uhusiano

  1. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Dalili zipi uliziona ukajua uhusiano wenu umefikia mwishoni?

    Ilikuwaje, je alibadilika tabia, alipunguza mawasiliano, uligundua uaminifu hakuna au jambo gani lilitokea ukajua wewe na yeye hamna future na mtaachana. "Nalivua pendo by Mwasiti" ikawaburudishe https://youtu.be/izcxbUPTrUQ?si=hIdmOxxm9T1OTO0B
  2. CHASHA FARMING

    JamiiForums Tanzania Seedless Orange haina uhusiano na GMO, ni historia inakataa kabisa

    Watanzani wengi kwanza tukubali hatuna elimu ya GMO zaidi ya story za vijiwe vya kahawa na Tangawizi huko ndio tunalishana matango poli, Pia kwa uelewa wetu mfinyu tunazania GMO ni mazao yasio kuwa na mbegu, hizi ni akili za kijinga sana. SEEDLESS ORANGES Seedless Oranges ambayo ni navel...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya kula pesa ya serikali na kunenepa ovyo

    Samaleykum, Hawa jamaa zetu hasa wa umri wa kuanzia 26 mpaka 35, hiyo miili mikubwa na mavitambi yasiyoeleweka mnavipata vipi haraka haraka, na ni juzi tu mmetoka shule mkiwa wembamba kama rula, yaani mtu mnafanya kazi sawa, dili za hapa na pale mnapiga wote fresh, lakin mwenzako anafutuka tu...
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa Yanga na TANU Katika Kupigania Uhuru wa Tanganyika Sehemu ya Kwanza

    https://youtu.be/7-aawj-gB-8?si=MdmVCSuiHMShsedm
  5. Ndebile

    JamiiForums Tanzania Kuna Uhusiano wa Wizi wa Raslimali za Nchi Yetu na Wanasiasa wa Chama cha Democratic cha Marekani?

    Nakili sina ujuzi wa mada za uchunguzi ila kwa kutumia tu "common sense" ambayo kila mtu anazaliwa nayo na kwa msaada wenu "great thinker" hebu tuunganishe dots hapa(huu ni Uzi shirikishi) ili kuwabaini Wanasiasa hapa nchini ambao wapo karibu sana na wana urafiki na wenzako wa chama cha...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Sinza Palestina ina uhusiano gani na Palestina?

    Wajuzi wa Historia ya mji wa Dar es Salaam, Hospitali ya iliyoko Dar es Salaam inayoitwa Sinza Palestina ina uhusiano wowote na Palestina? Ilikuaje ikapewa hilo jina la Palestina?
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania CCM na PP kuimarisha uhusiano wa Tanzania na Ethiopia - Balozi Dkt. Nchimbi

    KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema urafiki kati ya CCM na Prosperity Party, chama tawala cha Ethiopia, ni hatua muhimu katika kuboresha na kuimarisha uhusiano wa nchi hizo mbili, pamoja na watu wake. Balozi Nchimbi amesema kuwa ushirikiano mzuri...
  8. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Wajue M23, historia na uhusiano wao na Rwanda

    M23 ni kikundi cha waasi wa Kikongo kinachotegemezwa na Rwanda na kinachofanya kazi katika Mashariki mwa Kongo. M23 inasimama kwa "Movement of 23rd of March" (Harakati ya 23 Machi), jina lililotokana na makubaliano ya amani waliyofanya na serikali ya Kongo mwaka wa 2009. M23 ilitokana na CNDP...
  9. Richard

    JamiiForums Tanzania Congo DRC yavunja uhusiano na Rwanda kufuatia mzunguko wa Goma unofanywa na waasi wa M23

    Leo hii serikali ya Congo DRC imetangaza kuvunja mahusiano na Rwanda huku wanajeshi wapatao 13 wa kutoka vikosi vya kulinda amani na wanajeshi wengine wa kigeni kuuawa. Wizara ya mambo ya nje ya Congo DRC imetangaza leo kuwa inawaondoa watumishi wote walioko katika ofisi ya ubalozi wa Congo DRC...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Shule hizi kwa Dar zina hali mbaya sana, kama una mtoto au ndugu anza mipango ya kumuhamisha, heri aende mkoani

    '
  11. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Uhusiano baina ya Tanzania-Czech kung’ara

