Uingereza iwe makini na wauguzi wa Kikenya baada ya tukio hili

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
6,325
6,871
Baada ya utata kuibuka last week kuhusu utaratibu wa kuwapa ajira wauguzi wa afya toka Kenya ,

wiki hili limetokea tukio ambalo pengine lita ibua maswali kwa serikali ya Uingerezaa kuhusu ubora na uweledi wa manesi toka kenya

Ina daiwa kijana mmoja Mkenya anaidai fidia hospitali fulan baada ya kufanyiwa upasuaji na kushonwa kama furushi na anaedaiwa kuwa alikuwa ni mupenzi wake ambae ni mtaalam wanafya katika hospitali hiyo



Kwa kitendo hiki ambacho sio cha kiuweledi ni dhahiri Uingereza itatilia mashaka ubora wa wataalam.hao wa afya kutoka Kenya
 
Back
Top Bottom