Naombeni mnipe ujasiri wa kuthubutu nisiwe muoga

Point of No Return 19

Senior Member
Jul 2, 2023
194
454
Wanasema uwoga wako ndiyo umaskini wako....... Najiona mjinga,mpumbavu na nisiyekua na akili..... Mimi ni binti, wa 20+. Nimehangaika mnoo hapa nilipo Nina 2.5 MIL. Ambayo nimeipata ndani ya mwaka 1.5 kwa taabu mnooo. Kwakudunduliza kidogo kidogo. Huku na huko.......

Mimi natamani kuwa Yule ninayetaka kuwa, Nawaona wasichana WENYE umri wangu wakiwa na mafanikio makubwa,,,,,Wana biashara zao, office zao nk. Mimi Sina chochote,hata nilipotafuta Sana kazi sikuwahi kuipata ,na Sasa nimeachana na habar za kutafuta kazi....

Natamani kuwa mfanyabiashara,natamani nikijiona nainuka kiuchumi,,,,natamani kujiona nipo kule juu. Nachanganyikiwa hata sielewi nifanye nini?? Mabinti wenzangu,mliwezaje kupiga hatua ???? Mliwezaje kufanikiwa ???

Natamani kufungua duka la vipodozi, naona pesa haitatosha .....naamua nitafute laini za uwakala nianze na uwakala nipate kuongezea mtaji. Mabinti wenzangu,nataman kuwa Kama nyie. Imagine kesho jumatatu naamka na Sina pakwenda 😢😢😭😭😭 Basi nalala ndani

KUMBUKA najitegemea kwakilakitu,bill,rent,chakula n.k. Naombeni MNIPE nguvu,UJASIRI niweze KUTHUBUTU

Sitaki kujiona nipo hapa nilipo.....

NAUMIA,

Mimi Muoga naogopa kupoteza,

Najiona mpumbavu 😭😭😢
 
Wanasema uwoga wako ndiyo umaskini wako.......

Najiona mjinga,mpumbavu na nisiyekua na akili.....

Mimi ni binti, wa 20+

Nimehangaika mnoo hapa nilipo Nina 2.5 MIL

Ambayo nimeipata ndani ya mwaka 1.5 kwa taabu mnooo

Kwakudunduliza kidogo kidogo

Huku na huko.......

Mimi natamani kuwa Yule ninayetaka kuwa,

Nawaona wasichana WENYE umri wangu wakiwa na mafanikio makubwa,,,,,Wana biashara zao, office zao nk

Mimi Sina chochote,hata nilipotafuta Sana kazi sikuwahi kuipata ,na Sasa nimeachana na habar za kutafuta kazi....

Natamani kuwa mfanyabiashara,natamani nikijiona nainuka kiuchumi,,,,natamani kujiona nipo kule juu.

Nachanganyikiwa hata sielewi nifanye nini??

Mabinti wenzangu,mliwezaje kupiga hatua ????

Mliwezaje kufanikiwa ???

Natamani kufungua duka la vipodozi, naona pesa haitatosha .....naamua nitafute laini za uwakala nianze na uwakala nipate kuongezea mtaji

Mabinti wenzangu,nataman kuwa Kama nyie

Imagine kesho jumatatu naamka na Sina pakwenda Basi nalala ndani

KUMBUKA najitegemea kwakilakitu,bill,rent,chakula n.k

Naombeni MNIPE nguvu,UJASIRI niweze KUTHUBUTU

Sitaki kujiona nipo hapa nilipo.....

NAUMIA,

Mimi Muoga naogopa kupoteza,

Najiona mpumbavu
2.5m mtaji mzur sana , sema vyote utakavyo amua kufany zingatia location, location nd kila kitu.
 
Wanasema uwoga wako ndiyo umaskini wako....... Najiona mjinga,mpumbavu na nisiyekua na akili..... Mimi ni binti, wa 20+. Nimehangaika mnoo hapa nilipo Nina 2.5 MIL. Ambayo nimeipata ndani ya mwaka 1.5 kwa taabu mnooo. Kwakudunduliza kidogo kidogo. Huku na huko.......

