uingereza

  1. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Akutana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Tony Blair

    Mazungumzo ya Viongozi hao yamefanyika leo September 29,2021 Ikulu ya Chamwino Dodoma
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Waliochanjwa kuruhusiwa kuingia Marekani kuanzia Novemba

    Taifa hilo linalegeza kanuni za kusafiri na kufungua Mipaka yake kwa Wasafiri kutoka Uingereza, Umoja wa Ulaya (EU) na Mataifa mengine Kuanzia Novemba Wasafiri ambao wamepata Chanjo dhidi ya Virusi vya Corona kikamilifu wataruhusiwa. Vizuizi vya kusafiri Nchini Marekani vimekuwepo tangu mapema...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nyomi ya maandamano kupinga chanjo nçhini Uingereza: Kwa wale mbumbumbu wanaodhani upinzani wa chanjo ya corona upo TZ tu!!

    Kuna watu wa ajabu sana ambao hudhani kuwa watu wanaopinga chanjo ni watu wa hapa Tz tu "walioharibiwa" na uongozi wa awamu ya 5! Watu wakipinga chanjo lawama anatupiwa marehemu, eti aliharibu sana watu!! Inabidi watu waelewe kuwa upinzani wa chanjo ya orona upo duniani kote!! Ona nyomi hii ya...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha Uingereza ametangaza kushusha umri wa kustaafu kufikia miaka 63 kutoka 72

    Badiliko hili limelenga kuwasaidia babu na bibi kupata nafasi ya kulea wajukuu na kuwezesha idadi ya watu kuongezeka. Wengi wanaofanya kazi wanapata changamoto za gharama kubwa ya malezi ya watoto, jambo kinalopelekea wengi kuamua kutozaa. Kwa badiliko hili jipya, ukifikisha miaka 63 unaweza...
  5. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke mzawa wa Kenya atunukiwa tuzo la urembo Uingereza

    Alikwenda ukubwani kupata elimu ya juu, sasa kuiwakilisha Uingereza kwenye shindano la urembo duniani kote.... A Kenyan-born model has been crowned Miss England and will now represent the European country in the 70th Miss World that will be held in Puerto Rico. Rehema Muthamia, 25, received...
  6. BAK

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe dhidi ya IGP, DPP na Mwanasheria Mkuu wa Serikali yaanza kusikilizwa

    Leo Jumatatu tarehe 30 Agosti, 2021 Kesi ya Kikatiba ya Mhe. Freeman Mbowe dhidi ya IGP, DPP na Mwanasheria Mkuu wa Serikali imeanza kusikilizwa Mahakama Kuu. Walikuwepo wawakilishi wa Balozi za Marekani, Uingereza na Sweden Mahakamani. Kesho Jumanne 31 Agosti, 2021 Kesi ya Ugaidi. Naibu...
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa madereva wa Malori unatishia uchumi wa Uingereza

    Source BBC14, July 2021 Uingereza inakabiliwa na uhaba wa madereva wa malori, upungufu uliopo ambao unahitaji kuzibwa haraka ni maderava 100,000. Athari zilizotokea mpaka sasa ni Nandos kufunga baadhi ya migahawa yake wa kukosa malighafi. Mc Donald kuacha kuuza milk shake kwa kukosa supply...
  8. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Miezi mitano bila Dkt. Magufuli: Chanjo ya Marekani na Uingereza inavyoathiri soko la Tanzania

    MIEZI MITANO BILA JPM:CHANJO YA MAREKANI NA UINGEREZA INAVYOATHIRI SOKO LA TANZANIA. Leo 14:30hrs 28/08/2021 Tanzania inategemewa na nchi zote majirani kwa bidhaa mpya ambazo kwa asilimia 75% zinatoka China,hivi sasa nchi hizo majirani zinaelekea Afrika ya Kusini kufuata bidhaa mpya ili...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Afghanistan: Marekani na Uingereza zatoa tahadhari ya shambulio la kigaidi uwanja wa ndege Kabul

    Mataifa kadhaa yasema kuna tishio kubwa la shambulio la kigaidi katika uwanja wa ndege wa Kabul na kuonya raia wao kuepuka eneo hilo. Australia, Marekanj na Uingereza zimetoa tahadhari zikiwataka Raia ambao tayari wapo nje ya Uwanja huo wa Ndege kuondoka. Zaidi ya watu 82,000 tayari...
  10. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Taliban yatoa onyo kali kwa Marekani, Uingereza kutoendelea kukaa Afghanistan baada ya Agosti 31

    Wanagambo wa Taliban wametishia kuyachukulia hatua mataifa ya Marekani na Uingereza ikiwa watashindwa kuondoa wanajeshi wao kufikia Agosti 31 mwaka huu. Kauli ya Taliban inakuja siku moja baada ya Rais Joe Biden kusema kuwa kuna uwezekano wa kuongeza muda wa wanajeshi wao kuendelea kukaa nchini...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Malkia Elizabeth II wa Uingereza ana train yake.

