ujanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kuongea kwa kuchanganya lugha kiswahili na Kiingereza, ni usomi au ujanja?

    Eti wakuu kuongea kwa kuchanganya Lugha 2 kwa pamoja, Kiswahili na kiingereza, hiyo huwa inaonesha usomi wa mtu, ujanja au mtu anakuwa hajui lugha zote 2 hivyo anachanganya kupata misamiati ili kukamilisha sentensi zake? Siyo kitu cha ajabu kusikia I garantee you utakuwa salama we nenda tu, au...
  2. Mr Beach Boy

    Huu hapa ujanja wa kupata ajira serikalini kwa wasio na connection

    Kama una bachelor degree na bado huja upload vyeti vyako ajira portal Basi tafuta chuo cha kati weka cheti chako cha NTA level 5 Hakika utaitwa sana interview ila kama utaweka bachelor degree basi utalia na kusaga meno Serikali haina Hela ko inaajili watu wanaolipwa kidogo ahsante
  3. idiomer

    Usimamizi wa mtihani wa taifa walimu walipwe perdiem sio vinginevyo. Tuache ujanja ujanja.

    Kumlipa mtu 50k kwa siku ???? Sio sawa.
  4. adriz

    Kama kuvuta bangi ni "ujanja" na kunaongeza "akili " kwa nini wavuta bangi hawawafundishi watoto bangi na hawapendi kuitwa wavuta bange ?

    Moja kwa moja. Wavuta bange wengi wanadai mtu ukivuta bange unawaza vitu mbali akili inakuwa kubwa hata uwezo wako wa kufikiri na kupanga mipango chanya unaongezeka. Na wengine wanadai hata kwenye madoma darasani bangi inasaidia na wavuta bange wengi wanajiona wao maIntelligent kama Isac...
  5. M

    CRDB wamerejesha pesa yangu. walimu tuwe makini. Kuna uhuni na ujanja unafanyika

    Nimeamka na mawazo sana. Yaana wanakata pesa ambayo haihusianai na mkopo kabisa. Alafu nafika hapo wanajifanya kupigiana simu kana kwamba hawajui huo uhuni Eti labda system. System gani hiyo ya Crdb tu ndio inachukua pesa zisizo husika.
  6. ESCORT 1

    Siku hizi ujanja ni kutafuta Azam Tv ya Burundi au Malawi

    Huku bei ni mserereko kabisa. Malipo ya mwezi ni kitonga kwelikweli.. Endeleeni na bei zenu za alfu 28 kwa mwezi. Endeleeni kukamuliwa..
  7. Dennis Robert Shughuru

    Taasisi za afya za utafiti za Tanzania zinaendeshwa kiudalali, kiujanja-ujanja na kimchongo

    Sitazitaja majina hizi taasisi zetu., nyingi sana nimeshawahi kuzipelekea proposal za project wengi walikuwa wanashangaa proposal nilizokuwa nawapelekea, wengine unaambiwa appointment ndo imetoka hiyo ni full ubabishaji naandika haya nikiwa ni mtu ambaye nina-uzoefu wa kukataliwa na hizi taasisi...
  8. Zanzibar-ASP

    Mahojiano ya Rostam na Tido Mhando ni maigizo kwa 100% (staged interview)

    Nimesikiliza na kutazama kwa makini mahojiano kamili kati ta Rostam Aziz na Tido Mhando ambayo yamerushwa hewani kupitia Azam Tv (UTV) kuanzia mida ya saa tatu usiku mpaka mida ya saa nne na dakika kadhaa usiku huu (tarehe 5/9/2025). Na bila kumumunya maneno, mahojiano yale yalikuwa ni maigizo...
  9. GENTAMYCINE

    Yaani Aboubakar Sadick pamoja na Ujanja wako wote na Tambo zako zote kumbe Gari yako iliyoungua ilikuwa haina hata Fire Extinguisher ili Uiokoe?

    Mtangazaji na mtayarishaji wa vipindi Radio One, Aboubakar Sadik amenusurika kifo baada ya gari yake kuteketea kwa moto majira ya saa sita usiku wakati akitokea kazini kwake Mikocheni Jijini Dar es Salaam. Tukio hilo limetokea usiku huu wa majira ya saa sita Septemba 2, 2025 ambapo katika...
  10. Equation x

    Kufanikiwa si akili bali ni ujanja ujanja tu

    Wengi wanaamini ukiwa na akili nyingi ndio utafanikiwa katika maisha, kitu ambacho si kweli; bali wenye akili nyingi wanawasaidia wengine kufanikiwa huku wao wakiishi kwenye maisha ya kawaida. Wanasaidia watu wa kawaida kutimiza ndoto zao. Ukiwauliza waliofanikiwa wamepitia njia zipi kufika...
  11. Webabu

