uhuru

  1. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ndiye mtu Jasiri zaidi Tanzania tangu tupate Uhuru

    Nchi yetu pendwa, kipenzi cha nchi nyingi duniani, kilimbilio la watu wote waliokua wakikandamizwa kwenye nchi zao hakuwahi kutawaliwa na Rais wa ajabu kama Magufuli. Rais ambaye hakuwapenda raia wake, hakusikiliza tulio hai, akitoa matamko ya kudhalilisha na kukejeli. Rais ambae hakuheshimu...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Mtu kupita bila kupingwa ndani ya Jimbo na Kata ni kunyima uhuru wa Wananchi

    Haiingii akilini kutangazwa MTU kapita bila kupingwa. Kila uchaguzi iwepo kanuni ya uwepo wa mgombea zaidi ya mmoja hata kama ni chama kimoja endapo vyama vingine havisimamishi kwasababu mbalimbali.
  3. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCM usimtishe Mbunge, tunaomba uishauri Serikali Wabunge wote na viongozi waanze kukatwa kodi

    MBUNGE AACHIE JIMBO! Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemtaka Mbunge wa Mbongwe, Nicodemus Maganga kama anataka kuhudumia wananchi afuate utaratibu wa nchi na akitaka kulipwa kwa dola ahamie katika nchi zinazofanya hivyo. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aliopohijiwa na gazeti...
  4. JamiiForums Tanzania Viongozi waliopigania Uhuru wa Afrika, wapumzike kwa amani

    Ninaona Samora Matchel alimuiga Fidel Castro kuanzia mavazi. Dhamira yake ilikua kuifanya Msumbiji kuwa kama Cuba.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Maana ya Uhuru wa kujieleza na Umuhimu wake

    Uhuru wa kujieleza ni haki inayompa kila mtu uhuru wa kutoa na kupokea maoni, kupokea na kutoa taarifa na mawazo bila kuingiliwa. Uhuru wa kujieleza humfanya kila Mwananchi kuwa sehemu ya Serikali na kumfanya awe na uzalendo na Nchi yake. Uhuru wa kujieleza unalinda haki ya mawazo na taarifa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Uhuru wa kujieleza

    Huwa ni msingi wa haki nyingine za kibinadamu.Ikiwa watu wana uhuru wa kujieleza wanaweza kusema pale haki zao nyingine zinapovunjwa na kuwawajibisha wavunja haki Uhuru wa kujieleza husaidia vyombo vya habari kuupa Umma taarifa muhimu kuhusu mambo yanayoendelea kwenye jamii yao Huwapa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ikiwa Uhuru na Haki za Binadamu tayari vinazingatiwa kwa kiasi fulani, mengine tutarekebisha taratibu

    Najua kuna mapungufu makubwa katika utawala wa awamu ya sita, wa Rais Samia. Lakini lazima tuwe na pa kuanzia. 1. Angalau kuna uhuru, watu wanaweza wakalala majumbani mwao wakiwa na uhakika kutakucha salama? 2. Kwa kiasi fulani haki za Binadamu zinazingatiwa ingawa bado kuna kazi kubwa ya...
  8. JamiiForums Tanzania Uhuru, haki na demokrasia katika Awamu ya Sita

    Awamu ya Tano ililaumiwa sana kuhusu kuminya Uhuru, Haki na Demokrasia. Katika kurejesha imani kuhusu "Haki", Rais wa Awamu ya Sita, Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa akikemea watendaji wa Taasisi za kusimamia haki ili kuleta ufanisi. Matokeo yake kumekuwa na mabadiliko ya viongozi kwenye Taasisi...
  9. JamiiForums Tanzania Laiti Rais samia angeijua historia ya soko la Kariakoo katika kupigania uhuru wa Tanganyika

    Mama Samia leo asubuhi aliamkia Soko la Karikaoo kuangalia biashara inavyokwenda na kuzumgumza na viongozi wa soko. Allah ana rehma zake na hutukumbusha mengi kwa njia ambazo mtu huwezi kutegemea. Hapo aliposimama kwenye gari Rais Mama yetu Samia Soko la Kariakoo alikoelekeza sura yake ni Mtaa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa Uhuru wa kufanya Siasa umerudi, una hoja yakusimama jukwaani?

