uhusiano

  1. ndege JOHN

    GE2025 Hali ni mbaya sana maofisini, na jibu linalotolewa 'huu ni mwaka wa uchaguzi'. Je, kuna uhusiano gani kati ya kukosekana kwa fedha na uchaguzi?

    Aisee hali ni ngumu sana wakuu mpaka OC za kuendeshwa ofisi zinakosekana hakuna hela hata kidogo ukiuliza sababu unaambiwa huu mwaka wa uchaguzi. Kivipi wakati bajeti ya uchaguzi tufanye trillion moja hela ya CCM kuendesha kampeni kuanzia usafiri, nguo, bendera, mabango tufanye hata billion 500...
  2. Isenye

    Hivi kuna uhusiano gani kati ya kusisimka kwa mwili wa mwanamke?

    Shikamooni wakuu! Nilikua natafakari hapa,kwa nin mwanamke akinyonywa matiti na mwanaume au hata akiguswa tu lazima mwili wake usisimke. Je kuna uhusiano gani kati ya hivyo vitu?
  3. Damaso

    Picha za Ikulu, Mitandao, na Maadili: Ni nani aliyevunja kanuni?

    Kusambaa kwa picha za Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wa kiume Ikulu kumezua gumzo kubwa mitandaoni, likizua maswali mazito kuhusu heshima ya Ofisi ya Rais na maadili ya jamii. Hoja ya msingi si tu uwepo wa mgeni huyo, bali zaidi namna alivyovaa na mkao wake, ambao baadhi ya wananchi...
  4. J

    Uvamizi JF una uhusiano na Press ya Rostam Aziz?

    Jana majira ya mchana ziliibuka habari za kuvamiwa kwa Ofisi za JF Mikocheni. Inasemekana wavamizi walikuwa wanamtafuta Ndg Melo. Usiku wa Jana hiyo hiyo Mfanyabiashara mashuhuri Rostam Aziz alionekana akitolea maelezo baadhi ya mambo anayotajwa kuhusika nayo kwenye biashara zake na pia kundi...
  5. FYATU

    Hivi kuna uhusiano kwa haya maneno MSALA na MSALANI?

    Nimekuwa nasikia na hata wakati mwingine kuyatumia maneno haya ila sasa napata shahuku ya kufahamu kama kuna uhusiano kwa maneno haya. Mtu atasema "umeniachia msala" akimaanisha umemuachia sintofahamu/matatizo. Pia utamsikia mwingine anasema "naenda msalani" akimaanisha anaenda maliwato. Pia...
  6. Ritz

    Uturuki kukata kabisa uhusiano wa kiuchumi na kufunga anga yake na Israel, waziri wa mrengo wa kulia wa Israel Itamar Ben-Gvir achanganyikiwa

    Wanaukumbi. Kufuatia uamuzi wa Uturuki wa kukata kabisa uhusiano wa kiuchumi na kufunga anga yake na Israel, waziri wa siasa kali za mrengo wa kulia wa Israel Itamar Ben-Gvir alichapisha kwenye X akilinganisha Uturuki na Hamas. Ben-Gvir anatafutwa na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kwa...
  7. M

    Hii tabia ya akina mama wazee kuwa na uhusiano wa mapenzi na vijana wadogo imekithiri hadi mikoani

    Zamani nilikuwa nasikia kuwa Dar ni jambo la kawaida Lakini sasa hadi mikoa ya kanda ya ziwa ambayo ilisadikika kuwa vijana wanamaadili Kuna nini? Kwa nini wanapenda wanawake wazee?
  8. F

    Kuhusu kampeni ya nishati safi kwa wote na anayosema Polepole kuhusu vitmbulisho vya NIDA

    Ni jambo jema kutumia nishati isiyochafua mazingira na kuumiza watumiaji. Tatizo la wanasiasa wetu kila wanachokipigia debe nyuma yake wanasukumwa na faida binafsi. Watu wanahoji yafuatayo: 1. Kwanini nishati safi suala la matumizi ya gesi linasisitizwa zaidi huku umeme ukiachwa? 2. Kwanini...
  9. Equation x

    Wadada, legezeni macho ili kuimarisha uhusiano

    Wadada, jifunzeni kulegeza macho ili kuboresha mahusiano yenu. Hapa nawaza, nitapata hela wapi nimpate mrembo mmoja wa huko Canada, baada ya kunilegezea macho. Haloo, nitajenga mwakani, kwa sasa nyumba si kipaumbele, ni kula vitu vizuri kwanza. Kazi kwenu.
  10. Jackpiano

    Uhusiano msaada wa kifedha kutoka kwa sponsa unakubaliana na hili tujadili

    Uhusiano na Msaada wa Kifedha Kutoka kwa “Sponsa” — Ushauri Wenu Body ya thread: Siku moja kijana akiwa na simu ya mpenzi wake, akaona meseji zinazomuonyesha msichana akichat na mwanaume mwingine. Baada ya kumuuliza, msichana alikiri kuwa huyo mwanaume ni “sponsa” anayemlipia ada ya chuo na...
  11. M

    Kama mwanamke wako anamwita mchungaji wa kilokole "Daddy" kaa nae mbali, huwezi kumshauri wala kueleweka, ameshaamua nani anamwongoza

