Kufanikiwa si akili bali ni ujanja ujanja tu

Kufanikiwa si akili bali ni ujanja ujanja tu

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,372
Reaction score
64,584
Wengi wanaamini ukiwa na akili nyingi ndio utafanikiwa katika maisha, kitu ambacho si kweli; bali wenye akili nyingi wanawasaidia wengine kufanikiwa huku wao wakiishi kwenye maisha ya kawaida.

Wanasaidia watu wa kawaida kutimiza ndoto zao.

Ukiwauliza waliofanikiwa wamepitia njia zipi kufika pale? Watakujibu, nilianza hivi mara vile ndio nikafikia hapa nilipo. Ukitafakari kwa kina, unagundua ni uongo mtupu, zaidi ya janja janja tu.

Hii imepelekea ata wenye akili kutafuta janja janja ili waweze kufanikiwa.

Nami nipo hapa kutafuta hiyo janja janja ili nifanikiwe; mambo ya kufundisha wanafunzi miaka 30 nikiwa na IST huku wao wakifanikiwa na kunizidi sitaki.​
 
Nami nipo hapa kutafuta hiyo janja janja ili nifanikiwe; mambo ya kufundisha wanafunzi miaka 30 nikiwa na IST huku wao wakifanikiwa na kunizidi sitaki.
Kufanikiwa ni very secret issue haambiwi kila mtu hata wewe mwenyewe haujiambii umefanikiwa vipi maana kufanya hivyo ni sehemu ya kujisaliti wewe mwenyewe kwa hio wengi unaishia kuona wanapiga soga za uongo uongo tu kafukua hapa kafukia pale basi ndio hivi nikafanikiwa ukimpiga maswali magumu ukampigia calculations ukamleta kwenye uhalisia unagundua huyu hamna kitu ndio wale wale wajanja wa mjini wizi upo kwenye damu bonge la suti gari kali ila mwizi
 
Nisaidieni mbinu za kufanikiwa
Mdogo wangu Iko hivi
Hakuna mtu wakuja kukusaidia kufanikiwa
Wewe pambana tu unavyoweza destiny helpers watakukuta njiani na kwa uzoefu wangu sio mtu mmoja ila Kila mtu atakusaidia kwa upande wake
 
Back
Top Bottom