ujasiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Serikali inatoa wapi ujasiri wa kumzuia mkulima kutumia mazao yake kwa namna aonavyo ina manufaa kwake?

    Sijui kama haya bado yapo siku hizi, lakini siku za nyuma ilikuwa kawaida kusikia: 1. Marufuku kufanya biashara ya mahindi mabichi kuepuka kuepuka upungufu wa chakula nchini! 2. Marufuku kusafirisha mahindi, mchele, n.k., nje ya nchi kuepuka upungufu wa chakula nchini Ikiwa Serikali...
  2. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Serikali inatoa wapi ujasiri wa kumzuia mkulima kutumia mazao yake kwa namna aonavyo ina manufaa kwake?

    Sijui kama haya bado yapo siku hizi, lakini siku za nyuma ilikuwa kawaida kusikia: 1. Marufuku kufanya biashara ya mahindi mabichi kuepuka kuepuka upungufu wa chakula nchini! 2. Marufuku kusafirisha mahindi, mchele, n.k., nje ya nchi kuepuka upungufu wa chakula nchini Ikiwa Serikali...
  3. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Tatizo ujasiri wa jaji Warioba huonekana pale tu kwenye tawala zenye uhuru wa kujieleza

    Friends and Our Enemies, Mungu Mkubwa sana,Pia Mungu ni hakika ni Mkali Sana,Ona Mungu kamchukua Magufuli kamuacha WARIOBA,Mungu Kamchukua Ndugulile hata kabla hajafaidi matunda yake ya cheo kipya kamuacha WARIOBA,Kuna kipindi marehemu Captain John Komba alishawahi mfanyia dhihaka JAJI WARIOBA...
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu ujasiri kwenye mahusiano tunao wachache hapa Tanzania

    Wazee nawasalimu kwa jina la Baltazar.... Huyu Binti ni nurse katika hospital ya wilaya. Nilimpata tuna kama mwezi sasa, alinizoea ghafla kiasi kwamba unaweza dhani ni mtu ambaye alikuwa na ukame sana wa wanaume. Baada ya kuanza mahusiano zile panda shuka kwenda na kurudi hospital nikawa...
  5. Utajua wewe

    JamiiForums Tanzania Unapata wapi hii nguvu na ujasiri wa kumuliza mtu uliyegombana naye

    Habari wanaJF, Mimi nauliza tu watu mnapata wapi hii nguvu na ujasiri wa kumuliza mtu uliyegombana naye . "Utanifanya nini?" Ivi unahisi hana cha kukufanya? Maisha ni marefu sana "kumuliza mtu utanifanya nini? " Duniani watu wamechanganyikiwa na mengi unaweza ukauliza mtu "utanifanya...
  6. PakiJinja

    JamiiForums Tanzania Mwezi mmoja kabla Hassan Nasrallah aliwaonya Hezbollah kutotumia simu

    Hezbollah walikuwa wakitumia simu kwa mawasiliano yao. Hassan Nasrallah akawaonya Hezbollah kutotumia simu kwani kuna ueezakano simu hizo zikawa compromised na Israel. Baada ya onyo hilo ndiyo wakahamia kwenye pagers (hutumika kwa text tu) na walkie-talkie (hii ni two ways radio hutumika...
  7. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Ujasiri siyo kufanya jambo bila hofu: Rekebisha uhalisia wako

    Moja ya jambo nililojifunza katika miongo kadhaa niliyojaliwa katika maisha yangu ni kuelewa kuwa Dunia imejawa na watu wengi waoga na ujasiri siyo kufanya jambo bila woga au hofu ila ni kuendelea kufanya jambo licha ya uwepo wa hofu na mashaka. Kwa maana nyingine mtu jasiri haimaanishi...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna Mwanaume Mwenzangu yoyote hapa JamiiForums mwenye Ujasiri huu wa Kinafiki na Uwongo kama wa huyu?

    "Mimi na Jennifer sio na hatujawahi kuwa wapenzi, naweza kulala nae kitanda kimoja usiku mzima na tusifanye chochote tukaishia kupiga stori tu"- Othman Njaidi, "Patrick Kanumba", Mwigizaji wa filamu Tanzania. Chanzo: Mitandaoni Yaani kabisa Nadindisha vyema, halafu nilale na Mbunye iko pembeni...
  9. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Labda unahitaji kuongeza ujasiri kidogo tu ili upande viwango vya juu zaidi!

    Sina uhakika kama Kikwete alikuwa na ndoto ya kuja kuwa Rais wa Tanzania. Mwinyi alipomteua kuwa Mbunge na Waziri, alimfuata na kumwomba amwondolee uwaziri amwachie ubunge. Badala ya Mwinyi kulipokea ombi lake, alimtia moyo kwamba yeye ni kijana mwenye akili hivyo ataimudu hiyo nafasi...
  10. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Unatoa wapi ujasiri wa kufanya upinzani ikiwa huna kinga yoyote?

