uhuru

  1. M

    JamiiForums Tanzania Simba vs El Merreikh: Uwanja wa uhuru utumike na screen kubwa

    Tanzania tuna bahati moja kubwa Sana, uwanja wa uhuru upo karibu Sana na Uwanja wa Mkapa. Ziwekwe screen mbili kubwa na mashabiki wajazane humo. Halafu kelele za kushangilia zichuliwe na wireless michro phone mpaka kwenye spika kubwa zitakazowekwa Uwanja wa Taifa ili kutoa feedback kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Tangu tumepata uhuru tumekuwa tunafeli kupanga vipaumbele vya maendeleo

    Hili ni tatizo kubwa sana ambalo limeligharimu taifa letu ndio maana mpaka sasa tuna umaskini mkubwa sana. Maana nchi yetu haina wachumi wazuri wanaoweza kushauri vipaumbele vinavyoweza kubadili maisha ya Watanzania. Mfano awamu ya kwanza ya Mwl Julius Kambarage Nyerere ilijikita zaidi kwenye...
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania President Uhuru meets EU Council President Charles Michel

    March 9, 2021 Nairobi, Kenya Meeting Between His Excellency President Kenyatta And His Excellency Charles Michel, President Of The European Council His Excellency President Uhuru Kenyatta today at State House, Nairobi held a meeting with His Excellency Charles Michel, President of the European...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru Kenyatta akutana na Rais wa Baraza la Ulaya

    Rais Uhuru Kenyatta leo tarehe 9 Machi, 2021 amefanya kikao na Rais wa Baraza la Ulaya Charles Michel katika Ikulu ya Nairobi. Viongozi hao wamejadili masuala pana yanayohusu uhusiano wa Kenya na Umoja wa Ulaya yakiwemo: • Kukuza uhusiano wa sekta binafsi ya Kenya na Umoja wa Ulaya ili kubuni...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ryoba: Mwalimu Nyerere alikuwa tayari Uhuru wa Tanganyika uchelewe ili tupate pamoja na Kenya na alikuwa tayari Kenyatta awe Rais!

    Mwanafalsafa Ayoub Ryoba ambaye pia ni Mkurugenzi wa TBC amesema Mwalimu Nyerere alipenda zaidi Tanzania na Kenya ziungane na kuwa nchi moja. Dkt. Ryoba anasema Mwalimu Nyerere alikuwa tayari kuchelewesha uhuru wa Tanganyika ili tupate pamoja na Kenya kadhalika alikuwa tayari kumwachia mzee...
  6. JamiiForums Tanzania Bi. Titi Mohamed: Mwanamke shujaa mwana TANU mpigania uhuru wa Tanganyika

  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru aukwaa uenyekiti wa Kamati ya Usalama Afrika, hii ni mara tu baada ya kuchukua usukani EAC

    Ikumbukwe pia Kenya imepata uanachama kwenye kamati ya usalama ya Umoja wa Mataifa, ndio maana imebidi kupigiwa simu na rais wa Marekani bwana Biden ili wajadili udhabiti wa Afrika. President Uhuru Kenyatta signs the Finance Bill 2018 at State House, Nairobi. PSCU President Uhuru Kenyatta has...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkenya ateuliwa kuwa Katibu Mkuu EAC, huku naye Rais Uhuru akichukua uenyekiti

    Binafsi huwa sina imani kwenye huu usanii wa hiki kitu tunaita EAC, lakini wacha tuone mwisho wake.... pia naona sarafu ya pamoja ipo kwenye hatua za mwsho kutekelezeka The chairman of the EAC Heads of State, Rwandan President Paul Kagame has announced Dr Peter Mathuki from Kenya as the new...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru na rais Biden wa Marekani wapigiana simu na kujadili mambo muhimu kuhusu ukanda huu

    Rais Biden wa Marekani ameanza shughuli za kikazi na kama ilivyo kawaida kwa Marekani, rais mpya lazima aanze kwa kushauriana na viongozi wenye ushawishi mkubwa kwenye kila kanda, hapa kaongea na rais Uhuru ili kuwekana sawa kwenye baadhi ya mambo muhimu yanayoihusu Afrika...
  10. JamiiForums Tanzania Mandela alijipatia uhuru binafsi na sio Waafrika Kusini

    Kikawaida na imezoeleka hivyo Mandela kuonwa kama shujaa wakiafrika ila ukweli makabulu wanacheka sana, katika hili shirika la kijasusi la kikaburu boss limeonekana shirika bora kwakuweza kulinda Mali na hali kwawatu wazungu wakikabulu, wameweza kuihadaa afrika kwakuwa wao walijua kuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Nchi zinazoongoza kwa Uhuru wa vyombo vya habari barani Afrika

