ujenzi

  1. JamiiForums Tanzania Barabara ya 4-8 na eneo lote la Ngamiani jijini Tanga kwanini serikali hailitendei haki kwa kuhimiza ujenzi wa nyumba za kisasa na kuondoa uchafu?

    Wakuu, Wagosi wa kaya wamo vibarazani huku jiji lao limetelekezwa kurejeshewa hadhi yake ya zamani. Reli waliboreshewa na hayati JPM mpaka stesheni ilikarabatiwa ikabaki kidogo treni ianze safari kwenda huko lakini mipango ikaenda hali jojo hadi leo. Swali kwa serikali, kwanini jiji hilo...
  2. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Bwawa Jijini Dodoma Umefikia Wapi kwa Maendeleo ya Kanda ya Kati?

    Wakuu Kama mada ilivyowekwa mezani kwa utaratibu wa swali nikiwa miongoni mwa wananchi wa Tanzania ambao pia eneo la Dodoma, Singida, Manyara Na Tabora ni mojawapo ya sehemu ninazoweza kutembelea lakini pia wakazi wa maeneo hayo pamoja na serikali kuu mradi huu wa ujenzi wa bwawa kubwa kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Mtaalam Ujenzi: Nyumba ya Bakhresa sio bilioni 30, ikienda sana ni bilioni 5

    Nyumba ya Bakhresa Nyumba ya 50 cent Mtaalam ya real estate kutoka kampuni ya Knight Frank Frolian Rweikiza amewatoa hofu vijana wanaotaka kuwekeza katika sekta ya ujenzi kuacha kupagawa na bei wanaziona mitandaoni na badala yake wawaone wahusika wa ujenzi kwa kupata makadirio sahihi ya...
  4. JamiiForums Tanzania Jerry Silaa na Daganya Toto kwenye ujenzi wa Vituo vya Mafuta

    Mara zote huwa nasema CCM bado wanaendelea na siasa za koshamba sana. Wana mbinu amabazo hata mtoto wa darasa la pili lazima ajue kafungwa kamba. Jerry slaa anataka kutuaminisha kwamba tatizo la ujenzi holela la vituo vya mafuta lilikuwa ni tatizo la wazori husika siyo serikali jambo ambalo...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Jerry Silaa apiga marufuku ujenzi holela wa Vituo vya Mafuta

    Waziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni Mbunge wa Ukonga Dar es salaam @JerrySilaa ametangaza kusimamisha ujenzi holela wa Vituo vya mafuta Nchini Tanzania na kutaka ujenzi wowote unaofanywa kuanzia sasa kuzingatia sheria ya kutovisonganisha vituo. Waziri Silaa...
  6. JamiiForums Tanzania Mafundi ujenzi kutoka Asia wanyang'anywa passport na kulazimshwa kuingia jeshini Urusi

    Urusi imeishiwa wanajeshi hadi imeanza matendo ya kihuni, wageni wanaofanya kazi za ujenzi wanasakwa na kunyang'anywa paspoti na kulazimishwa mafunzo ya kijeshi kisha wanatiwa frontline kujaribu kuzuia mtiti wa counteroffensive ya Ukraine. PHOTO: SPUTNIK Since the end of June, Russia has...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Mtego kwa Waziri mpya wa Ujenzi kuhusu tenda na mikataba atakayoikuta Wizarani

    Wizara ya Ujenzi ina bajeti kubwa kutokana na miradi yake mingi. Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa ana kazi kubwa mbele kuhusu mikataba na tenda atakazokuta wizarani. Namaanisha zile zenye harufu ya upendeleo au rushwa. Sasa itabidi achague kulindana au kutenda haki Kama mzalendo bila...
  8. JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Mariki Achangia Zaidi ya Milioni 6 UWT kusaidia Ujenzi wa Nyumba za Watumishi

    Mbunge Martha Mariki Achangia Zaidi ya Milioni 6 UWT kusaidia Ujenzi wa Nyumba za Watumishi MBUNGE wa Viti maalumu mkoa wa Katavi Martha Mariki anechangia mifuko 30 ya Simenti na fedha shilingi milioni Moja kwaajili ya kusaidia ujenzi wa Nyumba ya Mtumishi wa UWT Wilaya ya Mlele Mkoa wa...
  9. JamiiForums Tanzania Nini hasa kusudio la Rais Samia kutenganisha Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi?

    Bado naendelea kutafakari nia na malengo mahususi yakutenganisha Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi! Nafikiri ni ngumu sana kutenganisha hivi vitu viwili yaani Ujenzi pamoja na Uchukuzi! Sijui nini kinakusudiwa ijapokuwa naona bado Waziri ni yuleyule Makame Mbalawa na Katibu wake ni yuleyule Ally...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Nauza duka langu la vifaa cha ujenzi

    Habari wakuu, Nauza duka langu la vifaa vya ujenzi lililopo kibamba Dar es salaam maeneo ya Kibwegere duka linathamn ya m8. ( Milioni nane) Mawasiliano yangu ni 0656052164.
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Ashatu Aridhishwa na Maendeleo ya Ujenzi wa Ofisi ya WMA.

