ujasiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Raisi akiingilia suala la Dube kama alivyofanya Kwa Fei Toto, Azam waliowahi kusaidiwa tatizo linalofanana wana ujasiri wa kumgomea ?

    Kwa Fei ilikubali, kwa Dube itakataa ?
  2. P

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnipe ujasiri wa kuthubutu nisiwe muoga

    Wanasema uwoga wako ndiyo umaskini wako....... Najiona mjinga,mpumbavu na nisiyekua na akili..... Mimi ni binti, wa 20+. Nimehangaika mnoo hapa nilipo Nina 2.5 MIL. Ambayo nimeipata ndani ya mwaka 1.5 kwa taabu mnooo. Kwakudunduliza kidogo kidogo. Huku na huko....... Mimi natamani kuwa Yule...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Wengi hamjui, ujasiri wa Makonda ulianzia hapa!

    Baada ya kutoka Kolomije na kufika Dar es salaam Makonda alifikia Lumumba kwa utambulisho wa uCCM. Alilala katika moja ya ofisi za chama hicho siku kadhaa kabla ya Mzee Samwel Sitta kumchukua nyumbani kwake kama rafiki na Msaidizi wake. Ni Sitta alifanikisha Makonda awe Katibu wa Chipukizi na...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi Dada zangu, huwa mnapata wapi ujasiri wa kutuambia wapenzi wenu hatuna jipya?

    Yaani nyie Mkigombana tu na Sisi Wapenzi au Waume zenu Hasira zikiwapanda mnaanza kutuponda kuwa HATUNA JIPYA Kitandani. Sasa tungekuwa kweli hatuna jipya mngekuwa mnatukatia Viuno vya bidii kama Feni za Ukutani na Darini za Phillips pale Mkuyenge ukiwa unazama na kuibuka kunako Mbunye...
  5. passion_amo1

    JamiiForums Tanzania Hili linaweza kuwa suluhisho la kulea watoto wa kubambikiziwa?

    Habari za uzima wakuu? Nikiwa naelekea katika harakati jumatatu njema kabisa, nikakutana na hii kitu hapa. Hii ni HOME DNA TESTS KIT, kama ambavyo wanawake wanaweza kujipima mimba na wanaume wameletewa hii. Kwani Nchini Tanzania zimefika hizi au Ndio kupima kwa kila mtu mmoja mmoja na...
  6. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Hatuna deni na Magufuli, kama hakukuachia maarifa basi alikuachia ujasiri

    Hatuna deni na huyu Mwamba🙏🏼 Kama hakukuachia maarifa basi alikuachia ujasiri,Gone too soon Mwamba.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Watoto wa (Kikristo) hasa kipaimara na komunio wanadhalilishwa kisaikolojia na walezi wao wanapopelekwa kwenye kumbi za sherehe kuungana na walevi

    Wakristo jaribuni kutenganisha dhambi na Mungu: mnapotaka kusali salini mkiwa mmevaa unyenyekevu. Mnapotaka kulitumia neno la Mungu au kufanya sala wekeni vitu vyote visivyompendeza Mungu mbali nanyi. Ndivyo biblia inavyotaka na ndivyo tunapaswa kuishi. Wakristo kuna kitu mnaita ubatizo...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amesema tuwe na jamii yenye ujasiri wa kuhoji

    Ndugu zangu Watanzania, Hayo ni maneno ya Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia,simba wa nyika, komandoo wa vita,nyota ya matumaini Mama Samia Suluhu Hasssan katika maazimisho ya miaka 62 ya uhuru wa Tanzania Bara. Ambapo...
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ujasiri huu wa Watanzania kwa wazungu umepotelea wapi?

    Henry Kissinger, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani kaja Tanzania kupatana na Rais Nyerere kuhusu jambo. Alikutana na mabango mengi. Leo hii leo hii leo hii mzungu kutoka Marekani mwenye cheo hiki akija tena Tanzania ole wake atakaenyanyua bago, ujasiri wetu umeenda wapi?
  10. Ivan Stepanov

    JamiiForums Tanzania Wadogo zetu wa sasa wana ujasiri sana, sio waoga kabisa

    Niende moja kwa moja kwenda jambo la msingi. Ninayezungumza hapa pia ni kijana sio kwamba ni mtu mzima sanaa kivile, hapana. Naanza kwa kusema hili; ili kuondoa ile dhana ambayo kwa sasa inalalamikiwa na vijana wengi mitandaoni kwamba "Wazee" na "Watu wazima waliofanikiwa" wanawaonea vijana kwa...
  11. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiwa na kiasi gani cha pesa kwenye wallet unakosa ujasiri wa kumtongoza mwanamke?

    Maisha ni pesa na pesa ni nguvu mojawapo ya ujasiri na kujiamini katika maisha ya mapenzi na mahusiano. Binafsi nikiwa na pesa pungufu ya Laki moja siwezi thubutu kumchokoza demu, hata kama ni mkali vipi ntamsomea ramani tu kinyele bila swaga. Nikiwa sina Laki moja na kuendelea kwenye wallet...
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Anglikana linaruhusu ndoa za jinsia moja, Inakuwaje kuna watanzania wenzetu bado wanaendelea kwenda ?

