Ndugu zangu
kwanza niwape pole waathirika wote na wafiwa wa ugonjwa wa corona ndo mapito tuwe na imani corona itaondoka, ila itaondoka pale tu sisi binadamu tutakapokuwa wanyenyekevu mbele ya Mungu.
Hii corona ni pigo kutoka kwa Mungu kwa sababu sisi wanadamu ni washenzi tumezidi maasi na...
Waziri Mkuu wa Uingereza ametangaza kuwa uvaaji wa barakoa na sheria nyingine za kujikinga dhidi ya COVID-19 zitatupiliwa mbali baada ya nchi hiyo kuwa na maambukizi madogo ya corona baada ya kupata chanjo ya nyongeza.
Kuanzia Januari 26 hakutakuwa na ulazima wa kuvaa barakoa shuleni na maeneo...
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson ameomba radhi kwa kushiriki katika sherehe ya kunywa pombe iliyofanyika katika bustani ya ofisi yake wakati nchi hiyo ilipokuwa chini ya vizuizi vikali vya watu kujumuika.
Hata hivyo, kiongozi huyo amepuuza miito ya upinzani ya kumtaka ajiuzulu...
Wakati joto la uchaguzi wa Kenya likipanda Aliyekuwa Waziri wa Utali wa Tanzania Nyarandu ameonekana akiwa na Bilionea wa Uingereza pamoja na msaidizi wa Ruto kwa jina Sudi wakizuiwa kwenye uwanja wa ndege Nairobi. Inasemekana Nyarandu na Bilionea huyo walitokea Tanzania kwa ndege ya kukodi na...
Hivi karibuni Marekani imeongoza “mkutano wa kimataifa wa demokrasia”, na kwenye mkutano huo nchi za Magharibi zimedai kutetea mambo ya demokrasia na haki za binadamu duniani. Kinachoshangaza ni kwamba wakati wa mkutano huo, Mahakama Kuu ya Uingereza imetoa uamuzi kwamba mwanzilishi wa kampuni...
Wajuzi wa mambo naombeni mnisaidie maana leo nilipokuwa natizama mechi mbalimbali za ligi ya uingereza nimeshangazwa sana na vitambaa vya unahodha vikiwa na rangi hiyo.
Hapa tuseme hawa watu wanaoshughulika na mapenzi ya jinsia moja ndio wamehalalishwa tayari ama limekaaje hili suala.
Tazama...
Baada ya utata kuibuka last week kuhusu utaratibu wa kuwapa ajira wauguzi wa afya toka Kenya ,
wiki hili limetokea tukio ambalo pengine lita ibua maswali kwa serikali ya Uingerezaa kuhusu ubora na uweledi wa manesi toka kenya
Ina daiwa kijana mmoja Mkenya anaidai fidia hospitali fulan baada...
JINSI MOTO NA MAJI VILIVYOAMUA HATMA YA WATUHUMIWA NCHINI UINGEREZA KATIKA KARNE YA 17
Jinsi wakati unavyozidi kusonga ndivyo mambo mengi yanavyobadilika , maendeleo ya sayansi na teknolojia hali tuliyonayo kwa sasa si kama ilivyokuwa hapo zamani.
Sekta nyingi zinabadilika na kuboresha huduma...
Rais wa wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson katika masuala ya Biashara kati ya Uingereza na Tanzania, Lord John Walney
Rais Samia amesema Serikali ya Uingereza na Tanzania zimekuwa na ushirikiano wa kibiashara kwa...
Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania, David Concar amesema kuanzia Novemba 01, 2021 Uingereza itatambua Vyeti vya Chanjo dhidi ya COVID-19 vilivyotolewa na Serikali ya Tanzania
Hatua hiyo itaruhusu waliopata Chanjo hapa Nchini kusafiri Uingereza bila kukaa Karantini au kulazimika kujitenga...
Watumishi wa afya 290 kati ya 300 nchini Kenya wamefeli mtihani wa Kiingereza ambao ungewawezesha kupata kazi katika shirika la afya la Uingereza (NHS).
Julai 2021 Kenya iliingia makubaliano na Uingereza ambayo yatatoa fursa za ajira kwa wauguzi (wa Kenya) ambao hawana ajira.
Uingereza imerekodi takribani maambukizi mapya laki 5 kwa wiki mbili zilizopita, na vifo 223 vimerekodiwa Oktoba, 19 idadi kubwa kurekodiwa tangu mwezi Machi
Uingereza imeongoza kwa maambukizi ukilinganisha na nchi nyingine za Ulaya ambazo zimelazimisha kuwa na Passport za Chanjo (Vaccine...
Akihutubia wananchi mkoani Kilimanjaro mheshimiwa Rais amesema mara baada ya sisi kuanzisha tozo ya kwenye mitandao ya simu ambayo ilipigiwa kelele na wananchi wengi, na Serikali ya Uingereza nayo imeanzisha tozo kama hii.
Kumbe mama anafanya vitu Hadi mataifa yaliyoendelea yanavikubali hadi...
Inakuwaje Wanajamvi!
Imethibitika mwanaume MSOMALI mwenye miaka 25 ndo alimuua Tory MP Sir David Ammes kwa kuchoma kisu mara nyingi kifuani huku mashuhuda wakipigwa mayowe ya hatarii.
Hii imepelekea jeshi la polisi Uingereza kupitia upya ulinzi wa wabunge na wanasiasa.
Wasomali ambao idadi...
Tukio la kuchomwa visu na kufa kwa mbunge mmoja wa Uingereza Sr David Amess kimefichua ubaguzi wa wazi wa kimfumo wa wazungu. Pamoja na muuaji kukamatwa, bado wanasema kitendo hiki si cha kigaidi. Kama muuaji angekuwa siyo mzungu polisi wangemmaliza kwa risasi. Wala wasingeendelea kushikilia...
Uingereza imesema magaidi wanaweza kushambulia Uganda ambapo wametahadharisha raia wao kuepuka maeneo ya halaiki ikiwemo mikusanyiko ya kidini na michezo
Japo Uingereza haijataja kundi litakalohusika na shambulio hilo, lakini mamalaka za Uganda wameanza kuwalaumu waasi wa ADF kuwa ni wahusika...
Nchini Uingereza imeweza kuwa kamata wahalifu wanaojiusisha na wizi wa magari hasa yale magari yanayo tumia funguo za rimoti.
vijana walio kamatwa ni Armer, 29, Bowes, 33, and Poulson, 31, baada ya kukutwa na gari aina ya Mitsubishi Outlander ambayo ilishakwisha tolewa ripoti ya kuibiwa usiku...
Winston Churchill graduated Sandhurst Military College, an impressive twentieth out of a class of 130, in December 1894.
Churchill received his commission from Queen Victoria with an effective date of February 20th, 1895, in the Queen's 4th Hussars Calvary.
Lieutenant Churchill, aged...
Tanzania ni miongoni mwa mataifa yaliyoondolewa katika orodha ya Mataifa hatari kwa maambukizi ya Corona. Serikali imesema orodha hiyo imepungua kutoka Nchi 54 hadi 7
Waziri wa Usafirishaji, Grant Shapps amesema mabadiliko hayo yataanza Jumatatu (Oktoba 11, 2021)
Hatua hiyo inamaanisha...
Taarifa zenye ukubwa wa TeraByte 2.9 zimevuja zikiwa na taarifa kuhusu utajiri wa watu mashughuri duniani wakiwemo marais waliostaafu na walioko madadrakani
Kwa nchi za Afrika taarifa za Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta zimeonekana katika taarifa hizo ambazo zinaonesha Kenyatta na nduguze wana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.