Tunawapongeza wale wote ambao kila siku, usiku na mchana, wanafikiria namna ya kutatua matatizo ya nchi na wananchi.
Lakini watu watambue kuwa hakuna muujiza wa kuifanya nchi ipate maendeleo, na kulala na kuamka, matatizo ya nchi na wananchi yakaisha, zaidi ya kufanya kazi kwa bidii, kujinyima...