    Dkt. Slaa alikimbia mapambano kwa ahadi ya Ubalozi. Alipofika huko akaacha kukemea maovu na kubariki kila kilichofanywa na mteule wake. Nadhani aliamini mapambano ya haki yasingewezekana tena, aliamini mijadala huru haitakuwepo Tena. Leo tunajiuliza anaweza kujirudi nakuhubiri yanayokinzana na...
  11. JamiiForums Tanzania Demokrasia na uhuru wa vyama vya siasa una raha yake

    Kusema ukweli demokrasia na uhuru wa vyama vya siasa kufanya kazi zake kwa uhuru kuna raha yake. Mama Samia rais wetu, wewe tayari ni rais huna cha kupoteza, huhitaji teuzi wala ajira yeyote. Ajira uliyonayo ni ya juu kabisa, hakuna ajira zaidi ya urais hivyo huna cha kupoteza wala kuogopa...
  12. JamiiForums Tanzania Tusome historia ya TANU na Uhuru wa Tanganyika

    TUSOME HISTORIA YA TANU NA UHURU WA TANGANYIKA Hawa vijana wamevutiwa sana na historia ya Abdulwahid Sykes wameagiza vitabu hivyo kutoka Dar es Salaam. Hawa vijana wako Shinyanga. Wana nakala pia ya kitabu cha Rajabu Ibrahim Kirama.
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya's multi-billion projects brought back to life

    There are projects through out Kenya that have been run down over the years due to mismanagement of funds and inadequate financial muscle. Some of these projects have roared back to life after President Uhuru Kenyatta allocated funds to their revamping in line with the big four agenda. Below...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unlike groundbreaking ceremeony, Uhuru is all alone at Lamu port launch!

    Uhuru is all alone, neither South Sudan's Kiir nor Ethiopia's Ahmed is there. Si mbadili jina toka LAPSSET to LAPIST (Lamu port Isiolo Transport corridor) ? Mbona mnajiangaisha na ndoto za mchana? Uhuru's tour of Lamu port Uhuru's departure after Lamu port launch MY TAKE What happened...
  15. JamiiForums Tanzania Dhana ya uhuru na falsafa ya kujitegemea

    DHANA YA UHURU NA UCHUMI WA KUJITEGEMEA KWA AFRIKA Na Elius Ndabila 0768239284 Tunapozungumzia uhuru kama dhana ya kifalsafa mara nyingi huwa tunafikiria uwezo wa mtu binafsi wa kufanya uamuzi, kujijua, kujiendesha kujirekebisha. Lakini pia huwa tunatia maanani mkondo ambao uko nje ya nafsi...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia: TAKUKURU wamefuta kesi za kubambikizia 147, Polisi na nyie jitazameni

    Hii ni baada ya kutakiwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa kesi za kubambika. ==== Rais Samia Suluhu: Kwenye suala la wingi wa mahabusu, labda niseme kwamba jana nikiapisha majaji nililigusia hili, uharakishwaji wa kesi na nimezitaka taasisi zote ikiwemo jeshi la polisi ambalo...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri: Uzinduzi wa mbio za Mwenge wa uhuru 2021, Umewashwa na makamu wa pili wa Rais Zanzibar utakimbizwa siku 150!

    Mwenge wa uhuru umewashwa leo mjini Zanzibar na makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar mh Ameir. Kiongozi wa mbio za mwenge ni luteni Josephine Mwambushi na ataukabidhi ukiwa unawaka siku ya tarehe 14/10/2021 kwa Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan huko Chato, Geita. Source: ZBC
  18. JamiiForums Tanzania Medard Kalemani: Mwenge wa uhuru kuzimwa kitaifa Chato

    Hayo yamesemwa na waziri wa nishati ambae pia ni mbunge wa Chato. Mbio za Mwenge kuhitimishwa Chato JUMAMOSI , 15TH MEI , 2021 Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2021, zenye kauli mbiu isemayo TEHAMA ni msingi wa Taifa endelevu, itumie kwa usahihi na uwajibikaji, zitahitimishwa Oktoba 14, 2021...
  19. JamiiForums Tanzania Mbio za Mwenge wa Uhuru kuzinduliwa

    Kati ya vitu vinavyotupa umoja na mshikamano na kuchochea maendeleo ni Mwenge wa Uhuru. Kazi Iendeleeee! Mwenge wa Uhuru unawashwa tarehe 17 Mei 2021 huko Makunduchi na Utazimwa Wilayani Chato Mkoani Geita mwezi wa kumi. Asante Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT, Rais makini mwenye kufuata...
  20. JamiiForums Tanzania Orodha ya Wakurugenzi wa Usalama wa Taifa Tanzania "TISS" Tangu uhuru

    Idara ya usalama wa Taifa (TISS) imeundwa kwa sheria ya bunge namba 15 ya mwaka 1996 (Tanzania Intelligence and Security Service act No. 15 of 1996) iliyosainiwa na Rais Benjamin Mkapa tarehe 20 mwezi Januari mwaka 1997. Sheria hiyo ndio inayoipa mamlaka Idara hiyo kufanya kazi zake ndani na nje...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…