    Palestina imeshatambuliwa na mataifa 147 zamani na haijasaidia chochote.Huu utambuzi wa nchi za Ulaya na Canada ni ujanja mwengine basi, wa maangamizi

    Tangu wiki hii kuanza na Ufaransa kutoa tamko la kuja kuitambua Palestina mwezi Septemba imekuwa ni habari kubwa bila sababu. Mataifa mengine matatu ambayo ni UK na Canada nayo yametia nia hiyo muda huo ambao kwa mwendo wa vifo vya njaa wapalestina watakuwa wamebaki wachache sana. Habari hizo...
  12. G

    Biashara ya Unyani |Biashara ya Manyani

    Natumia muda wangu mwingi sana ONLINE. Moja Kati ya conversation kubwa ni Washkaji wanasemaga ukitaka kutoboa lazima utatue tatizo, Wengine wanaamini zaidi kuwa unalipwa kulingana na TATIZO unalotatua.. Hii Narrative ni nzuri ila inaua ubunifu na vijana wanashindwa kufikiri “sio tu NJE YA BOX...
  13. CNO

    Tumia pesa kupata pesa

    ujanja ni pesa yako isitoke hivihivi, kama nimekosea mtaniambia
  14. THE BIG SHOW

    Samaki hana ujanja ukimtoa ndani ya maji, hongera serikali kwa kumtupa samaki Gwajima nchi kavu,tuone sasa ngebe zake zitafanyikia wapi?

    Friends and Our Enemies, Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani kwa kuifunga hiyo huduma uchwara ya anaejiita Askofu. Ilikua ni utamaduni wake wa muda mrefu sana KUGEUZA viwanja vya kanisa lake kama sehemu ya kushambulia serikali na watu mbali mbali...
  15. black-tz

    Top 10 Hacking Attacks Zilizotikisa Dunia (Kwa Historia, Impact, na Ujanja)

    Top 10 Hacking Attacks Zilizotikisa Dunia (Kwa Historia, Impact, na Ujanja) --- 1. The Melissa Virus (1999) Iliundwa na David L. Smith Iliambukiza Microsoft Word docs kupitia email Ilienea kwa email zote kwenye contact yako — ndani ya dakika chache Ilivuruga systems za FBI, Microsoft na...
  16. THE FIRST BORN

    Simba hadi wanafika hii Fainali ni kwa Janja Janja tu na saiv wanataka kufanya Ujanja Ujanja ili wabebe Kombe

    Why nasema hivo kama mtu una akili Timamu utanielewa ila kama akili kisoda hutaelewa ipo hivi Uwanja wa Mkapa ulifungiwa kabla ya Robo fainali ya pili Vs Al Masry na CAF wenyewe.. Simba wakacheza First leg Vs Al Masry wakala chuma 2 kavu wakaangalia wakaona marudiano itakua wapi options...
  17. Yoda

    Ni ujanja au ujinga kukaa na mtu mnapiga naye story kwa masaa au siku kadhaa bila kujua jina lake?

    Nilichokiona kwa wazungu au watu nje ya bara la Africa wengi awe mwanaume au mwanamke mara nyingi mkikutana tu popote ikatokea mkaanza kupiga story na ikaonekana mtaendelea kuongea muda mrefu basi atajitambulisha mara moja mwanzo tu wa mazungumzo yenu na ndipo mtaendelea na story, kwa Wabongo...
  18. excel

    Bila kuweka siasa na Ujanja Ujanja, Hakuna Mkristo wa Kujibu hili Swali

    Iko wazi kabisa hakuna Jibu la kueleweka.. Hapa tutapuyanga sana kutafuta wakwe Halisi wa Adam na Eva ni kina nani 👇👇👇👇👇
  19. Webabu

    Serikali ya Lebano yasema imeshaujua ujanja wa Marekani na Israel.Hawataki kuletewa fujo nchini mwao.

    Raisi wa Lebanon na waziri wake mkuu wote wamekuwa wakali dhidi ya nja za Marekani na Israel kuwalazimisha kufanya mambo ambayo hayana maslahi na taifa. Kwanza ni kuhadaiwa kurejesha uhusiano na Israel na pili ni kuwanyang'anya silaha kundi la wapiganaji wa Hizbullah. Viongozi hao wamelalamika...
  20. third eye chakra

    huu ni 1=uchawi 2=ujanja ujanja au 3=mazingaombwe.

    kalibu tena katika muendelezo wa darsa zangu fikirishi na zenye kuamsha fikra chanya kwa wenye kutafakari. leo nintatoa au kufundisha kitu ambacho kitafanyika majalibio kwa watu 22 wa humu humu jf kisha wao wataleta mrejesho humu humu. 1= kitakacho fanyika. watu 22 nintawapa maelekezo...
Back
Top Bottom