Ujasiri wa wana-CCM mtaani wadorora pakubwa

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
8,189
11,618
Ule ujasiri wa wanaCCM mtaani kuitetea Serikali na mamlaka zake kwa mbwebwe na majigambo kwasasa unaonekana umepungua na ni dhaifu na wa kiwango cha chini sana. Ni kama vile haupo kabisa.

Hii ni kutokana na upinzani mkali kutoka kwa wannanchi katika mambo kadhaa muhimu mathalani suala la Dipi weldi na mgogoro wa ngorongoro na loliondo.

Lakini report ya CAG yenye marushwa ya kutisha ambayo bado haijaguswa na hakuna hatua zinazopangwa kuchukuliwa mpaka sasa n.k

Uamuzi wa mahakama kuhusu ishu zote izo kumewadhoofisha na kuwanyong'onyeza wana CCM kindakindaki na watetea serikali mtaani mathalani, kwenye vijiwe vya kahawa.

Mahakamani, mfano kule Mbeya imebainisha kua kwenye suala la dipi weldi kuna kasoro zinafaa kurekebishwa, lakini pia mahakamani kule Arusha kuhusu Ngorongoro na loliondo raia wamepewa nguvu ya kisheria kuzifungulia kesi mamlaka zilizotoa amri ya kubanduliwa kwao kuishi huko ikiwa ni pamoja na Rais.

Pia ukimya wa serikali dhidi ya madudu yaliyobainishwa na CAG kwenye report yake.

Ukimya na kigugumizi kilichopo ni ishara ya aidha kuwaogopa, kuwalinda ama kuwakumbatia wahusika.
Hili linawapa tabu sana wanaCCM mtaani jinsi ya kulijibu huku mtaani kwenye kahawa.

Mambo haya yamepunguza kwa kiasi kikubwa ari na nguvu ya wanaCCM kuitetea na kuipamba serikali mtaani.

Ule ujasiri na majigambo hadi ya kuvaa t-shirt la CCM mtaani vimepungua sana.

Na kuna hofu huenda masuala hayo muhimu yakawa ni changamoto sana 2024-2025 yasiporekebishwa hapa katikati.

Kahawa ya leo ya moto sana! Aliskika mwanaCCM akisingizia kahawa ya moto wakati alipobanwa na swali la moto kuhusu dp weldi.
 
2025: 'uchaguzi mkuu haukuwa wa haki, tumeibiwa kura'

'tunahitaji tume iliyo huru na katiba mpya ili kushinda uchaguzi wa 2030'

'maeneo mengi kulikuwa na ubovu wa ukusanyaji wa kura, sisi sio wa kupata wabunge 30'


Alisikika mtoa taarifa wetu Erythrocyte
 
2025: 'uchaguzi mkuu haukuwa wa haki, tumeibiwa kura'

'tunahitaji tume iliyo huru na katiba mpya ili kushinda uchaguzi wa 2030'

'maeneo mengi kulikuwa na ubovu wa ukusanyaji wa kura, sisi sio wa kupata wabunge 30'


Alisikika mtoa taarifa wetu Erythrocyte
makuwadi ya warabu koko mwambieni mama yenu arudishe hela za warabu alizopewa ilu kuwapa bandari vinginevyo zitamtokea kila tundu la mwili wake.
 
Back
Top Bottom