Mimi natamani kuwa Yule ninayetaka kuwa, Nawaona wasichana WENYE umri wangu wakiwa na mafanikio makubwa,,,,,Wana biashara zao, office zao nk. Mimi Sina chochote,hata nilipotafuta Sana kazi sikuwahi kuipata ,na Sasa nimeachana na habar za kutafuta kazi....

Natamani kuwa mfanyabiashara,natamani nikijiona nainuka kiuchumi,,,,natamani kujiona nipo kule juu. Nachanganyikiwa hata sielewi nifanye nini?? Mabinti wenzangu,mliwezaje kupiga hatua ???? Mliwezaje kufanikiwa ???

Natamani kufungua duka la vipodozi, naona pesa haitatosha .....naamua nitafute laini za uwakala nianze na uwakala nipate kuongezea mtaji. Mabinti wenzangu,nataman kuwa Kama nyie. Imagine kesho jumatatu naamka na Sina pakwenda 😢😢😭😭😭 Basi nalala ndani

KUMBUKA najitegemea kwakilakitu,bill,rent,chakula n.k. Naombeni MNIPE nguvu,UJASIRI niweze KUTHUBUTU

Sitaki kujiona nipo hapa nilipo.....

NAUMIA,

Mimi Muoga naogopa kupoteza,

Najiona mpumbavu 😭😭😢
Kwahiyo unataka ushauri kutoka kwa mabinti tu au kutoka hili jukwaa! Mimi naweza kukuuliza kuwa miongoni mwa njia zilizokupelekea kupata 2.5mil ni pamoja na kudanga? Kama katika hizo kuna zile zinazotakana na wakware kukusimamia kucha, sidhani kama una maajabu! Wee endelea tu! Kama hiyo umeipata kwa kuhustle/kupambana, huwezi kuja hapa unalialia eti hujui cha kufanya! Sasa ulizipataje??????
 
Sijawah kudanga,

Sorry sijawah kudanga
 
Sijawah kudanga,

Sorry sijawah kudanga
Binti sikia! Hapa unaongea na wazoefu! Umesema wewe ni mpambanaji umepambana mpaka ukatengeneza 2.5mil. Sasa inakuwaje unakuwa desperate hujui cha kufanya? Anyway! Cha kukushauri na ambacho mdogo mdogo mabinti wanakimudu ni biashara ya miamala ya pesa (mpesa & tigopesa). Hanzia hapa japo kunawezi wa mitandao unaweza kupigwa hela yote ukiwa macho!
 
Cha kwanza kabisa

- acha kujiona mjinga maana aonavyo mtu ndivyo alivyo.
Fata huu ushauri

Kama unajua kiingereza soma kitabu cha "become better you " by Joel oesteen na the power of ur subconscious mind by Dr Joseph Murphy

Tatizo lako lipo katika AKILI kwa kuamini you have nothing to offer that's way unalalamika as well soma na Kitabu cha The magic ujifunze how gratitude is everything in success
 
Vitabu! Ndo vitaingiza hela mkononi? Niliwahi kushauriwa nisome kitabu cha "the richest man in babylon". Hivi ni vitabu tu kukupotezea muda! Practice makes perfect! Anza biashara utajifunza humohumo kuliko kulishwa nadharia za kukupotezea muda!
 
Binti sikia! Hapa unaongea na wazoefu! Umesema wewe ni mpambanaji umepambana mpaka ukatengeneza 2.5mil. Sasa inakuwaje unakuwa desperate hujui cha kufanya? Anyway! Cha kukushauri na ambacho mdogo mdogo mabinti wanakimudu ni biashara ya miamala ya pesa (mpesa & tigopesa). Hanzia hapa japo kunawezi wa mitandao unaweza kupigwa hela yote ukiwa macho!
Sijawah kudanga naludia, Ahsante nitalifanyia kazi
 
Wanasema uwoga wako ndiyo umaskini wako....... Najiona mjinga,mpumbavu na nisiyekua na akili..... Mimi ni binti, wa 20+. Nimehangaika mnoo hapa nilipo Nina 2.5 MIL. Ambayo nimeipata ndani ya mwaka 1.5 kwa taabu mnooo. Kwakudunduliza kidogo kidogo. Huku na huko.......

