ujasiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Leo nimetumia choo kichafu sana mjini baada ya kushikwa na tumbo, sijui nimepata wapi ujasiri

    Yaani nikikumbuka nacheka sana, kile choo huwa nasemaga sitawahi nije nikitumie kwa jinsi kilivyo kichafu, na kweli imekuwa hivyo miaka yote. Ila bhana leo sijui imekuwaje, nilishikwa na tumbo la 5G halafu kile choo ndio the nearest, aisee, nimekitumia kwa furaha zoote, tumbo acheni nyie, aaagh!
  2. mngony

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru anatoa wapi ujasiri wa kutishia 'usalama' wa viongozi wa juu? Huu ni uhaini sio ukosoaji. Je, ana mahusiano na mataifa ya nje?

    Kukosoa kutokana na changamoto na matatizo na kuishauri serikali na viongozi sio jambo geni. Ila inastaajabisha kuona mtu kama Bashiru anatishia Usalama wa kiongozi wa nchi. Anaongea kwa kujiamini mbele ya kadamnasi na vyombo vya habari kuwa Usalama wa viongozi hauko na uhakika na watishwe. Ni...
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Polisi inapaswa kuwalinda watu wote bila kujali vyama vyao

    Huyu atakuwa amelewa. Hajui madaraka yakoje na tayari anaanza kuwa na akili za Kibeberu. Anaongea maneno gani haya? Utamaduni huu wa kuiga kwa mabeberu. Ni utamaduni wa hovyo. Anataka alete machafuko Kenya na East Africa? Nadhani ameshachoka kuwa Rais. Au ameshiba wenzake wenye uzoefu na Urais...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Eng Victor: Namshukuru Mungu kwa Ujasiri alionipa wa kujiokoa na kuokoa wengine kwenye Ndege, naelekea Muhimbili kwa matibabu zaidi

    Eng Victor amesema baada ya Ndege ya Precision Air kuanguka alijaribu mara 3 kufungua mlango Bila mafanikio ndipo akaja Muhudumu wa Ndege na kubonyeza mahali mlango ukafunguka Victor anasema muda wote wa Uokoaji alikuwa ameuzuia mlango kwa mkono takribani Dakika 40-60 na baada ya kuhakikisha...
  5. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu Nusrat Hanje, kama uko 'serious' ujasiri mkubwa ni kufanya hivi

    Tufanye ni kweli hukujua chochote mpaka baada ya kuapishwa ndiyo ukajua kumbe umeingizwa chaka, na pia unaomba majadiliano nje ya mahakama, kwa haraka ni kwamba kuna mambo umetofautiana na akina Mdee. Kwa umri wako ili kutengeneza tena heshima yako na imani kwa watu wengi basi jiuzulu huo...
  6. NetMaster

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kituko: Binti asie na bikra ya kumpa thamani kiroho na kimwili anatoa wapi ujasiri wa kumkatalia mwanaume asijaribu mitambo mpaka waoane?

    Unakutana na binti hata kina single mama hana bikra kashatembea na na wanaume kadhaa ila ajabu ni kwamba anaanza kujiona kwamba yupo sawa na wenye bikra, anamwambia mwanaume hawezi kutoa mzigo mpaka amuoe !!
  7. Ibrahimeliza

    JamiiForums Tanzania Biashara ni wazo.

    Biashara bwana, najua kuna watu wanatamani mafanikio ya bakhresa au Mo au GSM au mafanikio ya tajiri yoyote yule, Husitamani mafanikio ya bakhresa, mo, gsm au yoyote aliyefanikiwa. Unajua chakutamani ni nini....?? Binafsi natamani ningekuwa na ujuzi kama MO, natamani ningekuwa na uzoefu katika...
  8. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kwa weledi na ujasiri alionao angekuwepo Tanzania angezitetea familia za ndugu waliouawa na polisi huko Serengeti na haki ingepatikana

    Tuache ushabiki. Lissu yupo vizuri kwenye masuala ya kisheria. Na ni mtetezi mkubwa wa haki za binadamu. Huko Nyamongo alishatetea sana walioporwa ardhi na kunyimwa haki zao na Mabeberu. Alishapambana sana kutetea raia wanaosadikiwa kufukiwa Bulyanhuru kupisha Mabeberu wapore mali zetu...
  9. Rupia Marko D

    JamiiForums Tanzania Tiba na maji ya uzima

    Story ipo hapa https://www.tupohapa.com/markodrupia
  10. Mkemia Fred James

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kujiamini ikiwa una aibu iliyo pitiliza?

