uhuru

  1. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hivi ndivyo anavyotekeleza Kauli Mbiu ya Uhuru, Haki, Demokrasia na Maendeleo ya watu.

    Asalaam Aleykum Wasomaji wa JFs. Kwanza nitoe pongezi za awali kwa Mh Samia Suluhu kwa namna alivyoanza kuongoza nchi yetu ambayo kwa namna moja ama nyingine ilikuwa unapoteza mwelekeo chini ya mtangulizi wake hayati Baba Dr John Josefu Magufuli. Nasema pongezi za awali kwa kuwa ameonesha...
  2. JamiiForums Tanzania Uhuru Kenya, Suluhu Tanzania?

    UHURU KENYA SULUHU TANZANIA? Hii ni kauli ya Mh. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, aliokuwa Kenya kwenye ziara. Watanzania tumepewa ‘Uhuru’ wa kujivinjari Kenya bila visa wala kibali cha kazi, ni kauli iliyopokelewa kwa shangwe na ni kauli ilitoka papo kwa hapo na kwa lugha nyepesi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumedhalilishwa sana nchini Kenya. Isijirudie la sivyo tutalipiza kwa Uhuru Kenyatta desemba 9/2021

    Tanzania ni nchi kubwa Afrika Mashariki. Kihistoria Tanzania ina heshima kubwa duniani. Tumesikitika sana Rais wetu Samia Suluhu Hassan na ugeni wake akipokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya badala ya Rais kama mwenyeji wake. Tukumbuke Rais (mwenyeji) anapokupokea unakuwa na Ulinzi wote...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan: Kwenye nchi zetu mbili moja ina 'uhuru' wa kufanya biashara na nyingine ina 'suluhu' ya kuondoa vikwazo vya kufanya biashara

    Haya ni maneno ya Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika ziara yake huko Kenya.Haya maneno yamenishtua sana na kunifanya nijiulize maswali lukuki. Ni nani huyo mtu ambae aliweka vikwazo vya Kufanya biashara Tanzania hadi ihitajike 'Suluhu'? Wananchi wa Tanzania walimchukulia hatua...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu na Uhuru Kenyatta watia saini mkataba wa bomba la gesi litakalogharimu mabilioni

    Hivi ndivyo mchezo huchezwa, sio majungu na makelele kila siku. Ni kama naiona Tanzania iliyokua na kamuamko fulani kipindi cha JK. =========== The 600-kilometre pipeline will pass through the port city of Tanga to Mombasa and will carry natural gas from the Songo Songo Island and from the...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amwalika Rais Kenyatta kuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za miaka 60 za Uhuru wa Tanzania

    Rais Samia amesema amemuomba Rais Uhuru Kenyata wa Kenya kuwa mgeni rasmi katika sherehe ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania hapi tarehe 09/12/2021. Rais Kenyatta amekubali ombi hilo. === Rais Samia Suluhu: Mwisho ni kwa taarifa yenu waandishi wa habari, mwaka huu ifikapo mwezi December...
  7. JamiiForums Tanzania Tamko la Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora(THBUB) wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, 2021

    TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA Kitalu Na. 339, Mtaa wa Nyerere - Kilimani S.L.P 4019, DODOMA Simu: +255 734 047 775; 734 119 978 Barua Pepe: info@chragg.go.tz Tovuti: www.chragg.go.tz Mei 3, 2021 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Tamko la THBUB wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Uhuru...
  8. JamiiForums Tanzania Maoni ya Balozi wa Marekani Donald Wright Katika Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani

    Kwa takriban miaka 30, tarehe 3 Mei ya kila mwaka, dunia imekuwa ikiadhimisha Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani. Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani inatupa fursa ya kuenzi nafasi na wajibu muhimu wa vyombo huru vya habari katika kimarishaa na kuhifadhi jamii zilizo huru na...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali: Suala la Kulinda Uhuru wa Vyombo vya Habari si la Serikali pekee

    Mei 3 ni siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani ambapo serikali ya Tanzania imesema inawahakikishia kulinda Uhuru wa Vyombo vya Habari. Hata hivyo serikali imesisitiza jukumu la kuweka maslahi ya Taifa mbele kama ambavyo tasnia nyingine zimekuwa zikifanya. Aidha wamesema Jukumu la kulinda...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru Launches One of a Kind Technology Factory in Nyeri

    President Uhuru Kenyatta on April 26, 2021, opened the Semi-Conductors Technologies (STL) factory on the 177-acre Dedan Kimathi University of Technology's Science and Technology Park (DeST-Park). The factory will manufacture integrated circuits and sensors as raw materials in the electronic...
  11. JamiiForums Tanzania Toka tumepata uhuru hadi leo, hatujawahi pata Rais wa maana!