    Uhusiano baina ya Tanzania-Czech kung’ara Uhusiano wa kiuchumi baina ya mataifa umeelezwa kuwa ndio uhusiano imara na bora zaidi ukilinganisha na nyanja nyingine za uhusiano duniani kwa sasa. Hayo yamesemwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit...
  12. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Fahamu matokeo ya meditation

    Changamoto kubwa ya wengi si kushindwa kufanya meditation, bali ni kitopata matokeo ya nia zao za kumeditate. Mabingwa wa meditation kila wakati wanasisitiza faida zitokanazo na meditation, lakini sijaona hata mmoja akitaja hasara na kutoa suruhu kwa wanaofanya hivyo bila kuona mabadiliko...
  13. amarina

    JamiiForums Tanzania Nilikuwaga na uhusiano na Mmwera akajidai yeye ni M-yao

    Wakuu haya makabila ya wamakonde na wamwera yana kasoro yoyote? Ilikuwa hivi huyu Dada nimuite Hawa, ni junior kazini...ni binti wa kati ya miaka 32 na 36 na anawatoto watatu. Mumewe anamatatizo ya diabetes so far huduma ya ndoa hapati. Kwa sababu maelezo yake anadai uume ukipata moto katika...
  14. Bulelaa

    JamiiForums Tanzania Hakuna uhusiano wowote wa Sadaka za Mbowe kwa Mh.Lissu na Lissu kuitaka nafasi ya Uenyekiti Taifa, vinginevyo Mbowe awe mkweli tu!

    Huyu jamaa bado hajasema, mpaka aseme Kwani kuna uhusiano gani kati ya sadaka alizozitoa kumpa Lissu linapokuja suala la Lissu kugombea nafasi ya Uenyekiti mpaka akumbushie sadaka alizompa Lissu? Kumpa nyumba ya kukaa pale Dodoma inaleta uhusiano wowote kwenye kugombea nafasi aliyonayo mbowe...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la kutokulipwa pesa zangu pindi ninapo wakopesha ndugu jamaa na marafiki wa karibu. Imepelekea kuvunja uhusiano wa karibu na hao wakopaji

    Heri ya mwaka mpya ndugu zangu wa JamiiForums. Hii ni post yangu ya kwanza ya mwaka huu wa uchaguzi 2025. Natumai uchaguzi utakuwa na mambo mengi sana tutaona sura mpya nyingi za wabunge pale mjengoni. Kwenye mada sasa. Ebhana nimekaa chini na kutafakari nikagundua nimedhulumiwa vihela vyangu...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Uhusiano thabiti kati ya Tanzania na China wafungua milango ya ushirikiano wa kina

    Mwaka 2024 ni mwaka ambao umeshuhudia mafanikio makubwa kwenye ushirikiano na maendeleo baina ya China na Afrika, hasa China na Tanzania. Mafanikio haya yanatokana na mambo ya msingi yaliyowekwa na viongozi waasisi na kuendelezwa na viongozi wa sasa pamoja na sera nzuri ya mambo ya nje ya China...
  17. Tman900

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa Kimapenzi au Ndoa.

    2024 Wanawake kama Wajasiria mwili tu, wao wanalenga Faida watakazo zipata mara Baada ya mwanaume kumtongoza.
  18. Minderthinker

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uhusiano wa mapenzi na moyo?

    Kuna mdau mmoja hapa ameniuliza swali, nami nikaona niwashilikishe wana JF. "Je mapenzi/upendo yanaifadhiwa moyoni au ubongoni/akilini" Upi mtazamo wako?
  19. Daby

    JamiiForums Tanzania Swali: Je, Kuna uhusiano wa maendeleo na Dini?

    1. Wamarekani asilimia 63 ni wakristo. 2. China asilimia kubwa ni Buddhists na Taoism. 3. Japan asilimia 70 ni Shintoism. 4. Israel asilimia 70 na raidi ni Jewish. 5. Saudia asilimia 90 na zaidi ni waislamu. 6. India zaidi ya asilimia 70 ni wahindu. Qatar ni nchi ya kiislamu Ina maendeleo...
  20. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo awapa siri 3 za mafanikio wahitimu wa Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim

    Waziri Kombo awapa siri 3 za mafanikio wahitimu wa Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewatunuku vyeti wahitimu 893 wa ngazi mbalimbali za masomo katika Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha...
Back
Top Bottom