    Watu wengi mara nyingi huuliza swali jinsi ya kushinda kutojiamini. Ikiwa unaweza kujiambia moja ya maneno haya: aibu, kutengwa, aibu, kujiamini, na zaidi ya hayo, unafikiria kila wakati juu ya kile watu watafikiria juu yako na mara nyingi una wasiwasi juu ya kuwa karibu na watu, basi utambuzi...
  11. Light Saber Imetosha Sasa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Familia chanzo cha Yote

    UONGOZI huanzia kwenye ngazi ya familia, Ukoo Jamii na hata Taifa KWA ujumla. Jinsi Taifa linavyojiongoza ni matokeo ya UONGOZI bora kwenye ngazi ya familia , kama UONGOZI//makuzi /maelezo ni ya hovyo Taifa hilo ni la hovyo , halieleweki , halithamini, halihuishi ,halijali ,halitilii maanani...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwa ubabe aliomfanyia mchina: Pelosi avalishwa medali ya heshima ya ujasiri na ushujaa!

    Pelosi receives medal of honor Taiwanese leader praised the US House Speaker for her stalwart support of the island. “The speaker’s courage and actions are deeply inspiring and touching,” Tsai said, according to the South China Morning Post, as she presented Pelosi with one of the highest-rank...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mdude Chadema, kama alivyo Tundu Lissu, ni kama kile kizazi kinachotoweka cha wapagani uhuru wa bara hili kutokana na ujasiri walionao

    Mdude CHADEMA, kama alivyo Tundu Lissu, ni miongoni mwa binadamu wachache sana wenye ujasiri na walio tayari kukabiliana na hatari iliyo mbele yao kwa lengo la kupigana kile wanachokimimi ni sahihi kama vile kupigana haki za watu wengine, uhuru wao, n.k hata ikibidi kwa gharama ya maisha yao...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Video:Mapenzi ya hela

    Usithubutu kumpenda mtu kwa sababu ya hela zake...utakufa
  15. L

    JamiiForums Tanzania Huu ni zaidi ya ujasiri

    Kama hauna moyo na mwoga huwezi simama hapa.
  16. S

    JamiiForums Tanzania Jamaa aliyemla lecturer wake amenizidishia ujasiri

    Yule jamaa aliyetuletea stori yake ya kumtafuna lecturer wake kanizidishia ujasiri kwa sasa kila demu naona nammudu hata awe amenizidi kipato namna gani wademu wa hovyo wote napiga chini natafuna watoto wa kishua
  17. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tungekuwa na Marais wengine wenye uthubutu na ujasiri kama Hayati Magufuli tungekuwa wapi kimaendeleo hii miaka 60?

    Hayati JKN siwezi kumlaumu sana maana wakati akitawala enzi hizo nchi nyingi zilikuwa bado hazijajitambua na mkono wa mataifa ya nje ulididimiza mataifa ya kiafrika. Chukulia tu kwa awamu tatu zilizopita kila moja ingethubuti kutekeleza miradi mikakati mikubwa ya maana ya kimaendeleo leo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Nikiulizwa Rais Magufuli ametuachia nini kikubwa, nitasema "Ametuachia ujasiri dhidi ya corona", hofu ya corona hakuna kabisa Tanzania.

    Wakati Hofu kuu ilipokuwa imeikumba dunia kutokana na corona, Magufuli alituongoza watanzania kumtanguliza Mungu kwa maombi na Mungu alituponya na kuiondolea mbali kabisa hofu ya corona. Na mawakala wa corona walipotaka kutupandikizia hofu ya corona baada ya kifo cha Magufuli kwa gia ya mawimbi...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kwa kutokuwepo Ujasiri wa Kujiuzulu, Uongozi ni Fursa

    Tuna nchi ambayo viongozi hawawajibiki kwa wananchi wala hata kwa kauli zao. Tafsiri halisi ya kuwa uongozi kwao ni fursa wala si dhamana. Kama fursa viongozi hawa wamejihakikishia marupurupu ya kufa mtu wawapo ofisini na hata wasipokuwapo: Yapo mengi ya kujiuliza. Mfano: Kwanini waziri...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwa nini viongozi wanawake hawana ujasiri wa kutambulisha wenzi wao kama wafanyavyo wanaume?

    Nimeshuhudia viongozi wanaume huwatambulisha wenzi wao kwa ari na bashasha!! Hupenda kuwasifu na kuwatambulisha mbele za watu. Ila kwa upande wa viongozi wanawake walio wengi huwa hawapendi kutambulisha wenza wao na mara nyingi ni rahisi sana kumfahamu mke wa kiongozi fulani, ila kinyume...
Back
Top Bottom