    Kipimo cha Kiongozi au Rais ni kuwatoa wale anaowaongoza kwenye matatizo, tena kuwatoa haraka. Sasa basi, toka tumepata uhuru miaka 60 iliyopita tumepata marais wa 5, huyu ni wa sita. Wote hawa tukiwapima kwenye kipimo cha kututoa kwenye matatizo yetu wanapwaya vibaya. Bado raia sisi ni...
  12. JamiiForums Tanzania Uhuru wa Kujieleza sio kukosoa kila jambo na kupotosha Umma juu kinachoendelea nchini

    Naona kila mtu anashadidia juu ya kuwepo kwa kile kinachodaiwa uhuru wa kujieleza ambao wengi wanao shadiia ni wale wanaodai kuwa sasa uhuru wa kujieleza na kuropoka kama mtu anahara sasa umerudi. Lakini ukweli ni kuwa uwe uhuru wa kisiasa au uhuru wa kujieleza usiwe uhuru ambao aunatumiwa...
  13. JamiiForums Tanzania Watetezi wa 'Legacy' ni kipi katika haya mabadiliko msichokipenda?

    Nyie hamfurahii kurudi kwa uhuru wa habari na kutoa maoni kinzani kwa watu wote? Hamfurahii kuona redio na TV zikiwa zimechangamka na za moto kwa mijadala mbalimbali? Hamfurahii kuona magazeti yameanza kuvutia wasomaji tena? Hamfurahii kuona ada tata za YouTube zinaanza kuondolewa...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania imeendelea kushuka katika utetezi wa Uhuru wa Habari. Yashika nafasi ya 124 kwa mwaka 2020

    Reporters Without Borders (RSF) imeitaja Tanzania kushika nafasi ya 124 kati ya Nchi 180 Duniani katika kuimarisha Uhuru wa Vyombo vya Habari ili kutetea Haki ya kupata taarifa kwa Jamii. Tanzania imeendelea kushuka katika utetezi wa Uhuru wa Habari ambapo mwaka 2019 ilishika nafasi ya 118 huku...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya ziara ya Mama Samia ya mafanikio Uganda Uhuru aiga kwa kwenda DRC

    MY TAKE Naona akiiga hata kutembelea na national carrier KQ kama Samia Suluhu na Air Tanzania! Here is what Kenyan ambassador to DRC explaining Uhuru's mission inb DRC
  16. JamiiForums Tanzania Ibara ya 100 ya Katiba ya JMT imewapa wabunge Uhuru wa kujadili Hoja na Mijadala mbalimbali bila kuingiliwa na Mhimili wala Mtu yeyote. Tusiwaingilie

    Imetamkwa wazi kabisa wabunge wapo huru kujadili hoja na mijadala mbalimbali bila kuingiliwa na mtu au mhimili wa dola. Ipo wazi katika ibara ya 100 (1) kwa hiyo sioni haja ya kuwapangia nini cha kujadili. Ibara ya 100 (2) imepigia mstari kabisa kuwa wabunge hawatashitakiwa kwa chochote...
  17. JamiiForums Tanzania Kama Mtanzania namshauri Spika Ndugai kuwa huu si muda wa vijembe na utani kwa kina Mbowe. Tujibu hoja chafu za awamu iliyopita

    Nimemsikia Spika wetu akibeza baadhi ya viongozi wa Upinzani na wengineo kuwa hawakufanya lolote wakiwa wabunge akiwemo Mh. Mbowe na wengine. Ati Hai sasa ndo imepata Mbunge wa kuisemea! Nimejiuliza mengi kama Mtanzania kuwa tunataka kujenga nchi ya aina gani? Tutaendelea kuudanganya Ulimwengu...
  18. JamiiForums Tanzania Judith Kapinga (Mbunge CCM): Kosa la Uhujumu Uchumi limerahisishwa sana nchini ili kuwezesha kuumiza watu kisha kuwashinikiza kukubali makosa

    Tulipata mapokeo ya Sheria ya uhujumu uchumi bila kuangalia mazingira yetu, sasa inatumika kupora wala mali na Uhuru wao kwa kuondoa dhamana. Kosa la uhujumu uchumi limerahisishwa sana na nchini ili kuwezesha kuumiza watu kisha tunawashinikiza kukubali makosa.
  19. JamiiForums Tanzania IKULU-DAR: Rais Samia Suluhu akutana na Mjumbe Maalumu wa Rais Uhuru Kenyatta. Rais Samia aalikwa rasmi kuzuru Kenya ili kukuza ushirikiano

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo 10 Aprili, 2021 amekutana na Dkt. Amina Mohammed, ambaye ni Waziri wa Michezo, Utamaduni na Urithi wa KenyaMjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta Ikulu Jijini Dar es Salaam.
  20. JamiiForums Tanzania Nchi za mabeberu wana Ramani zinazoonyesha maliasili ilipo Tanzania na nchi nyingine mbili. Wao wanaamini walitukabidhi tuwatunzie lakini si zetu

    Nchi za Tanzania, Angola na Congo DRC ni nchi muhimu katika mstakabali mapinduzi ya viwanda barani Ulaya na Marekani. Mwaka 2020 Uingereza walitangaza kuachana na magari yatumiayo mafuta ya diseli na petroli kufikia mwaka 2030 na wameazimia kuanza kutengeneza magari zaidi yatumiayo betri. Hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…