    Ni tangu mwezi February mwaka huu kanisa la Anglikana lilipiga kura kufungisha na kuzibariki ndoa za jinsia moja. Nilitegemea kufikia mwezi huu makanisa ya Anglikana hapa Tanzania yawe matupu kwa sababu sisi watanzania tunayapinga mahusiano ya mwanaume kumruhusu mwanaume mwenzake kumuingiza...
  13. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Wewe unatumia njia gani kupata ujasiri wa kuzungumza mbele ya watu wanaokuzidi kila kitu?

    Habari wana JF, Baadhi yetu tumewahi kupata bahati ya kukaa na wakubwa au kutoa speech mbele ya watu wenye vyeo vikubwa kutuzidi, au kwenye interview nk. Confidence na utulivu ni jambo muhimu sana wakati huo. Binafsi huwa nawadharau watu wote wanaonitazama ili kupata confidence. Wewe...
  14. Intelligent businessman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujasiri na utata wa mzee wangu ushimen, uta kushangaza

    Salaam wakuu, dah nina andika Uzi wangu huu nikiwa Kijiji Cha wapiga miti. 👉Niko na mzee wangu Ushimen, tuki endelea na mapambano yetu Kama Wana familia Ila kuna vitu vya mzee wangu huyu, vina Nishangaza na kuni onyesha kuwa huyu ni zaidi ya dikteta au bepari. Ame binafsisha cheo Cha...
  15. Malaika wa Misukosuko

    JamiiForums Tanzania Hawa GO BET wanapata wapi ujasiri wa Kutukana Watu Kisa tu hatujajiunga kwenye Hiyo mitandao yao Ya Kubet

    Ivi hawa Go Bet wanatuchukuliaje WaTanzania ivi Hii nchi Mbona Ngumu sana jamni yan Mtu unakaa zako unahangaika na Matatizo ya hii nchi ghafla Na Mitandao ya Kipuuzi kam hii nayo itutukane, Waziri husika Hebu mkalitazame hilo maan huku ni Kuingilia Privacy za Watu sasa, haiwezekan Watu...
  16. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Waandishi wajengewa ujasiri kupambana na changamoto katika majukumu yao

    Waandishi wa habari licha ya kuwa watu muhimu katika jamii lakini wamekuwa katika mazingira ambayo siyo mazuri wanapokuwa.wakitekeleza majukumu yao ya kuhabarisha Umma kwani miongoni mwao kupata vitisho wengine kutekwa na wengine kufikishwa katika vyombo vya sheria wakiwa wanadai haki zao hivyo...
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ujasiri wa wana-CCM mtaani wadorora pakubwa

    Ule ujasiri wa wanaCCM mtaani kuitetea Serikali na mamlaka zake kwa mbwebwe na majigambo kwasasa unaonekana umepungua na ni dhaifu na wa kiwango cha chini sana. Ni kama vile haupo kabisa. Hii ni kutokana na upinzani mkali kutoka kwa wannanchi katika mambo kadhaa muhimu mathalani suala la Dipi...
  18. R-K-O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wanawahi kuchoka, Mwanaume unatoa wapi ujasiri wa kuoa mwanamke mnayelingana umri?

    Nitoe mfano, majina yakiwa ya kutunga. Mwaka 2008 Fred akiwa na miaka 26 alifunga ndoa na Recho mwenye miaka 25. Wote walikuwa bado ni vijana wabichi kabisa wanavutia. Kufikia Leo Fredi ana miaka 41 huku Recho ana 40, unaweza kuhisi Fred alioa dada yake. Fred ni rafiki yangu, anakiri kwamba...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usiongee lolote juu ya suala la DP World kwa sasa. Ukimya wake unawatesa mno, acha waendelee kuteseka huku ujasiri na matokeo vikikubeba

    Kwa kuwa kuna pande mbili zinazotofautiana kwenye uwekezaji wa bandari na pande hizi zimeonesha wazi ni pande za kisiasa. Upande wa wanaopinga uwekezaji wakiongozwa na CHADEMA na upande unaokubaliana na uwekezaji wakiongozwa na CCM. Pande zote mbili zinapenda kusikia lolote kutoka kwako hasa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Nay wa Mitego na Ukweli mchungu dhidi ya serikali ya Rais Samia na CCM yao

    Msanii huyu huenda akatekwa ama akafanyiwa figisu kubwa, ukweli daima amekua sauti ya walalahoi kwa muda mrefu, hata enzi za Magufuli hakufunga mdomo, alipaza sauti. Ney wa Mitego, amerudi tena na ukweli mchungu, mtegee sikio kwa dakika 5 ameongea mengi ambayo hakuna kiongozi atafurahia maana...
Back
Top Bottom