    Kama mnavyoona na na kusikia. Habari ndiyo hiyo. Sijui hizi dini zinatupeleka wapi. By the way ni vitu ambavyo havitakiwi kudekezwa hata kidogo. Bahati mbaya politicians wetu huwa wanatumia advantage za kidini na ukabila kushawishi watu. Jambo ambalo siyo Sawa hata kidogo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…