Mimi natamani kuwa Yule ninayetaka kuwa, Nawaona wasichana WENYE umri wangu wakiwa na mafanikio makubwa,,,,,Wana biashara zao, office zao nk. Mimi Sina chochote,hata nilipotafuta Sana kazi sikuwahi kuipata ,na Sasa nimeachana na habar za kutafuta kazi....

Natamani kuwa mfanyabiashara,natamani nikijiona nainuka kiuchumi,,,,natamani kujiona nipo kule juu. Nachanganyikiwa hata sielewi nifanye nini?? Mabinti wenzangu,mliwezaje kupiga hatua ???? Mliwezaje kufanikiwa ???

Natamani kufungua duka la vipodozi, naona pesa haitatosha .....naamua nitafute laini za uwakala nianze na uwakala nipate kuongezea mtaji. Mabinti wenzangu,nataman kuwa Kama nyie. Imagine kesho jumatatu naamka na Sina pakwenda 😢😢😭😭😭 Basi nalala ndani

KUMBUKA najitegemea kwakilakitu,bill,rent,chakula n.k. Naombeni MNIPE nguvu,UJASIRI niweze KUTHUBUTU

Sitaki kujiona nipo hapa nilipo.....

NAUMIA,

Mimi Muoga naogopa kupoteza,

Najiona mpumbavu 😭😭😢

Ungeanza kubadilisha mindset yako
Then usjichukulie powah

Pia usijifananishe na WATU hasa katika material accomplishment Kama biashara, kazi, gari ah nyumba

You need to know that, ur on the right side.

Stop complaining
Stop blaming
Cheri's every single moment

Kuwa na Gratitude in ur lifetime

Gratitude is key.

Penda Sana kuamini katika mafanikio na kuamini katika wewe.

Money always is pity problems but peoples are complicate
 
Í
Vitabu! Ndo vitaingiza hela mkononi? Niliwahi kushauriwa nisome kitabu cha "the richest man in babylon". Hivi ni vitabu tu kukupotezea muda! Practice makes perfect! Anza biashara utajifunza humohumo kuliko kulishwa nadharia za kukupotezea muda!

Pesa sio tatizo na alijawai kuwa tatizo
 
Ungeanza kubadilisha mindset yako
Then usjichukulie powah

Pia usijifananishe na WATU hasa katika material accomplishment Kama biashara, kazi, gari ah nyumba

You need to know that, ur on the right side.

Stop complaining
Stop blaming
Cheri's every single moment

Kuwa na Gratitude in ur lifetime

Gratitude is key.

Penda Sana kuamini katika mafanikio na kuamini katika wewe.

Money always is pity problems but peoples are complicate
 
Ungeanza kubadilisha mindset yako
Then usjichukulie powah

Pia usijifananishe na WATU hasa katika material accomplishment Kama biashara, kazi, gari ah nyumba

You need to know that, ur on the right side.

Stop complaining
Stop blaming
Cheri's every single moment

Kuwa na Gratitude in ur lifetime

Gratitude is key.

Penda Sana kuamini katika mafanikio na kuamini katika wewe.

Money always is pity problems but peoples are complicate
Shukran sana
 
Sijawah kudanga,

Sorry sijawah kudanga
Kesho nakupa home work amka tembea tafuta location kwanza, usilale ndani tembea nje saka location ya biashara
Zungumza na wanaofanya biashara unayoipenda washirikishe chukua mawazo yao chuja unayoona ni Mazuri yafanyie kazi,

Mda wa kukaa ndani umekwisha unaosema wamekuzidi hakuna wakichokuzidi zaidi ya kutokukaa ndani hicho ndicho walichokuzidi toka nje tembea zunguka ongea na watu washirikishe wasikilize jishushe jifanye mjinga kwa siku 1 utakua mjanja kwa siku zaidi ya 1000

Usikae ndani usikae ndani usikae ndani wanaokuzidi hawalali ndani wanaenda kujichanganya nje huko
 
Fursa namba moja kwa mabinti kama umejaaliwa mwonekano mzuri wa umbo au sura au vyote kwa pamoja ni fursa tosha kutoboa kwa kuolewa! Sisi wanaume mbele ya "ke" mrembo tunaoa! Huo ndo mlango mkubwa namba moja wa kutoboa! Njooo pm nipe picha yako then you will never be the same!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom