ujenzi

  1. I

    JamiiForums Tanzania Mradi wa ujenzi wa Shule ya Msingi Mshikamano iliyopo Kivule, Dar

    Shule inapatikana Wilaya ya Ilala inajumuisha jumla ya madarasa 16, jengo moja la utawala, matundu 24 ya vyoo. Shule imejengwa kupitia mradi wa BOOST na umegharimu jumla ya Tsh. Milioni 475. Zaidi ya wanafunzi 1395 wanatarajiwa kupata elimu kwenye Shule hiyo. Faida za shule Kupunguza...
  2. JamiiForums Tanzania Jesca Magufuli achangia Ujenzi Nyumba ya Katibu UVCCM Wilaya ya Chato. Asisitiza Kumuenzi Hayati Magufuli

    "Mimi nikasema si vibaya nikajumuika na vijana wenzangu (UVCCM) Wilaya ya Chato katika ujenzi wa nyumba ya Katibu wa UVCCM Wilaya ya Chato na kuhakikisha inakamilika, nikasema nichangie kidogo nilichobarikiwa kuhakikisha kazi za Chama na pia siyo mwisho, nitaendelea kuchangia zaidi na zaidi...
  3. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Daraja la J.P.Magufuli (Kigongo - Busisi) Wafikia 85%

    UJENZI WA DARAJA LA J.P MAGUFULI (KIGONGO-BUSISI) WAFIKIA 85%. Ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo - Busisi) lenye Kilometa 3.2 pamoja na Barabara unganishi ya Kilometa 1.66, linalojengwa kuunganisha Barabara Kuu ya Usagara - Sengerema - Geita katika Ziwa Victoria umefika asilimia 85 na...
  4. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo-Busisi) wafikia 85%

    Ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo - Busisi) lenye Kilometa 3.2 pamoja na Barabara unganishi ya Kilometa 1.66, linalojengwa kuunganisha Barabara Kuu ya Usagara - Sengerema - Geita katika Ziwa Victoria umefika asilimia 85 na unatarajiwa kukamilika ifikapo mwezi Desemba, 2024. Taarifa hiyo...
  5. JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: Wazabuni eneo la ujenzi, tumieni bidhaa zinazozalishwa Nchini

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amewataka wazabuni wanaopata tenda za Serikali kwenye eneo la ujenzi kutumia vifaa vinavyozalishwa ndani ya nchi ili kuokoa fedha za kigeni. Prof. Mkumbo ametoa wito huo Machi 14, 2024 akiwa Mkuranga, Pwani alipofanya...
  6. JamiiForums Tanzania Points 10 za ujenzi: baridi kwenye jengo

    MAKALA YA 5 Karibuni katika Makala yetu ya kila wiki, leo tunaangazia kwenye kukabiliana na Baridi kwenye jengo. Kwa wale wa Njombe, Ruvuma, Mbeya, Kagera, Arusha, Iringa, Singida, Kilimanjaro, Lushoto, Dodoma na Tabora sogeeni karibu. 1. Hali joto stahiki kwenye jengo lenye kuupa mwili starehe...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ujenzi wa uwanja wa ndege Mwanza nini hasa, tuelezeni

    Sisi wazalendo tunakerwa sana na uzembe wa TAA kuanza ujenzi wa jengo la uwanja wa ndege wa Mwanza, wameahidi mara kadhaa kwa Mkuu wa Mkoa, kuwa pesa imetolewa na Rais bilioni 30 sasa. Kinachochelewesha ni nini? Songwe imeishakamilika, Tabora, Iringa, Tanga, Msalato, Arusha, Moshi vinajengwa...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa: Ujenzi na uboreshaji Kiwanja cha Ndege cha Tabora utakamilika Oktoba badala ya Machi, 2024

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameihakikishia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kuwa Serikali itahakikisha inasimamia ukarabati na uboreshaji wa Kiwanja cha Ndege cha Tabora ili kukamilika ifikapo mwezi Oktoba, 2024. Bashungwa ameyasema hayo Machi 13, 2024 mkoani Tabora katika...
  9. JamiiForums Tanzania Ujenzi Uboreshaji Kiwanja cha Ndege cha Tabora Kukamilika Oktoba, 2024

    UJENZI NA UBORESHAJI KIWANJA CHA NDEGE CHA TABORA KUKAMILIKA OKTOBA, 2024 Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameihakikishia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kuwa Serikali itahakikisha inasimamia ukarabati na uboreshaji wa Kiwanja cha Ndege cha Tabora ili kukamilika ifikapo mwezi...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ujenzi na uboreshaji kiwanja cha ndege cha tabora kukamilika Oktoba, 2024

    UJENZI NA UBORESHAJI KIWANJA CHA NDEGE CHA TABORA KUKAMILIKA OKTOBA, 2024 Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameihakikishia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kuwa Serikali itahakikisha inasimamia ukarabati na uboreshaji wa Kiwanja cha Ndege cha Tabora ili kukamilika ifikapo mwezi...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Miundombinu yawasili Singida kukagua miradi ya Sekta ya Ujenzi

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu ikiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe.Selemani Kakoso (Mb) imewasili wilayani Itigi Mkoani Singida na kupokelewa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, leo tarehe 12 Machi 2024. Kamati hiyo ikiwa Wilayani hapo itakagua na kutembelea miradi ya...
  12. JamiiForums Tanzania Mzee Mwinyi kinara wa ujenzi ovyo na holela, aliharibu Dar na Miji yetu

    Magheto na uharibifu wa mji wa Dar ulianzishwa na Rais wa awamu ya pili Ali Mwinyi. Rais Mwinyi ndiye aliyeruhusu fukwe zetu kuvamiwa kwa kuruhusu hoteli kujengwa beach kinyume na sheria zetu za 50 meters ktk ufukweni, Rais Mwinyi aliruhusu white sands hotel kujengwa kinyume na sheria...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Nani angesaidia kuharakisha mchakato wa Ujenzi uwanja wa ndege Mwanza, TAA au TANROADS, naomba mawazo yenu

    Ni kweli suala la mchakato wa ujenzi wa jengo la abiria uwanja wa ndege Mwanza limechukua muda mrefu na sasa wananchi waliahidiwa Mwezi February 2024 mkataba ungesainiwa hapahapa Mwanza. Tuliamini baada ya TAA kukabidhiwa na mkoa kasi ingeongezeka na hususani baada ya Rais kutoa bn 30 kazi...
  14. JamiiForums Tanzania Ngoja niwahabarishe mambo kadhaa usiyo yajua katika ujenzi

    Ngoja niwahabarishe mambo kadhaa usiyo yajua katika ujenzi. 1.Jengo/Nyumba siyo lazima liwe na msingi. Unabisha....? Nenda Msasani makangira(Namanga), Kuna nyumba kadhaa hazina msingi. 2.Unyevu ndiyo sababu kubwa ya kuharibika kwa Majengo . unabisha....? Chumvi,ukungu na kutu vyote hutokana na...
  15. JamiiForums Tanzania Israel imekamilisha ujenzi wa barabara Gaza

    Jeshi la Israel limekamilisha ujenzi wa barabara mpya inayopita katitaki ya eneo la kaskazini mwa Gaza kutoka mashariki hadi magharibi mwa eneo hilo. Haya ni kwa mujibu wa picha za satelaiti zilizodhibitishwa na kitengo cha uchunguzi cha BBC verify. Jeshi hilo limeiambia BBC kuwa linajaribu...
  16. JamiiForums Tanzania Bashungwa amsimamisha Meneja wa TANROADS - Lindi, akuta mtaalam wa Falsafa na Wananchi wakisimamia ujenzi

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi Meneja wa TANROADS Mkoa wa Lindi, Eng. Andrea Kasamwa kwa kushindwa kusimamia urejeshwaji wa miundombinu ya barabara na madaraja katika Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi na kupelekea barabara kuu zinanounganisha wilaya hiyo na maeneo mengine...
  17. JamiiForums Tanzania Bashungwa Amataka Mkandarasi Barabara ya Nanganga - Ruangwa Kuelekeza Nguvu Ujenzi wa Madaraja

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameutaka Wakala wa Barabara (TANROADS) Mkoa wa Lindi kuhakikisha wanamsimamia Mkandarasi wa Kampuni ya China Railway 15 Bureau Group anayejenga barabara ya Nanganga – Ruangwa (km 53.2) kwa kiwango cha lami, kuelekeza nguvu katika ujenzi wa Daraja la Lukuledi...
  18. JamiiForums Tanzania Tuomba na sisi mafundi ujenzi wadogo wadogo utukumbuke kama ulivyowakumbuka waigizaji

    Tungetoa ushauri ni vipi tutambuliwe rasmi na tuingizwe kwenye mfumo wa kulipa kodi. Tungeweza toa ushauri wa vipi tumiliki mashine za VAT Tungejitolea kujenga madarasa (hata vyoo kama madarasa hatuaminiwi) kwa gharama ndogo kabisa. Tungeshiriki ipasavyo kurekebisha dosari ndogondogo za...
  19. JamiiForums Tanzania Points 10 za ujenzi: Unyevu/damp katika jengo

    MAKALA YA 3 Karibu katika Makala yenye kuelimisha mambo muhimu kuhusiana na ujenzi wa Majengo. Leo,tutaangazia juu ya DAMPNESS/Unyevu katika jengo. Hili ni jambo linalokumba Majengo nchi nzima. 1.Dampness/ Unyevu jengoni: Hii ni hali ambayo sehemu za jengo huonekana na hali ya kulowana au...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Afrika inanufaika na ujenzi wa China yenye nguvu katika mtandao wa internet

    Tarehe 27, Februari, mwaka 2014, rais Xi Jinping wa China alitoa dira ya "kujenga nchi kuwa na nguvu katika sekta ya mtandao wa internet". Katika muongo mmoja uliopita, China imejizatiti katika utekelezaji wa dira hiyo na kupata mafanikio makubwa, iwe katika upatikanaji wa huduma za internet au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…