    Waziri Mhe. Dkt. Ashatu Aridhishwa na Maendeleo ya Ujenzi wa Ofisi ya WMA. Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) ameridhishwa na Ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) chini ya Mkandarasi kutoka Kampuni ya Mohammed Builders Limited. Dkt. Kijaji amebainisha...
  12. JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Mariki Achangia UWT Milioni 2 na Mifuko 60 ya Saruji Ujenzi Nyumba za Makatibu UWT Wilaya ya Mpanda na UWT Mkoa wa Katavi

    MBUNGE wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi Martha Mariki ametoa Shilingi Milioni 2 na Mifuko 30 ya Simenti kwaajili ya Kusaidia Ujenzi wa Nyumba za watumishi wa UWT Wilaya ya Mpanda na UWT mkoa wa Katavi. Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi Martha Mariki ametoa Shilingi Milioni 2 na Mifuko 30 ya...
  13. JamiiForums Tanzania Mbunge Norah Mzeru Achangia Mifuko 50 ya Saruji, Matofali 500 na Laki Nne Ujenzi wa Nyumba ya Katibu UWT Morogoro Vijijini

    MBUNGE NORAH MZERU AKABIDHI MIFUKO 50 YA SARUJI, MATOFALI 500 NA TSH. 400,000 KWAAJILI YA UJENZI WA NYUMBA YA KATIBU UWT WILAYA YA MOROGORO VIJIJINI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Waziri Mzeru amekabidhi Mifuko 50 ya Saruji, Tofali 500 za Block na fedha kiasi cha Shilingi...
  14. JamiiForums Tanzania Achangisha Milioni 43 Ujenzi Kituo cha Mafunzo cha Wanawake, Watoto na Vijana Kanisa la AICT

    NAIBU WAZIRI MHE. MASANJA ACHANGISHA MILIONI 43 ZA UJENZI KITUO CHA MAFUNZO CHA WANAWAKE, WATOTO NA VIJANA CHA KANISA LA AICT Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb)amechangisha kiasi cha shilingi milioni 43 zitakazotumika kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Mafunzo ya...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali yachangia ujenzi wa Shule Shikizi ya Kitongoji cha Nyasaenge cha Musoma Vijijini

    SERIKALI YACHANGIA UJENZI WA SHULE SHIKIZI YA KITONGOJI CHA NYASAENGE CHA MUSOMA VIJIJINI Kitongoji cha Nyasaenge ni moja ya vitongoji sita (6) vya Kijiji cha Kataryo. Kijiji hiki ni moja ya vijiji vitatu (3) vya Kata ya Tegeruka ya Musoma Vijijini. Mwaka 2017, wananchi wakazi wa Kitongoji cha...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Lipi ni chaguo (Option) sahihi kuhusu ujenzi wa nyumba ya Ghorofa moja

    Wanabodi. Mara nyingi mtu anapokuwa katika harakati za ujenzi, hupata mawazo mbalimbali kutoka kwa wataalamu wa ujenzi (mafundi), hii hupelekea kutokuwa na mueleko sahihi hata katika bajeti yake ya ujenzi na namna ya kupunguza gharama. Mara kadhaa kumekuwa na maoni tofauti tofauti juu ya ujenzi...
  17. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Dugange Aipongeza TARURA kwa Kazi Nzuri ya Ujenzi wa Miundombinu ya Barabara

    Naibu Waziri Dugange aipongeza TARURA kwa kazi nzuri ya Ujenzi wa Miundombinu ya Barabara Naibu Waziri, Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe. Festo Dugange ameipongeza TARURA kwa kazi nzuri ya ujenzi wa miundombinu ya barabara nchini. Pongezi hizo amezitoa wakati alipotembelea mabanda ambayo yapo...
  18. JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti UWT Taifa Akagua Ujenzi wa Hospitali Wilaya ya Itigi

    MAKAMU MWENYEKITI UWT TAIFA ZAINAB SHOMARI AKAGUA UJENZI WA HOSPITALI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA ITIGI. Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa, Zainab Shomari ameipongeza Serikali ya awamu ya 6 kwa kutekeleza Mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Itigi iliyopo Kata ya Tambuka reli...
  19. JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani Achangia Madirisha 15 Ujenzi Nyumba ya Katibu UWT Wilaya ya Kahama

    MBUNGE CHEREHANI AKABIDHI MADIRISHA 15 (MILIONI 4) KUKAMILISHA NYUMBA YA KATIBU WA UWT WILAYA YA KAHAMA Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe.Dkt Emmanuel Cherehani amekabidhi Madirisha 15 yenye thamani ya TZS. Milioni 4,162,000/- kukamilisha nyumba ya Katibu wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Wilaya...
  20. JamiiForums Tanzania Mbunge Mzeru atoa milioni 10 kuchangia ujenzi wa Nyumba ya Katibu UWT Wilaya ya Morogoro

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Mzeru Agosti 11, 2023 amekabidhi kiasi cha fedha cha Shilingi Milioni 10 kwa ajili ya Ujenzi wa nyumba ya Katibu wa UWT Wilaya ya Morogoro Mjini ikiwa ni sehemu ya ahadi aliyoahidi ya kuchangia ujenzi wa nyumba hiyo. Akikabidhi fedha hizo kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…