    Sawa una haki ya kutetea nchi yako , kuwasemea wanyonge nk. Lakini ukweli mchungu ni kwamba utatafutwa na utazimwa , unamkaribisha adui na huna kinga yoyote? Kwanini uchague maisha ya shida na wasiwasi hivyo ingali unafahamu athari zake 🤔 Tukio la Sativa limenifikirisha sana. Kuna haja ya...
  11. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Kuna nchi nyingine inajenga Majengo ya Biashara ya Kibalozi ukitoa Tanazania?

    Majengo ya Biashara ubalozini ni aina ya upigaji hakuna kitu hapo, ni watu wanagawana 10% maisha yanaendelea. Tuulizane Mataifa mengine yanashindwa kujenga majengo ya Vitega uchumi kwenye balozi zao?; Uwezo wanao ila hawafanyi hivyo kwa sababu sio malengo yao. Malengo yao ni kusaidia Raia wao...
  12. Baba Kisarii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnapata wapi ujasiri wa kuwapigia magoti wachumba zenu?

    Mkaka upo madhabahuni anamvalisha pete mdada huku umepiga goti, huna uhakika kama mtaishi pamoja hadi kifo kiwatenganishe. Hivi huo ujasiri huwa mnautoa wapi?
  13. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Nani humu ana ujasiri wa kufanya hivi

    One blow only and there goes the terrorist
  14. Mystery

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Rais gani mstaafu, amekuwa na ujasiri wa kukemea maovu ya CCM hadharani, zaidi ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere?

    Katika kumbukumbu zangu, hakuna Rais mstaafu wa nchi hii ameweza kuwa na ujasiri wa kukemea maovu ya CCM hadharani, zaidi ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere. Mwalimu Nyerere alikuwa na ujasiri wa aina yake, hadi katika moja ya hotuba zake alidiriki kuwaambia CCM kuwa chama hicho siyo mama yake...
  15. GenuineMan

    JamiiForums Tanzania Video: Kwa Hali Hii Viongozi Mnapata Wapi Ujasiri wa Kutuhimiza Tulipe Kodi?

    Tazama mwenyewe hali ilivyo kwenye Usafiri wa Mabasi yaendayo kasi, jijini Dar es Salaam alimaarufu "mwendokasi"
  16. Kinyungu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wana Ujasiri wa Ajabu sana!

    Shaquille O'nel na mpenzi wake mpya wa miaka 21 wakila raha Spain.... Hapa kuna mtu atapata murder case🤣🤣
  17. Baba Kisarii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnapata wapi ujasiri wa kuchumbiana na wanawake wenye kope na kucha bandia?

    Nijuavyo mimi wanawake wote wajibandikao kope na kucha bandia huwa hawamkubali aliyewaumba, ni wapinzani wa wazi wazi wapingao uumbaji wa Mungu. NB mtu yeyote anayepingana na MUNGU MUUMBAJI huyo ni mchawi mwana wa ibilisi. Hao wadada ni wachawi na washirikina wazoefu waliojaa kiburi...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mambo Matano yanayochangia Kuharibu Ujasiri na Kujiamini kwa Mtoto

    Kuna mambo kama Wazazi huwa tunafanya kwa watoto bila kujua kama vinawaharibu na kuwashushia kujiamini au kuondoa ujasiri wao katika maisha yao yote. Mambo Matano yanayochangia Kuharibu Ujasiri na Kujiamini kwa Mtoto 1. Kuingilia Uhuru wake kupita kiasi 2. Kumtaja kwa Udhaifu wake (Mzembe...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mwanadamu, ujasiri wa kumnyang'anya godoro masikini unayemdai umeupata wapi?

    Salaam,Shalom!! (Mithali 19:17) Amhurumiaye maskini, humkopesha BWANA. Mungu anachukia sana Umaskini, lakini anawapenda sana maskini, Mungu ndiye hufukarisha, na ndiye hutajirisha!! Maskini wa Leo ni tajiri kesho, maana Mungu ndiye huwapandisha maskini na kuwaketisha pamoja na wakuu na...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni kiongozi shupavu na mwenye ujasiri

    Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa kiongozi shupavu na mwenye ujasiri tangu alipoingia madarakani. Kama mwanamke wa kwanza kushika nafasi ya urais nchini Tanzania, Rais Samia ameleta mabadiliko makubwa na kuleta matumaini mapya kwa wananchi wa Tanzania na kwingineko. Uongozi wake unaonyesha...
Back
Top Bottom