    Nchi zinaongoza kwa Uhuru wa vyombo vya habari barani Africa. Source: world press freedom index. Year. 2020. 1. Namibia 2. Cape varde 3. Ghana 4. South Africa 5. Burkina Faso 6. Botswana 7. Senegal 8. Madagascar 9. Mauritius 10. Niger 11. Seychelles 12. Cote D' ivore 13. Malawi 14. Tunisia...
  12. JamiiForums Tanzania Buriani Bi. Zainab Sykes, mhifadhi wa hazina ya nyaraka za historia ya kupigania huru wa Tanganyika baada ya kupata taarifa ya msiba wa mama yangu

    BURIANI BI. ZAINAB SYKES MUHIFADHI WA HAZINA YA NYARAKA ZA HISTORIA YA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Baada ya kupata taarifa ya msiba wa mama yangu Bi. Zainab Sykes baada ya mshtuko kupita niliinamisha kichwa nikarejea utotoni na nikajaribu kukumbuka mama zangu ambao kwa hakika nilikuwa na...
  13. JamiiForums Tanzania Kodi ilirahisisha Nyerere kudai Uhuru wa Tanganyika

    Kodi ni uti wa mgongo wa uchumi wa taifa lolote, lakini kodi nyingi zisizolipika ni chanzo cha kuanguka dola lolote duniani. Ukisoma historia madola mengi yalianguka baada ya watawala kuwatoza watawaliwa kodi kubwa zisizolipika ili kugharamia mipango ya serikali au matumizi binafsi ya watawala...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Maana ya Uhuru wa vyombo vya Habari

    Vyombo vya habari huru humaanisha kuwa hakuna mtu anayepaswa kudhibiti na kushawishi utangazaji wake wa habari. Hakuna mtu anayepaswa kuviambia vyombo vya habari ni nini kinachoweza kuingizwa na nini hakipaswi kuingizwa katika habari wanazozitoa. Inamaanisha kuwa vyombo vya habari havifai kuwa...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania When Uhuru is drunk of Ujamaa and forgets Capitalistic market free economic principles on maize trade

    MY TAKE Unaamini kinachoongelewa na Mheshimiwa hapa? amekuwa Mkomunisti ghafla? Tony254
  16. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru nilikuwa namuona Rais mstaarabu kuliko wote East Afrca kumbe ni hovyo mno

    Siasa za Kenya ni kama unaangalia series ya Game of Thrones in real life, zinasisimua na zipo very unpredictable Huyu jamaa Uhuru Kenyatta nilikuwa naumuona kama yupo civil, level headed, japo sikutegemea atakuwa perfect, kumbe huyu jamaa nae hana tofauti na wnasiasa wanafiki, madikteta na...
  17. JamiiForums Tanzania Pamoja na kiingilio kuwa bure, Wasafi washindwa kuujaza Uwanja wa Uhuru

  18. S

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru, bado tunaning'iniza watoto kwenye miti kuwapima uzito

    Hii habari nimesoma twitter, habari inayosema watoto wadogo wanapimwa uzito kwa kuning'inizwa kwenye mti huko wilayni Tarime mkoa wa Mara(kuna picha ikionyesha tukio hilo). Hakika nimeshangazwa sana na hii habari, ila inaelekea hali hii ni ya kawaida tu kwa baadhi ya maeneo ya nchi yetu huku...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mitihani lakanusha Mtwara kushika nafasi ya mwisho matokeo kidato cha nne, yataka wananchi kupuuza taarifa hizo

    Baraza la mitihani nchini NECTA limekanusha taarifa zilizozagaa mitandaoni kwamba mkoa wa Mtwara umeshika nafasi ya mwisho matokeo ya kidato cha nne. Necta imewataka wananchi kupuuza taarifa hiyo kuwa shule 9 kati ya 10 zilizoshika nafasi za mwisho (umbwigi) zinatoka mkoani Mtwara. Source: ITV...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuburudike na siasa za Kenya Uhuru vs Ruto, Siasa hata misibani Rais wa nchi na Amiri Jeshi anagombezwa hadharani naye yupo hapo hapo

    Hivi inawezekana vipi Rais na Makamu hamuelewani lakini mpo wote tu madarakani? Mimi sio Mtaalamu wa siasa lakini sioni kama kuna mwisho mwema hapa kwenye hili vuguvugu la Uhuru vs Ruto. Vijembe vinazidi kushika kasi kuelekea uchaguzi 2020. Uhuru anaulizwa ni nini kinamshinda kumtimua Ruto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…