    Malkia ana train yake, inakuwa na mabehewa mpaka tisa kutokana na umuhimu wa safari yake na idadi ya wasafiri. Train hii humuwezeshs yeye pamoja na familia yake hata wageni wake kusafiri kwa amani bila usumbufu. Hili ni behewa la chakula, wanawekewa chakula wakiwa safarini yeye na wageni wake.
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uingereza: Mchungaji Mwenye Asili ya Kenya Kortini kwa Kuuza Mafuta analiyodai yanatibu Covid-19

    Askofu Climate Wiseman mwenye asili ya Kenya amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kuuza mafuta anayodai yanatibu COVID19 Askofu huyo anayeishi Uingereza anakabiliwa na Mashtaka ya udanganyifu na kufanya Biashara isiyo na usawa (fairness) Hakimu wa Mahakama ya Lavender Hill ameshindwa kutoa...
  13. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Ninaipongeza serikali ya Uingereza kwa kuwavumilia Watanganyika

    Tanganyika ilikuwa koloni la Uingereza chini ya Mfalme baadae Malikia, wakati tukiwa chini ya Mkoloni tulianza harakati za kudai uhuru, uhuru ni zaidi ya katiba lakini mkoloni alituvumilia na hakuwahi kumzuia Nyerere kwenda UNO kudai uhuru na kama kulitokea purukushani basi zilikuwa za kiwango...
  14. idoyo

    JamiiForums Tanzania Jinsi China "ilivyoangukia pua" mbele ya Marekani huko Ethiopia

    .
  15. Polycarp Mdemu

    JamiiForums Tanzania Gertrude Ederle: Mwanamke wa kwanza Kuvuka mlango bahari kati ya Uingereza na Ufaransa (The English Channel) kwa kuogelea Kilomita 56.327 kwa masaa 14

    Tarehe 6 August 1926 mdada huyu alikuwa mwanamke wa kwanza Kuvuka mlango bahari kati ya Uingereza na Ufaransa (The English Channel) kwa kuogelea Kilomita 56.327 kwa masaa 14½ tu. Aliporudi kwao baada ya kuvunja rekodi hiyo alipokelewa na Parade maarufu ya Canyon of Heroes kwa umati wa watu...
  16. beth

    JamiiForums Tanzania UK: Serikali kutumia kumbi za starehe kuhamasisha vijana kujitokeza kupata chanjo

    Kama jitihada mojawapo ya Serikali kuongeza kasi ya utoaji Chanjo, Vijana wameambiwa wasikubali kupitwa na wakati mzuri ikiwemo uhuru wa kwenda klabu na kusafiri kwa kujitokeza na kupata dozi zote za Chanjo dhidi ya COVID-19. Hatua hiyo inakuja wakati ambapo kuna harakati za klabu kuhamasisha...
  17. Mzalendo_Mwandamizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Balozi za Marekani, Uingereza, EU na Canada hazijatoa tamko lolote kuhusu kukamatwa Mbowe?

    Kwa wanaofuatilia masuala ya diplomasia, wanatambua kuwa mara nyingi balozi za Marekani, Uingereza, Canada na Umoja wa Ulaya nchini Tanzania huwa mstari wa mbele kutoa matamko pindi viongozi wa upinzani wanapokamatwa. Kumbukumbu ya karibuni ni balozi hizo zilipoijia juu serikali ya Magufuli...
  18. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uingereza wataka Uhuru Kenyatta apimwe Corona kabla ya kuingia

    Ndugu zangu, Hii ndio hali halisi mtaka cha uvunguni sharti ainame.Hadi sasa haieleweki ni kipimo cha puani au sehemu ya haja kubwa. ======= Nairobi. Britain will demand a top mark Covid-19 test from President Uhuru Kenyatta and his team ahead of entering London today after being exempted...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Matumizi ya pombe yaongezeka mbali na baa kufungwa

    Takwimu zimeonesha kuongezeka kwa matumizi ya pombe kwa 24.4% kwa mwaka 2020/21 ukilinganisha na 2019/20, mbali na kuwa na lockdown ambapo baa zilifungwa kwa wiki 31 Aidha vifo vinavyotokana na ini kuharibiwa na pombe vimeongezeka kwa 21% kwa kipindi ambacho #COVID19 imekuwepo, hali...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Uingereza yaondoa vikwazo vyote vya COVID-19

    Serikali ya Uingereza imetangaza kuanzia leo kuondoa masharti yote ya kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya virusi vya corona. Hata hivyo, hatua hiyo imepingwa na wanasayansi na vyama vya upinzani wakisema kuwa itaiweka nchi hatarini. Kuanzia saa sita ya usiku vilabu vya starehe vyote viliruhusiwa...
Back
Top Bottom