    Siku hizi imekuwa kawaida kabisa kuona wanawake wa kilokole wakipost picha za wachungaji wao kwenye status huku wakisema “DADDY” – yaani “Baba yangu.” Hawa wachungaji ni wale wa kilokole wanaosifika kwa miujiza ya kustaajabisha kama kuuza mafuta ya upako, keski za upako, kujaza gesi ya mtungi...
  12. Damaso

    Kenichi Shinoda: Mfalme wa Yakuza, uongozi na uhusiano na serikali ya Japan

    Katika historia ya uhalifu wa kisasa nchini Japani, jina la Kenichi Shinoda linatajwa kwa heshima ya kutisha na hofu isiyoelezeka. Huyu ndiyo kiongozi mkuu wa kundi kubwa la kihalifu la Yamaguchi-gumi ambalo ni mojawapo ya makundi makubwa zaidi ya Yakuza duniani. Maisha ya Shinoda yamejaa utata...
  13. L

    Kocha wa mchezo wa sarakasi wa Kenya afurahia uhusiano wa zaidi ya miaka 40 na China

    Wakati zaidi ya vijana 1,000 wakiwa wamepitia kwenye mafunzo yake, mwanasarakasi Mkenya Mathias Kavita alipokumbuka uhusiano wake wa miaka 41 na China uliostawi kwa muda mrefu na kuvuka mipaka ya kijiografia, uso wake ulikuwa wenye tabasamu la kujivunia. Muda mfupi tu kabla ya siku yake ya...
  14. Samia atosha tukutane2030

    Kama umekosea kuoa/kuolewa. Namaanisha kama upo kwenye ndoa au uhusiano na mtu ambaye si sahihi kwako njoo hapa kuna tiba.

    80% 90% ya wanandoa wengi wamejikuta wako ndani ya ndoa na watu ambao si sahihi kwao. Watu wote ni sahihi, wanawake wote ni wife materials, wanaume wote ni husband materials lakini si wote wanaweza kuwa sahihi kwako . La haula baada ya kufunga ndoa, baada ya kuzaa na mtu ndipo unagundua huyo mtu...
  15. Adverse Effect

    Tambua uhusiano wa kina uhusiano wa energy na sex

    "About ENERGY AND SEX For those who take sex very lightly, I leave this information here. Chakras regenerate every 7 years, so if you've been with a person even once, their energy will stay with you for 7 years. That is if you don't clean there properly. When you have sex with someone, a...
  16. H

    Iran Yabadilisha Msimamo, Yasema Haijasimamisha Uhusiano na IAEA.

    Baada ya vituo vyake vya kurutubisha nuclear energy kupigwa, mamia ya askari, wanasayansi na wananchi wake kuuawa, Bunge la Iran lilipitisha azimio la kuvunja uhusiano na IAEA, taasisi ya umoja wa mataifa inayofuatilia masuala ya nuclear energy. Ilitangazwa kuwa Rais wa nchi hiyo. aliridhia...
  17. N

    Hii mada ni kwa Wanaume miaka 50 na kuendelea: Uhusiano kati ya Kuongezeka kwa Tezi Dume na Ukosefu wa Nguvu za Kiume kwa wenye umri zaidi ya 50

    Ombi: Hii mada inafaa kujadiliwa na makundi matatu yafuatayo:- i. Wanaume wenye umri kuanzia miaka 50 au zaidi; ii. Akinamama wenye wenza (mume au mchepuko) wenye umri wa miaka 50 au zaidi; na iii. Wenye wazazi ambao wanasumbuliwa na Matatizo ya Tezi Dume. Utangulizi: Nilihamasika kuanzisha...
  18. Dogoli kinyamkela

    Wanaume, Acha Kutembelea Wapenzi Wanaokulemea!Kama unataka uhusiano wenye mafanikio na amani, ni muhimu kuepuka wanawake ambao wanakuleta mzigo

    Wanaume, Acha Kutembelea Wapenzi Wanaokulemea! Kama unataka uhusiano wenye mafanikio na amani, ni muhimu kuepuka wanawake ambao wanakuleta mzigo wa ziada badala ya kukuinua. Hapa kuna alama za mwanamke anayeweza kuwa mzigo (liability) kwako: 1. Mwanamke Asiyekuwa na Pesa za Usafiri Anadai...
  19. matunduizi

    Kuna uhusiano wowote wa utafutaji na uchafu?

    Kuna ulazima mtu yoyote Hadi uchafuke unuke uwe rafu ndio tuone utafutaji umepamba moto? Kuna watu wakiwa katika harakati za kutafuta Pesa wlwanataka Kila mtu ajue. Hawajijali na hiyo ndio inakuwa kama kauli mbinu ya utafutaji. Je Kuna ulazima wowote mtu usijijali katika utanashati na...
  20. Equation x

    Raha ya kuzaa na pisi kali, uhusiano unakuwa unadumu kutokana na mtoto

    Wakuu habari, Katika ujana wangu niliweza kuzaa na pisi kali watatu, na mwingine wa nne ni wakawaida. Kutokana na kuzaa nao watoto wazuri, mawasiliano yamekuwa ni ya mara kwa mara, hasa kwenye kujuliana hali pamoja na kuchangia maendeleo ya huo uzao wetu; ingawa wao hawafahamiani. Kwa sasa...
Back
Top Bottom